Baada ya kupewa BANN ya wiki mbili na watawala wa JF kisa nilimuita RICHARD CHOTARA wa kijerumani leo nimerudi toka kifungoni na naomba machizi wenzangu wa kule kijiweni kwetu mniwie radhi.
Hii ndiyo price ya ku pay humu JF ambako naweza kusema kuwa POLITICAL CORRECTNESS itatumaliza
Unajua tena sie wengine hatujui tofauti kati ya Half Caste,Chotara, mixed race na rangi rangi hivyo huwa tunawajumuisha wote kwenye hilo Kundi la machotara...ni kiswahilitu tuu hicho
Kama niliwaudhi watawala basi sitowaomba radhi lakini ninawaomba radhi wanachama kwa kuwa na domo kaya.
Mwisho nauliza swali hivi JF ina agreement na FBI kabala ya kuweka mabango ya FBI wakiban watu au ndio utoto tuu kwa huyo mhusika?
sasa naenda kule kwenye forum yetu
take it easy.ipo siku watakuelewa.almuhhimu tu kama ulikuwa juu sheria walipokubann.pia pole na wb.