Wamasai kuweni makini Zanzibar, mmewekewa chambo mnavutwa mnavutika tu bila kujitambua

Waishi bila sime na fimbo, inawezekana, hiki wanachofanya wamasai sasa hivi ni matumizi mabaya ya hizo silaha walizozoea kuzibeba, waache kuishi kwa mazoea, mambo ya jandoni yabaki huko kwenye jamii yao, sio kusogea nayo mijini penye mchanganyiko wa jamii tofauti, zenye hulka na tabia tofauti.

Haiwezekani uambiwe uache kutembea nazo, kisha ujibu kwa kumtandika yule anayekwambia, ukiulizwa kulikoni, useme ulichokozwa. Hizo fimbo na sime ni kama zinawapa viburi, wanajiamini kupitiliza, hawajui kuongea, wao ni kutandika tu.

Kutembea na fimbo na sime mijini ni sawa na kutugeuza sisi wengine tusio na fimbo mbuzi wao, wanatuchunga, au wanatuona kama chui, ndio maana wameamua kujilinda dhidi yetu maadui zao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Andiko lako zuri sana sasa solution ni kwamba waachwe wabaki kwao tangu lini mmasai ukamtengenisha na fimbo na sime yake?.Moja ya makabila duniani ambayo ni vigumu sana kuacha mila zao ni wamasai,wa aborigine wa Australia,wa papua New Guinea,wahindi wekundu,Yonomani wa Brazili wale wanaokula nyama ya mtu wao mpendwa aliyekufa kuaminini mzimu wake ubaki kwao na kabila moja Indonesia linaitwa Torojan.
Serikali inatakiwa ichukulie hili jambo sio kisiasa zaidi.Kama ni kuharibu mazingira mbona kunajengwa mahoteli huko mbugani.
Wamasai waachwe waendelee kuishi na wanyama taratibu zifuatwe tu wapewe masharti maalum jinsi ya kuishi huko.Kama ni hivyo hivi kuna kitu kinaharibu mazingira kama uchimbaji wa migodi mikubwa ambapo wanapewa migodi hatimaye tunaachiwa mashimo?
Uzuri wa wamasai ni kwamba kula nyama ya porini kwao ni dhambi kubwa mno kwa maana hiyo wanashiriki kusaidia kuwatunza wanyama.
Nimeishi Arusha nimekulia Arusha siku zote wamasai wanatembea na fimbo zao.Wana amani sana hawa jamaa ila tu usiwachokoze sijawahi ona mmasai katandika fimbo au ng'udi wanavyoita bila sababu ya msingi.Tena wanaingia nazo hadi bar.Kule kwa Mrombo tunakunywa nao unakuta anakula nyama anakata na sime lakini hawana vurugu.
 
Hicho chambo wanajichambia wenyewe..

Kuna makosa wanafanya yapo wazi kabisa..ni.kwamba siku hizi wamejaa hoteli za kitalii kutafuta wanawake wa kizungu hii ipo wazi..ujinga wao sasa ni pale wanapo ingilia kanuni za wenye hoteli..wageni wamepumzika wao wanapita pita kuwasumbua, kuwaamsha wawatongoze ! Nani anataka kufukuziwa wateja kutokana na usumbufu wao! ..biashara ya utalii ina standard zake ,wao wanavamia tena kwa nguvu. ..kwa nini wasiwangojee wageni wanapokuwa beach matembezini?

Na kuuza vitu mkononi bila duka watu wote wamekatazwa .. kwa vile wanakuwa hawalipi kodi ,wafungue sehemu wauze..wao hawataki..sasa waachiwe kwani wao ni nani?

Kuna watu wengi ..sana na makabila tofauti mpaka nchi jirani wanafanya biashara miaka mingi tu n hawaguswi kwa vile wanafata kanuni na sheria za znz!...

Tatizo jamaa zetu ustaarab .. kipengele.. .. lakini wataelewa somo tu taratibu maana wengine huwa sio wamasai ila wanavaa nguo za kimasai!

