Wamiliki wa mabasi fursa mmetengenezewa hiyo hapo chukueni hela

Binafsi nilikuwa nishaaicha mitandao.

Hela ni mwendo wa kunitumia kwa akaunti nikipita palipo na ATM navuta zangu tulaki twangu twa matumizi basi kwishnei.
Aisee hela yangu ninavyoihangaikia usiku na mchana afu iende bure bure sikujaligi kabisa.

Afu usikute kampuni ya uchimbaji madini wamesamehewa Kodi miaka mitano ili waone Kama watapata faida. Pia kumbuka Airtel ilikuwa haijawahi kulipa gawio serikalini Mana hawakuwa wanapata faida mpaka jembe alivyokuja faida ikapatikana.

Yaani nchi kumamae Kuna wsngrema kadhaa Kama 300 ivi wanaendesha watu 60M.wanatunyonya na wanatumia masikini wenzetu Askari kututuliza tunapotaka kudai nchi yetu.

Masikini na umasikini ni kitu kibaya kisenge. Yaani askrai ni masikini Kama mie Ila anaamrishwa na jamaa Fulani kuwa mshughulikie huyu ili niwanyonye vizuri naye anakubali kisa anadanganywa vijisenti kidogo.

Ile TAL anadai watu waingie roads utafika muda tutaingia wenyewe tu. Mafuta yamepanda soko la dunia Ila Kodi Yao imeongezea pia.
Wakati akikuwepo kibwengo mmoja hivi akishikiria akili za watu mil.59 ukiondia mimi

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wanajukwaa!

Tupeane namna ya kukwepa kutuma hela kwa simu Mana jamaa wanadai wazalendo Ila hata Mia Yao mbovu haikatwi pia hatunziwi hela wake kupewa wakizeeka Ila wewe ndiye wa kutunziwa pia ndiye wa kulipa Kodi ya kizalendo.

Jamaa wamelewa Kodi zetu,kumbuka yeye hajui kuwa Kuna shida afrika yaani yeye anaishi life hata mzungu wa uk hampati.

Nisiwapotezee muda ishu Iko Ivi Kama mwenye umiliki wa mabasi ama mtu anaweza akaingia nao ubia wakafanya biashara hii.

Niko dar natoa hela kwa kampuni labda ni 50k afu wewe uko mbeya uko kwa iyo ofisi ya hapo mbeya wao wanahakiki aliyeko dar akatoa hela afu wa mbeya anapewa hapo baadaye wanajumlisha fresh Mambo yanaenda.

Mie Niko zangu Singida unayemtumia uko bukoba nenda ofisi Fulani wasiliana nao yaani ukiwapa tu wa bukoba namie Niko singida nachukua.

Pia kuweka hela benki Mana mawakala wamejaa kila Kona halafu nenda atm chukua hela makato ni 1200 kila unapochukua hela kuanzia 5k mpaka 400k.

Na kwa ATM waweza chukua mpaka 2M so makato jumla ni 1200*5=6k.

Aisee hii njia ya mabasi wakitokea wakiwa na akili itakuwa poa sana.

Yanai ofisi ya mabasi ya kisire iko mza kahama na Tarime ni mwendo tu Niko kahama nawapa hela afu wao wanampatia hela wa mwanza Mana wanahakiki kuwa huyu jamaa mwenye namba hii mpe 50k.

Ngoja niachie hapa nadhani nimeeleweka. Makato wanaweka nusu ya yaliyopo kutumaa na kutokea.

Yaani wameweka kutuma na kutoa pote pote jamani kweli.
V
Yaani Hawa jamaa sijui wanalewa sana.
Hahahaha
 
Duu mkuu enzi hizo mie nikiwa Advance sikujua hela kwa emo ama ems.
Hii lazima ifanyike tu.

Yaani uko Arusha nawapa hapa Chato afu wanapiga simu huko Arusha ofisi zao kuwa mwenye namba hii akuonyeshe I'd mpe 20k Mambo Kwisha.

Namie hapa nimewapa buku mbili. Yaani Nina tumilioni twangu sijui nifanye hizo Mambo nikiwa na ubia kwa jina la kampuni.
Subirieni e wallet ziingie hapa nchini watu wazijue like Skrill ,PayPal, netteller n.k.

Enzi za mpj eti walipiga biti kusafirisha vifurushi eti vipitie posta. So mie Niko mbeya nishafiri once/twice kuja dar nikafahamiana na wafanyabiashara Kuna haja gani kila wakati kusafiri.

Natuma hela funga mzigo Kuna peleka kwa kampuni Fulani ya usafirishaji wape nitachukulia hapa ofisini kwao wakupe receipt piga picha nitumie.

Yaani Hawa kmmake life linarahishwa afu ndo wanataka watu tuumie huku watt wao wakisomea kanada USA uk Australia huku wa kwetu wamekalia tofali za udongo.

Na mikopo wanakaziwa hawapewi ili waendelee kuwa wanyonge. Wanatengeneza kitu ama bomu siku likilipuka tutakuwa Kama sauzi saivi.

Mie nitawahi kuvunja zangu ATM tu achana na yule msnge aliyekuwa anakula keki
Nikiwa porini huku RDC style hii us kutuma pesa fasta inafika
 
Serikali baada kusikia hii idea
IMG-20210601-WA0031.jpg


Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Sema idea nzuri sana hii nimeielewa! Naweza nikaifanyia kazi hata mimi!
Kwa mfano, mpokeaji anakuwa yupo Mbeya na mlipaji yupo Dar. Mnakubaliana muda wa mtuamaji kufika kwa Wakala wa Dar na muda wa mpokeaji kufika kwa wakala wa Mbeya na kutumia vielelezo na kama picha ya mtumaji na mpokeaji, miamala inafanyika kama kawaida.
 
Sema idea nzuri sana hii nimeielewa! Naweza nikaifanyia kazi hata mimi!

Kuna wasomali wameifanya kariakoo sana enzi za zamani,,, ukitumiwa hela kutoka uingereza ama marekani. Ndugu yako anapeleka hela kule majuu kisha wewe unapokea kariakoo kwa ndugu wa hao wasomali siku hiyo hiyo
 
Kwa mfano, mpokeaji anakuwa yupo Mbeya na mlipaji yupo Dar. Mnakubaliana muda wa mtuamaji kufika kwa Wakala wa Dar na muda wa mpokeaji kufika kwa wakala wa Mbeya na kutumia vielelezo na kama picha ya mtumaji na mpokeaji, miamala inafanyika kama kawaida.
Wizi utaanza mkuu sio kirahisi hivyo biashara isikuwa na bima ni ngumu sana kwa uhalisia bora hayo makato
 
Si waTanganyika tulikubali Muungano wenyewe Sasa ni zamu ya wazanzibari kututesa na kutuamulia mambo.
 
Kuna wasomali wameifanya kariakoo sana enzi za zamani,,, ukitumiwa hela kutoka uingereza ama marekani. Ndugu yako anapeleka hela kule majuu kisha wewe unapokea kariakoo kwa ndugu wa hao wasomali siku hiyo hiyo
Hahahahah biashara tamu sana hii halafu inaweza ikakutajirisha kizembe sana yani! Kwa siku ukipiga miamala ya yako 50 tu una pesa nzuri ishu inakuja usalama tu
 
Sahv ukitaka mtumia mtu hela kama wote mko kwenye mkoa mmoja bora mpeane hela physically

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom