wamiliki St Joseph University ni Mafia

hvi nyie akili zenu fupi mnalazimishwa kusoma hapo!!! Thats Private insititute kama unaona hawatoi kinachotakiwa basi kamlilie kikwete aongeze vyuo vkuu au kafauli usome DIT,MIST,ATC, au COeT.

Asante kwa elimu tosha! Kwa nini ufeli? Tabia ya kulalamikia Kila kitu ndio chanzo cha kubakia kwenye umaskini Tanzania. Ukimwona Mwalimu amenunua pikipiki eti ameiba fedha ya ada au ya Mradi. St Josephwameanza Juzi Juzi tu kamachuo kikuu, angalia ni degree ngapi wanatoa tayari! Huwezi ukawalinganisha na Ardhi University, jibabalililolala fufufu! Waache St Joseph walete technological change ndani ya Tz! Achawivu!
 
Ni kweli tulieni ma vyuoni kwenu na msome,acheni kujitetea kwa kuchemka kwenu,muda bado mnao kikubwa acheni starehe ma vyuoni ndo mtazikwepa sup..NIWATAKIE KITABU CHEMA WOTE.
Nawasilisha,asanteni.
 
unayajua masomo magumu wewe?
Pale gpa za kupeana, mfano kuna mwaka wa 4 wameenda India, nasikia wote wamepewa gpa ya 5 eti kwa kua walikubali kwenda India na hivyo kulipia gharama za kuishi kule na kuiongezea chuo kipato
pia ni rahisi kumkuta mhitimu wa chuo hiki ana gpa ya 5 au first class kali sana lakini kichwani mweupe na hakuna anachojua

Nakubalia na hoja ya graduate wa hicho chuo kuwa na gpa kubwa but upstairs ni zero!
Hivi hiki chuo kimeshasajiliwa rasmi?
 
mleta mada unaonekana wazi ni mwanafunz wa st joseph, ambae either ume break system ama disco kwa ukilaza wako that y unataka kukichafua chuo..
 
Kati ya vyuo vizuri kwa sasa hapa TZ ni St. Joseph, ukweli ni kwamba hawana utani wala longolongo, kuna mdogo angu amemaliza pake, aliponea chupuchupu aliwe kichwa. Dogo yuko smart kwenye IT hadi nikajiuliza wanasoma kwa vitendo zaidi au, kwa hiyo anayesema chuo ni kibovu either hajui utaratibu wao au amepata sup nyingi hadi zikamchanganya.
 
Acheni kushabikia tuu wanafunzi wa chuo hiko wanakaa mbali na jiji na wanapenda sana kujirusha na masomo yanayotolewa pale mengi ya science na ni magumu sana sasa wakicheza kifuatacho sup so inakula kwao kwani elimu ya chuo sio mchezo vijana someni vyuoni huko acheni ushalobaro na ushalohero

Watoto wa kileo bwana...na UDSM nao inakuwaje wanapopewa supu? Tuache masihala na elimu...ndio haya ya kusoma bila kuelimika
 
Mbona hawaandamani?

wametegesha watu wao kuanzia bodi, TCU hadi wizarani. Ukipanua mdomo tu unakatwa kotekote. Jamaa wajanja washausoma mfumo wa bongo mwendo wa 10% sasa wanakula kuku kwa mrija. Wengi wanabisha. Wabongo hua wagumu kuamini, tusubiri tuone.
 
wametegesha watu wao kuanzia bodi, TCU hadi wizarani. Ukipanua mdomo tu unakatwa kotekote. Jamaa wajanja washausoma mfumo wa bongo mwendo wa 10% sasa wanakula kuku kwa mrija. Wengi wanabisha. Wabongo hua wagumu kuamini, tusubiri tuone.

Duh,Yote kwasababu wewe unasoma hapo na UMECHEMSHA kwa ku sup,ebu ongezea umesahau kuwataja ERB maana ERB huwa inawasajili ma Engineer from there,,,,naamini wako vizuri tu kama sivyo,wote wangekua hawaingii kwenye ajira wangekua wanuza machungwa mtaani......Kuchemka kwako isiwe kigezo,wengi waliosoma pale nawafahamu wako vizuri sana tena sana
Mfano:Siku moja nilicheka kulikua na mmoja wa pale na mwingine wa chuo X,wa chuo X mwaka wa3 alikua anafundishwa na wa pale mwaka wa2 kuandika simple C-Program ya kujumlisha two numbers...Da nilicheka sana
 
