Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

ila anasema kilichomshtua jamaa kamwambia hiyo jmosi wakutane kwake (kwa jamaa) ndio akaja kuniuliza je aende isije kuwa mshkaji anataka tu kummega na yeye hata kama anampenda hayuko tayari kumegana nae halafu yaishe yaani kama hana msimamo ni bora yaishe. So naombeni mauzoefu yenu wandugu labda kuna wengine ilishawahi kuwatokea hii na ikawaje

nategemea ushauri mzuri wapendwa na si madongo
OK, let me be me.
Amueleze kabisa kuwa hajavutika kwake kimapenzi peke yake, sisi wanaume tunapenda kuelezwa na wanawake ni jinsi gani wanajisikia kuhusu qualities zetu zaidi ya mapenzi. Awe muwazi iwezekanavyo........akiwa anamweliza hili, awe nae karibu, aonyeshe kutaka kuwa nae beyond kuvuana chupi.

hata kama jamaa alikuwa ana mpango wa kumega tu, atagundua huyu mwanamke sio sahihi kumfanyia hivyo, atarudi nyuma na kuanza kuangalia options zake. THAT IS THE RULE.
 
Nimekupata DC kwa hiyo nmwambie avute vute halafu atoe eee asibanie sana c ndio

Hakuna cha kubana wala nini? Kwa nini watu wanahangaika na GM wakati organic kibao zipo? Huyo dada ana bahati sana kupata kitu organic. Wote waliitafuta nafasi, sasa Mungu kaileta. Halafu eti anaanza kuumwa kichwa. Mimi nilidhani anaomba tumsaidie jinsi ya kuzifanya siku ziende haraka ili waonane. That's what I would expect.

Haya mambo ya kumegana yanatoka wapi? Kama hayuko na amani kwenda home kwa kijana aombe wakutane away ground kwanza ili wazoeane. Ni kiasi cha kuwa makini lakini siyo defensive.

My take...aondoe kabisa obsession kwamba ohhhh atamegwa sijui nini. Aaache movie iendelee hadi mwisho atauona tu!
 
alf kweli ka DC mjibu huyu swali lake embu tudadavulie ina maana bila kuonja hauoi

Waliofanya baada ya ndoa akina baba na babu wa miaka ile ya Mwingereza na Mjerumani. Siku hizi hiyo kitu kama ipo basi mimi nitaiita ni bahati mbaya!
 
OK, let me be me.
Amueleze kabisa kuwa hajavutika kwake kimapenzi peke yake, sisi wanaume tunapenda kuelezwa na wanawake ni jinsi gani wanajisikia kuhusu qualities zetu zaidi ya mapenzi. Awe muwazi iwezekanavyo........akiwa anamweliza hili, awe nae karibu, aonyeshe kutaka kuwa nae beyond kuvuana chupi.

hata kama jamaa alikuwa ana mpango wa kumega tu, atagundua huyu mwanamke sio sahihi kumfanyia hivyo, atarudi nyuma na kuanza kuangalia options zake. THAT IS THE RULE.

Kwani nini mnataka kutumia scud kuua sisimizi? Let the body language do everything for them.

Kama kweli wanapendana na wako determined hawana sababu ya kupeana hotuma. Hata smiles zao zitawaeleza tu direction iko wapi. Sasa huyu dada ana mashaka na nadhani haamini kama kweli anampenda jamaa. Hapa sioni kesi wa shauri la kupeleka kwa jumbe!
 
Hakuna cha kubana wala nini? Kwa nini watu wanahangaika na GM wakati organic kibao zipo? Huyo dada ana bahati sana kupata kitu organic. Wote waliitafuta nafasi, sasa Mungu kaileta. Halafu eti anaanza kuumwa kichwa. Mimi nilidhani anaomba tumsaidie jinsi ya kuzifanya siku ziende haraka ili waonane. That's what I would expect.

Haya mambo ya kumegana yanatoka wapi? Kama hayuko na amani kwenda home kwa kijana aombe wakutane away ground kwanza ili wazoeane. Ni kiasi cha kuwa makini lakini siyo defensive.

My take...aondoe kabisa obsession kwamba ohhhh atamegwa sijui nini. Aaache movie iendelee hadi mwisho atauona tu!
sasa mkuu, ipi nzuri, wakutane kiwanja, then mdada aingie line na kwenda kwa jamaa thereafter kwa ajili ya kumegana, au aende kwa jamaa then yakitokea yatokee.....yani AUTO
 
kwani DC, hata kama ni kumegwa ndo huyo mdada aogope kiivyo mbona anakuza sana haya mambo?kumegwa kwa kina dada ni kawaida sana, ni kama mgonjwa na uji tu!!mi sioni issue hapo!!!!!
 
Hivi kwanini watu wanahangaika na kumegana? Hamjui kwamba kukutana na mpenzi wako mpya mkaangaliana usoni ni relief kubwa sana kuliko hata huko kumegana?

Why are u being naive?
 
kwani DC, hata kama ni kumegwa ndo huyo mdada aogope kiivyo mbona anakuza sana haya mambo?kumegwa kwa kina dada ni kawaida sana, ni kama mgonjwa na uji tu!!mi sioni issue hapo!!!!!

Na ndio maana watu walioshikia bando suala la kumegana na washangaa. Kwani huyo dada yuko under 18? au anahitaji ruhusa ya mama kwenda kumwona BF? Au akirudi home anagakaguliwa na baba na mama?

Sioni sababu. Kwa maelezo ya Maty hawa watu wanapendana sana. Wajipe nafasi ya ku-prove hilo kwanza. Mengine yoooote yatakuja kwa wakati wake!
 
huyu dada namshauri asiende nyumbani kwa huyo kaka,ila amwombe tu waonane sehemu nyingine ambayo si ya faragha asije kujuta badae maana wanaume mmmmmmmmh!
 
Mwache aende amegwe halafu aje tena hapa atuombe tumpe ushauri
 
Finest, hivi kumegwa ni adhabu au ni msiba?

1. ADHABU endapo kile kikojoleo chake kitatumikishwa
2. MSIBA endapo kikojoleo kikitumikishwa kisha kikaachwa halafu matokea yake tutaweka bango la linalosema "Parking at Owners Risk"
 
Hayo mawazo tulikuwa nayo sisi enzi zetu za 1947. Kama hamtayaacha basi mnajitafutia matatizo. Hii ni biasha ya nipe nikupe kwa hiyo suala kama hili halipo kabisa. Ukizingatia huyu dada anataka kwenda mwenyewe bila kushikiwa mtutu. Halafu ameugua miezi 6 anamtamani huyu jamaa. Kwa nini usiwaze kuwa jamaa anataka kutumiwa kumpeleka binti peponi halafu wakati huo anajipa muda wa kutafuta zile sampuli alizosema kuwa ndio zinamsubua akili yake?

Bado siwaelewi...!!!
 
@Maty

it is alwasy difficult to know if someone loves for real hadi mkae pamoja na mzoeane na kusomana...

Hata tukushauri nini hapa jamvini, the truth shall come from the two after intimacy and exposure to each other
 
Na ndio maana watu walioshikia bando suala la kumegana na washangaa. Kwani huyo dada yuko under 18? au anahitaji ruhusa ya mama kwenda kumwona BF? Au akirudi home anagakaguliwa na baba na mama?

Sioni sababu. Kwa maelezo ya Maty hawa watu wanapendana sana. Wajipe nafasi ya ku-prove hilo kwanza. Mengine yoooote yatakuja kwa wakati wake!

Thanks Retired chief... Hao jamaa waweza kuta wameshamaliza siku nyiiingi aisee
 
Back
Top Bottom