Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

Jesus said:
"44 You are of your father the devil, and your will is to do your father's desires. He was a murderer from the beginning, and has nothing to do with the truth, because there is no truth in him. When he lies, he speaks out of his own character, for he is a liar and the father of lies. "

John 8:44

EXACTLY! Na hicho ndicho kiini cha tatizo. Sawa sawa na atendavyo baba yao, wana nao hutenda hayo hayo. Kwani alikuwa mwongo na muuaji tangu mwanzo vivyo hivyo na wanaomtumikia. Thank you Jesus.
 
Hiyo picha aliibandika wapi hebu tupe link, isije kuwa wewe ndio uliibandika halafu uje msingizia Sheikh Farid.
 
watanganyika wa ARUSHA walivyouawa na Polisi Je? Wao kupigwa virungu tu Kelele nyingi..
 
hiyo picha kwanza ni fake, alaf huyu si sheikh wa uamsho kwa hiyo walita kutuambia amekoswa na risasi na hawezi kukoswa na risasi bali atapigwa kama ataendelea

Picha ni fake ndo iweje?

Kama mtu ananukuu maelezo ya Sheikh Farid kisha anaweka picha fake ndio kosa la Sheikh Farid?

Ni sawa na wewe kusema unamiliki gari, kisha mie nikaweka picha ya Mercedes G55 pamoja na nukuu ya maneno yako, kisha nikapita kusema kuwa wewe ruttashobolwa ni muongo kwa sababu humiliki Mecedes G55!

Common sense is not so common after all ....SMH


*Hayo mengineyo kwenye bold siendei huko
 
zanzibar itakuwa huru INSHALLAH .makafiri hampendi taifa la kiislam zanzibar.kwani mnangangania kisiwa kidogo kama hiki.

kwani zanzibar lazima hiwe huru kwa kuchoma makanisa na kuhatarisha amani?

Sidhani kama unatumia vizuri kichwa chako kufikiri!
 
picha feki ambayo imetoa uhalisia wa habari yenyewe na kuifanya iwe ya kutunga (feki) ili kuuhadaa uma kwa kinachoendelea huko visiwani
 
hivi jamani matundu gani ya risasi yanakua identical yoote??
halafu mbona hii picha ni ya kudownload from google??
 
Hayo yanayo onekana kama matobo ya risasi ni stika za kubandika kwenye magari zinapatikana kwenye Autopart stores kama NAPA, Autozone, O'rielly na Advaced Auto.
 
Kaleta uongo wapi?

Alisema wapi kuwa picha hiyo ni ya gari yake?

Kama kuna uzembe na uongo ni wa mwandika makala, maana yeye ndiye aliyeweka picha bila ya kutoa maelezo yahusikayo

Tanabahi:
Kwa kazi yoyote ya kiuandishi unayowasilisha vielelezo, inatakiwa kwa sheria na kanuni za uandishi kuweka maelezo yanayohusu vielelezo hivyo [chini ya kielelezo], pamoja na chanzo cha vielelezo hivyo

Kwenye taarifa/makala tuliyoletewa hakuna maelezo wala chanzo cha vielelezo hivyo
Mbona waitetea sana hii kashafa Gaijin, sitarajii kama utakuwa na unajaribu ku-water down its implications!
 
MNA MHUKUMU SHEKH NI MUONGO .. KWENYE HABARI HAKUNA MAHALA KASEMA HII NI GARI YANGU ... HUYU abdulahsaf ALIYELETA HIZI KHABARI NDIYE MUONGO IKIWEZEKANA AFUNGIWE UNLESS ALETE USHAHIDI SHEKH ALIONESHA HIYO PICHA NDIO GARI YAKE ...
 
Mbona waitetea sana hii kashafa Gaijin, sitarajii kama utakuwa na unajaribu ku-water down its implications!

Sijaribu ku-water down chochote, naonyesha flaw/dosari kwenye mantiki ya watu ku-base mjadala wote kwa picha fake ambayo hakuna sehemu inayoonyesha hiyo picha imetolewa na huyo Sheikh

Sisemi kuwa ameshambuliwa kwa risasi wala sisemi kuwa hajashambuliwa kwa risasi............ninachojaribu ni kutanua wigo wa reasoning kwa Watanzania.

Ni ukosefu wa mantiki kumwita mtu muongo kwa sababu maneno yake yamenukuliwa na kubadindikiwa picha fake. Tuseme huyo ni muongo kwa sababu nyengine, kuganda kwenye picha ni kujidumaza kifikra
 
MNA MHUKUMU SHEKH NI MUONGO .. KWENYE HABARI HAKUNA MAHALA KASEMA HII NI GARI YANGU ... HUYU abdulahsaf ALIYELETA HIZI KHABARI NDIYE MUONGO IKIWEZEKANA AFUNGIWE UNLESS ALETE USHAHIDI SHEKH ALIONESHA HIYO PICHA NDIO GARI YAKE ...

sasa ni njiwa vs mleta mada

jana ilikuw muft vs sheikh ponda

mbona mnatuchanganya sana
yani mmegawanyika vipande, vipande.
 
wanzanzibar songeni mbele ili muikomboe nchi yenu wala msiwajali maadui hata wamisri walianza mda mrefu sana hadi leo wamefanikiwa.M/MUNGU YU PAMOJA NANYI
 
Siasa za Zenji ndivyo zilivyo!
Ilianza kwa umwagaji wa damu kwenye mapinduzi,na umwagaji damu utaendelea kwani
auaye kwa upanga atauawa kwa upanga!!!
 
Nani atake kuuwa wewe bhana? ameamua kuweka picha za uongo ili apate kuungwa mkono na wazembe wa kufikiri.
 
sasa ni njiwa vs mleta mada

jana ilikuw muft vs sheikh ponda

mbona mnatuchanganya sana
yani mmegawanyika vipande, vipande.

Sina rival yoyote na mleta mada .. najaribu kusimama kwenye ukweli...! habari aliyoleta athibitishe kama gari kweli shekh alionesha ni yake.. kama sivyo basi mleta mada ni mzushi na kwa sheria za JF afungiwe kwa kipindi fulani
 
Back
Top Bottom