Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
Kaazi kwelikweli bora wazazi wangu walinipeleka shule
Wandugu ndio maana mnaambiwa mwende shule kwanza!! Hebu tazama hata habari yenyewe ilivyokaa. Duu!!
Hio picha ya izo vitobo vya bullets ni edit! Na inaonekana hasa kama editing!! Khatari kweli
Can you believe it? Halafu eti wanathubutu kujiita UAMUSHO...UAMUSHO, my foot! Ni kama kipofu kumwongoza kipofu! When will these guys ever wise up!Angalia walikoitoa hiyo picha. Yaani huyu naye ni Sheikh kweli?
http://img.auctiva.com/imgdata/1/4/7/1/6/7/6/webimg/446309610_o.jpg
kama haifunguki copy yote halafu u paste kwenye google..
Asante kwa kuliona hilo.
Angalia walikoitoa hiyo picha. Yaani huyu naye ni Sheikh kweli?
http://img.auctiva.com/imgdata/1/4/7/1/6/7/6/webimg/446309610_o.jpg
kama haifunguki copy yote halafu u paste kwenye google..
Chuo chenyewe ni hicho cha kudanganya umma kwa picha feki za internet? Sasa Iwapo Sheikh anasema uongo namna hii tumwamini nani? Mnataka kuleta fujo zisizokuwa na maana. Iwapo umesoma Chuo hebu copy link ya hiyo picha na kisha u-google ili uone uongo wa Sheikh wako!!!!Shule kitu gani mkuu, wenzio tunaanza Chuo at the age of five! chezea sie weye!
Can you believe it? Halafu eti wanathubutu kujiita UAMUSHO...UAMUSHO, my foot! Ni kama kipofu kumwongoza kipofu! When will these guys ever wise up!
Kama unataka gonga pia hapo kwenye maandishi ya blue...Hii hata mimi ninadout, hebu angalia yale matundu ya risasi ule mchoro wa nje, yote manne yanafanana.:sad:
Item:6512419 Fake Bullet Holes - Who Shot My Truck???? : For Sale at | |
seller s description fake bullet holes set of 4 | 318x261 |
You are right!! Click here!!Hio picha ya izo vitobo vya bullets ni edit! Na inaonekana hasa kama editing!! Khatari kweli
Item:6512419 Fake Bullet Holes - Who Shot My Truck???? : For Sale at | |
seller s description fake bullet holes set of 4 | 318x261 |
Angalia walikoitoa hiyo picha. Yaani huyu naye ni Sheikh kweli?
http://img.auctiva.com/imgdata/1/4/7/1/6/7/6/webimg/446309610_o.jpg
kama haifunguki copy yote halafu u paste kwenye google..
Hiyo picha Sheikh Farid kasema wapi kuwa ni ya gari yake?
Katika taarifa nzima hatukutajiwa kuwa Sheikh Farid alimuonyesha muandishi wa makala gari wala kumpatia picha ya ku"sindikizia" taarifa zake.
Hakuna uhusiano baina ya picha iliyowekwa kwenye makala na alichokisema yeye......