wana jf,
kuna chuo kinaendeshwa na wahindi cha St Joseph kwa kweli kinajiendesha kwa mbinu chafu.
Wamekua wakitegemea njia za Panya kupata fedha ikiwemo kutoa sup kiholela ili wanafunzi wakifanya waweze kunufaikwa kwa pesa za sup(sup zinalipiwa), michango bubu kama vile kulipia tution kwa waliofeli supplimentary exams na kuzuia kimakusudi pesa za bumu wanazopewa na bodi ktk fixed account ili wapate cha juu na kusababisha wanafunzi wengi kuishi maisha ya shida bila hela. Mbaya zaidi wana watu wao bodi na TCU yani hata malalamiko yakienda hakuna kitu halafu wanajiita masista wa katoliki!
Kwa dhuluma hizo hizo wamezuia malipo ya mafunzo kwa vitendo kwa mwaka wa mwisho mpaka watakapokubali kukatwa madeni ya ada wanayodaiwa.
swali la kujiuliza, wanapata wapi hiyo jeuri? Wanapoamua kutumia ubabe kuchukua pesa za mafunzo kwa vitendo za wanafunzi wenye madeni ya ada, je haki iko wapi?

Dawa ya deni ni kulipa
 
Mbona wamiliki wake sio RC

Itabaki ukweli tu- wale ni Roman Catholics na ni watu wako serious! Ni shirika la kimissionari kutoka India na liko nchini kupitia kanisa katoliki, kazi ya Katoliki ni kutuondolea ujinga na maradhi ndio maana wamewekeza tangu zamani kule Bugando hospitali, hapo Msimbazi, Forodhani, Pugu, kule Tabora Boys na Milambo na unajua ile Students Centre ya Tabora- sijui kama ipo bado, kule Umbwe, hapo Nyegezi, hapo Ifakara Hospitali, Shule ya Ufundi-----sasa na haya ni Majanga ya Taifa-????
 
ww mtoa ni kilaza nas utakuwa umeshaharibu huko.. Maelezo yako naona unajichanganya tu mara useme wanatoa sana sup, mara wanagawa gpa tuelewe lipi? Jipange dogo
 
inawezekana yana ukweli coz jamaa hawana wapati wanafunzi wa kutosha, thats why ni moja kati ya private unvesity chahce zianzo jiatangaza ili kupata wanafunzi, vingine watu wanakuja wenyewe.
My take: Vipo vyuo vingi vya serkali, vizuri na vyenye ubora kuliko st josep, so co lazima mtu kusoma kwao.
Nb: Kama mtoa mada ni mwanafunzi wa st joseph akaze msuli, kinasifika kwa gpg kubwa japokuwa ni za kupeana
 
inawezekana yana ukweli coz jamaa hawana wapati wanafunzi wa kutosha, thats why ni moja kati ya private unvesity chahce zianzo jiatangaza ili kupata wanafunzi, vingine watu wanakuja wenyewe.
My take: Vipo vyuo vingi vya serkali, vizuri na vyenye ubora kuliko st josep, so co lazima mtu kusoma kwao.
Nb: Kama mtoa mada ni mwanafunzi wa st joseph akaze msuli, kinasifika kwa gpg kubwa japokuwa ni za kupeana

Mi bado hamjani shawishi kuwakubalia huo ukweli wenu,.weka visibitisho hapo tuvifatilie!
Uchache wa wanafunzi nahisi sababu pale ni FULL ENGINEERING hakuna kozi nyingine labda kama ndo wazianzishe sasa,alafu si wachache kama usemavyo kuna kijana ninae mjua pale kozi moja tu anayosoma anadai wapo 118,nenda vyuo vyote vya Engineering watu finyu hasa wadada ndo haswa...full kukimbia hesabu,nakumbuka pale CoET UDSM kuna kozi kulikua na watu kumi,huko MIST ndo vilevile,alafu kama chuo ni kipya tena private matangazo lazima....vyuo vyote Private vilijitangaza St.John,Tumaini,St.Augustine etc.
 
Mh!mtoa mada kama ni interview tu kwangu ameshindwa hayupo compitent....wamiliki wanatoa sup kwani hao ndo ma lecturer,vilevile hakuna wa Tz toka CoET,DIT wanaofundisha part time,kingine kimenifanya nijiulize mara useme watu wanapewa GPA kubwa wakati mada yako sup ni nyingi ili waingize fedha sasa kama wanatoa GPA kubwa wanajingiziaje fedha na hizo sup,sup si zitakua chache na kipato kitakua kidogo,mwisho umetueleza wanatoa GPA sasa iweje wewe tu unyimwe kama huwa wanazitoa tu....INAMANA WEWE UNAONEWA.
Nimewasilisha tu.

Atakuaje competent wakati teyari anasoma kwenye hicho chuo alichoita cha vilaza?
 
Back
Top Bottom