Walk it Off - Wimbo bora wa Hip Hop Bongo wa muda wote

big dreamer

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
398
1,059
Wimbo wa Fid q ft taz _walk it off ni wimbo ambao umetoka miaka 6 iliyopita Lakini huu wimbo haupewi airtime sana kama wimbo bora wa hip hop mda wote(according to me) ukichek jins fid alivyofloo English hatari na kiswahili balaa na Taz alivyo kill kwenye chorus dah this song deserves walahi.

Screenshot_20220718-074741_1.jpg

Ukifuatiwa na mchizi wangu remix hizi ni nyimbo bora kabisa kuwahi kufyetuliwa kutoka kiwanda cha bongo fleva Tanzania

Wimbo wa Fid q ft taz _walk it off ni wimbo ambao umetoka miaka 6 iliyopita Lakini huu wimbo haupewi airtime sana kama wimbo bora wa hip hop mda wote(according to me) ukichek jins fid alivyofloo English hatari na kiswahili balaa na Taz alivyo kill kwenye chorus dah this song deserves walahi.

View attachment 2294788

Ukifuatiwa na mchizi wangu remix hizi ni nyimbo bora kabisa kuwahi kufyetuliwa kutoka kiwanda cha bongo fleva Tanzania

una masihara sana we jamaa.
 
Hata ajanituma,,,ila walk it off ni wimbo bora wa mda wote tangu utoke ila sijasema fid q ni msanii bora wa hip hop wa muda wote
Iko wazi kuwa fid q ni GOAT upande wa hiphop/rap game usisite kusema hivo!
 
Ndio nmeusikia leo huo wimbo baada ya kupigiwa promo JF, yani wimbo bora ukose hata airtime kwa radio????

FID katoa nyimbo nyingi nzuri, ila sio hii, hata kama video ni nzuri, huu huwezi fananisha hata na 'sihitaji marafiki'.
 
yeeah true fid ana ngoma nyingi nzuri kuliko huo
 
wewe jamaa kama kweli mpenzi wa hiphop na shabiki wa fid hyo ngoma ya kawaida sana...
bongo hiphop ndio ngoma ya miaka yote ya hiphop kuanzia mdundo(pfunk majani), midondoko hadi mashairi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom