big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 398
- 1,061
Wimbo wa Fid q ft taz _walk it off ni wimbo ambao umetoka miaka 6 iliyopita Lakini huu wimbo haupewi airtime sana kama wimbo bora wa hip hop mda wote(according to me) ukichek jins fid alivyofloo English hatari na kiswahili balaa na Taz alivyo kill kwenye chorus dah this song deserves walahi.
Ukifuatiwa na mchizi wangu remix hizi ni nyimbo bora kabisa kuwahi kufyetuliwa kutoka kiwanda cha bongo fleva Tanzania
Ukifuatiwa na mchizi wangu remix hizi ni nyimbo bora kabisa kuwahi kufyetuliwa kutoka kiwanda cha bongo fleva Tanzania