Mmasai aache ng"ombe kwa mshahara wa kuolewa na mzungu?
Wanawatomba hao wazungu tena wengi ni vizee vimejichokea mda mwingi vinavuta sigara wanavitomba sana kwenye mahotel
 
Andiko lako zuri sana sasa solution ni kwamba waachwe wabaki kwao tangu laini mmasai ukamtengenisha na fimbo na sime yake?.Moja ya makabila duniani ambayo ni vigumu sana kuacha mila zao ni wamasai,wa aborigine wa Australia,wa papua New Guinea,wahindi wekundu,Yonomani wa Brazili wale wanaokula nyama ya mtu wao mpendwa aliyekufa kuaminini mzimu wake ubaki kwao na kabila moja Indonesia nimesahau nitaliandika nikikumbuka.
Serikali inatakiwa ichukulie hili jambo sio kisiasa zaidi.Kama ni kuharibu mazingira mbona kunajengwa mahoteli huko mbugani.
Wamasai waachwe waendelee kuishi na wanyama taratibu zifuatwe tu
Wanajichanganya huko kuwatomba wazungu Sheria zipi zifuatwe?
 
Andiko lako zuri sana sasa solution ni kwamba waachwe wabaki kwao tangu laini mmasai ukamtengenisha na fimbo na sime yake?.Moja ya makabila duniani ambayo ni vigumu sana kuacha mila zao ni wamasai,wa aborigine wa Australia,wa papua New Guinea,wahindi wekundu,Yonomani wa Brazili wale wanaokula nyama ya mtu wao mpendwa aliyekufa kuaminini mzimu wake ubaki kwao na kabila moja Indonesia nimesahau nitaliandika nikikumbuka.
Serikali inatakiwa ichukulie hili jambo sio kisiasa zaidi.Kama ni kuharibu mazingira mbona kunajengwa mahoteli huko mbugani.
Wamasai waachwe waendelee kuishi na wanyama taratibu zifuatwe tu
Kweli mkuu Bora wangeachwa tu huko maporini
 
wamasai wanawekewa 'chambo' na wao bila kujijua naona wanaingia wazima wazima.
Serikali ya Zanzibar sio tu inafanya Ubaguzi, pia inakiuka sheria za Kimataifa zinazotaka kulinda, kudumisha, na kuendeleza tamaduni na jadi za Kijamii.

Hususani, kama Jamii ya Wamasai.

Kwa tafsiri ya 'chambo' huko juu, naweza kusema kwa kimombo ni sawa na 'inducing or coercing'.

Sasa unapofanya Inducement and coercing kwa kwa kundi la kijamii(hapa la Wamaasai)kufanya Uhalifu na kisha kufuta 'utambulisho' wao wa 'Kitamaduni', in my school of thoghts, constitutes genocide.

Sio hivyo tu, according to United Nations Genocide Convention, jambo hilo likiwa kimfumo(systemic) ni kigezo tosha kuita Genocide.

Sasa, kama kweli vitendo kama hivyo vinatokea Zanzibar ambayo ni Tanzania, vinamaanisha nia ya kimakusudi na ya kimfumo ya kuliangamiza kabila la Wamaasai, ni Genocide.

Tanzania, Stop the Genocide of our fellow Citizens.
 
Politics.

Hakuna watu wanajua ku manipulate watu kama wanasiasa, wakitaka jambo lao hua hawakurupuki waanzia mbali tu mpaka lengo lao litimie, miaka ya karibuni tumeona wingi wa wamasai kufurika Zanzibar kwenda kutafuta maisha, wameshakua wengi sana, na tuwe tu wakweli fanya yote ila Zanzibar haitaki kupoteza 'identity'(asili) yake. Ndo maana muungano wa miongo zaidi ya 6 ila bado wako 'ki vyao vyao' tu

Nimewaza sana Kuna namna Hawa watu wanatakiwa watolewe huko, zimeanza chokochoko kidogo kidogo wamasai wanawekewa 'chambo' na wao bila kujijua naona wanaingia wazima wazima.

