Wana JF msaada jamani katika mauzoefu yenu mmeshakutana na hii?

Ni kweli ashaonyesha maralia ila huyo mshkaji hajashtukia wala nini, ila kwa kweli hana mpango wa kumegwa kabisa ambacho anashangaa ni kuona kwamba alikuwa anamzimikia bila jamaa kujua alafu jamaa akaja kumuomba urafiki

cjui kama nimekuelewa...wanaume wanagapi wameshamtolea mahari? kwanini wanasepa wakishatoa?.....huyu dada anajiuliza mawaswali gani yacyo na kichwa wala miguu? sasa kamzimikia mkaka, mkaka atajuaje kama anazimikiwa bila kuambiwa? au ana uwezo wa roho mtakatifu, cjui ckuelewi wewe au huyo mdada lakini sielewi elewi jambo hapa.

maty ckusomi kabisa leo....

Tatizo watu waongelea demu kumegwa badala ya kujua kuwa huko ni kumegana.

Hata mimi siwaelewi. Kama dada anaogopa kutoa nanihi yake uhusiano anataka wa nini? Mimi nilishaapa kuwa hakuna uhusiano bila dudu. Yeye aitumikie nafasi yake hata kama inamweleza kuwa akikutana naye njiani ampe hapo papo!
 
mmh maty bwna..the whole theme here z ..JE AKIENDA J1 JAMAA AKIGONGEA GAME BMKUBWA AMPE MZIGO AU ASIMPE ?KWA SABABU ATAKI KUCHEZEWA?
ni ivi b shost ;j1 aende tena ikwezekana aende mapema tu mida ya saa tano ivi ata kupika apike ..asi washazoeana siyo?aulize jiko liko wap azame panapo jiko afanye mambo wakishba dada mida ya saa 9 kumi ivi waanze kulonga...akiona jamaa anataka game ASIMPE... amwambie ukweli that ur husband material to me n by doin so u wl polute my OL PICTURE TOWARDS U...km vp nipe tym nkuchek nkupe tyme unicheki kama ukiona nakufaa poa na mimi nikiona unanifaa poa TUTAFANYA UNACHOTAKA TUFANYE..shost mwambie askubali kumegwa kijnga jinga ivyo ata km ni handasam km yusufu aliyemdatisha mke wa potifa...uhandsam is ntothng ma dear gal ..uahnd samu wake utakusaidia nini?kuweka kwenye screen seva?ahh jaman skuizi watu wanaangalia vigezzo vngne km iv apa ayo mambo ya handasm sjui baunsa sjui toll ni ya kitoto enz zileeee form 2 b au form six hkl bt now gals focusing on;
1.is he good upstairs?(usije ukazaaa watoto vilaza...natania)
2.is he protector (not financially bt at least awe na sense ya kukuprotect kwa lolote iwe kwa idea au kwa vitendo money is less concern here)
3.ana utu?
4.anakuappreciate ?anakufanyua ujiskie u mwanamke?mwanamke mwenye furaha?
5.anakufanya rafiki yake kwa kukushirikisha in each n evethng?
6is he director?councellor? that ukipata tatizo unajua kabisa nkienda kwake atanisaidia kunionyesha njia?atanifariji?
7.GAME LIPO KG MOJA AU ROBO KILO? inakesha au ngoma ya kitoto mwsho sa 12?
8.MALI SI KIGEZO MWAWEZA TAFUTA WOTE PAMOJA tena kwa raha zenu na utakuwa na amani moyoni cz utafili sense ya owneshp kinyume na unaolewa na kaka yupo full we wafanya kwenda na vinguo vyako tu kwake yan ata ukivunja kikombe utajishtukia cz haukuchangia kununua
yani mpka hapo rose sina chakuchangia cz umemaliza kila kitu,upo fiti my dear nadhani hata mi nilete languunishauri kiukweli siku hizi ukiangalia uhandsome mbona umechelewa kuna vitu vya msingi kama alivyotaja rose basi.
 
huwezi kujua kwa macho mpk muingie kwenye game kwa hiyo pia ukibna sana unaweza kuingia kwenye tundu la choo
 
Kamwambie kuna babu mmoja kasema kuwa hapo..."Kufuli imepata ufunguo wake". Autumie taratibu tu asisababishe ajali.

Unajua nimemshangaa sana huyo dada. Yaani alikuwa analia siku zote kutongozwa na huyo kaka. Kaka wa watu amehangaika hadi akapigwa tuishen (sijui na Asprini?), akajitutumua na kumweleza sasa anaanza kupanic. Yeye aende halafu aache mambo mitambo ijiendeshe. She should let the nature take its way...

Kwani akimegwa yeye anaumia kama vile kamwagiwa petrol na kupigwa kiberiti? Aache upuuzi asonge mbele tena kwa gia kubwa tu!!

Nimekupata babu kupenda anapenda ila kumegwa no babu wale 18 wanatosha
 
Tatizo watu waongelea demu kumegwa badala ya kujua kuwa huko ni kumegana.

Hata mimi siwaelewi. Kama dada anaogopa kutoa nanihi yake uhusiano anataka wa nini? Mimi nilishaapa kuwa hakuna uhusiano bila dudu. Yeye aitumikie nafasi yake hata kama inamweleza kuwa akikutana naye njiani ampe hapo papo!

kaka....cku nyingine plz ucjaribu kunifanya nikacheka hivi...hapana aisee...nimecheka mpaka nimesh2a wengine....haki ya nani kaka leo umenimaliza.
 
Babu leo umeamkia wapi maana huwa nafuatilia sana wewe huwa unapinga sana infi sasa leo mbona unahalalisha? anyway nimekupata
 
kaka....cku nyingine plz ucjaribu kunifanya nikacheka hivi...hapana aisee...nimecheka mpaka nimesh2a wengine....haki ya nani kaka leo umenimaliza.

Yaani we hunizidi mimi nyamayao humu watu wana visa jamani sijawahi kuona halafu DC kwanini unasema hakuna uhusiano bila dudu kwani dudu inahusianaje
 
Babu leo umeamkia wapi maana huwa nafuatilia sana wewe huwa unapinga sana infi sasa leo mbona unahalalisha? anyway nimekupata

Maty ni hivi....twende taratibu...

Huyu dada anampenda jamaa au hapana? Sasa kama anampenda dudu ina thamani tena mbele ya mapenzi yake kwa huyo jamaa? Mimi nadhani kitu cha kwanza ni kuitumia nafsi yake ambayo inamweleza pasi na shaka kwamba anampenda jamaa. Na hayo mambo ya kumegana ni matokeo. Sasa anaanza kuweka vizingiti ndo yanaweza kumtokea puani. Ni sawa na kujaribu kwenda mahakamani wakati huo una nakala ya hukumu...Ni hatari sana hiyo. Yeye ajimwage uwanjani, acheze mechi (siyo ngono) wakati akisubiri matokeo. Na ajue anaweza kupigwa bao au akapiga yeye au ngoma droo. Kwanini nawaza zaidi kupigwa bao tu?
 
Nani anataka kumegwa humu?
Samahani, kinaongelewa nini? naona lisredi linakimbia tu!~
 
kaka asprin,..inamanisha asilimia kubwa ya waliooana walifanya after marriage au?cjakupata kaka
 
Yaani we hunizidi mimi nyamayao humu watu wana visa jamani sijawahi kuona halafu DC kwanini unasema hakuna uhusiano bila dudu kwani dudu inahusianaje

Unajua Maty, haya mambo yanakwenda na umri. Kama mko under 20 au within 23, 24 or 25 bado muda upo. Ila ikishafika 29 na kuendelea ni lala salama hiyo. Ni heads on business. Hata hivyo simaanishi kuwa unafungua mlango na kupakua msosi hapo hapo. Unajipa muda kidogo kuuandaa huo msosi ili uwe mtamu zaidi ingawa hakuna muda mwingi tena wa kupoteza.

Umenipata hapo Maty?
 
Nimekupata DC kwa hiyo nmwambie avute vute halafu atoe eee asibanie sana c ndio
 
kaka asprin,..inamanisha asilimia kubwa ya waliooana walifanya after marriage au?cjakupata kaka

alf kweli ka DC mjibu huyu swali lake embu tudadavulie ina maana bila kuonja hauoi
 
Back
Top Bottom