Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Unajua wengine tumeshaanza wikendi...na kaa ujuavyo hii itakuwa ndefu kichizi yaani...
 
Hmmm! Na brazameni anavyopenda migongo anaweza kabisa kuchanganyikiwa huko RDJ.
 
Kama yupo Rio utakuwa ndio mwisho wa Brazameni maana jinsi alivyo "m-bovu m-bovu" inapokuja ktk mambo ya nonino....
 
Unajua wengine tumeshaanza wikendi...na kaa ujuavyo hii itakuwa ndefu kichizi yaani...

Nyani, kama brazameni hajatokeza by this friday itabidi mimi tu sasa nijitose kujaribu 'kuziba pengo' lake, walau kwa wkend moja kama nitaweza na kubakia 'huru' katika kutoa maoni... maana weekend zinatoweka zikiwa kavukavu mno... si unajua tena, tunahitaji mboga na huu ugali bana!! baadae (brazameni nakupa mpaka ijumaa,lasivyo...)

SteveD.
 
FD, nini tena au nani huyo ni total BS?

Naomba ujibu swali. Ahsante.

SteveD.
 
Man....can't wait. Unajua watu tumeshaanza Thanksgiving hii sasa na kesho hatwendi kazini. Kama wengine wanaona no total B.S. hawajalazimishwa na wala hawalazimishwi...waendelee tu na yao na watuache wengine kama tulivyo
 
Yaani ni total BS!

FD, kwa mara ya tatu nakuuliza; ni nini katika thread hii ni B.S. members? comments? thread title? participation katika thread? the subject -brazameni?! or...?!

SteveD.
 
Hmmm! Na brazameni anavyopenda migongo anaweza kabisa kuchanganyikiwa huko RDJ.

Nimejibu [ame="https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=101715#post101715"]hapa[/ame]. Halafu naomba hii topic pia niihamishie eneo husika haswaa. He's no longer banned. Mwambie aachane na siasa ataishia kutukana tu.
 
Nyani, mimi mgumu wa kukasirishwa na comment, lakini nakasirishwa kirahisi na comment kutoka kwa mtu ambaye unategemea ubongo wake umetulia na ghafla unaanza kuona majidubwasha yenye manyoya yakifyatuka bila sababu kutoka kwao.

In all senses, can't someone see that this thread is about brazameni and what is expected of him over the weekend... ama kweli watu wengine naamini sasa kuwa no matter how they try and conceal their loathly ways, the truth always comes out... Like you say, somewhat this is just HATE!

SteveD.
 
Baada ya kupewa BANN ya wiki mbili na watawala wa JF kisa nilimuita RICHARD CHOTARA wa kijerumani leo nimerudi toka kifungoni na naomba machizi wenzangu wa kule kijiweni kwetu mniwie radhi.

Hii ndiyo price ya ku pay humu JF ambako naweza kusema kuwa POLITICAL CORRECTNESS itatumaliza

Unajua tena sie wengine hatujui tofauti kati ya Half Caste,Chotara, mixed race na rangi rangi hivyo huwa tunawajumuisha wote kwenye hilo Kundi la machotara...ni kiswahilitu tuu hicho

Kama niliwaudhi watawala basi sitowaomba radhi lakini ninawaomba radhi wanachama kwa kuwa na domo kaya.

Mwisho nauliza swali hivi JF ina agreement na FBI kabala ya kuweka mabango ya FBI wakiban watu au ndio utoto tuu kwa huyo mhusika?

sasa naenda kule kwenye forum yetu
 
Ebwana Brazameni mambo ni aje babu yangu..?
Duh...nimekumiss kweli yaani....ilibaki kidogo nihamie kwenye Gumzo la Mwanakijiji...welcome back partner!!
 
Back
Top Bottom