Turejee ya loliondo, yalianza kama matani tu, eti Kina maulid kitenge wameenda kutembea mbuga za wanyama, wakaanza kurekodi jinsi wamasai wanakaa maporini ambapo hakuna huduma muhimu, mara wanaingiliana na nature, wakaanza kupost kama vile wanawaonea huruma, unafiki mtupu. Hivi serikali hii inajua fika Kuna ma elfu ya vijiji watu hawana Huduma zozote Leo hii wakajifanya kuwaonea huruma wamasai

Kumbe watu washakula 'mlungula' bana, it was a well calculated move baada ya muda tuliona Nini kilitokea.

Jana nimeona tena wamasai wanagombana na walinzi wa hoteli paje... Huku watalii wakiwa eneo la tukio, nikaunganisha dot na lile la majuzi kuchapana bakora. Nikasema hapa lazima Kuna jambo.

Hili la zanzibar sio coincidence, ni watu wamekaa wameandaa move Moja ya akili sana ya kisiasa, wamasai hawana muda mrefu Zanzibar watatolewa au wataminywa uhuru mpaka 'wateme bungo'(waamue kuondoka wenyewe)

Akufukuzae hakuambii Toka, ni swala la muda tu, nipo hapa!
Kwa hbr ya Loliondo hakuna unalojua, kaa kimya we bwege
 
Kuna watu walimtoa nyoka porini kwenye makazi yake na kusema wataishi nae nyumbani, baada ya muda wakasema hawawezi kuishi nae mpaka aiteme sumu yake yote na meno asiwe nayo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hujanielewa... This is a well calculated move, hizo sime na rungu ndo Leo wameziona?
Nakazia, sio tu kwamba ni leo ndio wameziona, ila pia kila mmasai amepita Bandarini, akakaguliwa, na kukabidhiwa silaha zake hizo ambazo huwa zinakusanywa kabla ya kupanda boti Dar.

Wakati huo huo, ukiwa na silaha ya moto Zanzibar hawakupi hadi siku ukitoka Zanzibar ndio unarejeshewa.

Simply kama hawataki watembee na silaha, wazizuie bandarini zisiingie Zanzibar.
 
Wamasai wanawatomba hao wazungu hilo ndio bifu na mabaunsa wa huko chanzo ni hicho hakuna kingine Wamasai hawaibi Ila hao wazungu unaowaona kwenye clip wanatombwa na Wamasai sasa Walinzi wanawazuia wasiingie hayo maeneo kirahisirahisi sababu wanajilengesha kwa wazungu ili wawatombe

Km hujaelewa endelea kutumbua macho
Rubbish thinking
 
Suala la masai znz halina siasa yoyote mkuu hawa jamaa wamekuwa wengi kweli lakini wamekosa kabisa ustaarabu, akishakamata shanga zake mbili tattu mkononi wanasumbua sana wageni, hawajali faragha za wageni kabisa, compain za wageni kubughudhiwa na masai mahoteli ni nyingi sana. Wmepewa uhuru wa kutosha sana kufanya biashara beach lakini wameshindwa kuutumia na sasa wanavuka mipaka.

Mgeni anapolalamika kuhusu masai, wanakabidhiwa jukumu la kuhahkikisha wageni hawasumbuliwi ni walinzi, mlinzi anapofuata masai na kumweleza kuhusu kuwasumbua wageni masai haelewi hapo ndo shida inapoanzia.

Mlinzi anajukumu la kuhakisha a safe stay kwa wageni wa hoteli, mgeni anapolalalmika manake mlinzi hatajitimiza wajibu wake, tafsiri yake ni kwamba kibarua chake kiko hatarini. Hawezi kukaa kinyonge.

Wamesai wanajichanganya wenyewe kila wakiambiwa kitu utasikia beach ni public, hili ni suala la muda tu, watakaolianzisha ni investors na si serikali na serikali lazima itafuata matakwa investors.
Wapemba mna chuki sana.
 
Rubbish thinking
Tembelea mahotel uwaone wazungu wanavyowaingiza Wamasai kwenda kuwatomba sio wanaume tu mpaka wanawake

Unakaa kaa kwenu Kibada huko utajua nini kinachoendelea mjini hata 3 star hotel haujui inafananaje
 
Back
Top Bottom