Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,036
- 10,070
Politics.
Hakuna watu wanajua ku manipulate watu kama wanasiasa, wakitaka jambo lao hua hawakurupuki waanzia mbali tu mpaka lengo lao litimie, miaka ya karibuni tumeona wingi wa wamasai kufurika Zanzibar kwenda kutafuta maisha, wameshakua wengi sana, na tuwe tu wakweli fanya yote ila Zanzibar haitaki kupoteza 'identity'(asili) yake. Ndo maana muungano wa miongo zaidi ya 6 ila bado wako 'ki vyao vyao' tu
Nimewaza sana Kuna namna Hawa watu wanatakiwa watolewe huko, zimeanza chokochoko kidogo kidogo wamasai wanawekewa 'chambo' na wao bila kujijua naona wanaingia wazima wazima.
Turejee ya loliondo, yalianza kama matani tu, eti Kina maulid kitenge wameenda kutembea mbuga za wanyama, wakaanza kurekodi jinsi wamasai wanakaa maporini ambapo hakuna huduma muhimu, mara wanaingiliana na nature, wakaanza kupost kama vile wanawaonea huruma, unafiki mtupu. Hivi serikali hii inajua fika Kuna ma elfu ya vijiji watu hawana Huduma zozote Leo hii wakajifanya kuwaonea huruma wamasai
Kumbe watu washakula 'mlungula' bana, it was a well calculated move baada ya muda tuliona Nini kilitokea.
Jana nimeona tena wamasai wanagombana na walinzi wa hoteli paje... Huku watalii wakiwa eneo la tukio, nikaunganisha dot na lile la majuzi kuchapana bakora. Nikasema hapa lazima Kuna jambo.
Hili la zanzibar sio coincidence, ni watu wamekaa wameandaa move Moja ya akili sana ya kisiasa, wamasai hawana muda mrefu Zanzibar watatolewa au wataminywa uhuru mpaka 'wateme bungo'(waamue kuondoka wenyewe)
Akufukuzae hakuambii Toka, ni swala la muda tu, nipo hapa!