Heroine CA
Senior Member
- Jan 2, 2017
- 133
- 204
Daa umenikumbusha mapinduzi rumu no 62
Ipo ukiingia tu ground floor unakata kulia then kule mwisho kushoto. Dirisha lake liko upande wa half mile. Kwa nyuma kuna bathrooms
Daa umenikumbusha mapinduzi rumu no 62
flash haita isha mkuu,fight ya nyali nayo haita isha scout walembo sanaMnakumbuka mtindo wa kupiga flash na fight la nyali Dh?
Mwenge room no 38,Mandela,Mandela Annex, Azimio, ujamaa, msiwasi, mabanzi ya masista, mzee dereva wa shule, Amapu, Fyudo, Facken Behavior, lupalama, mkosho, akapulko, Half mile, Nzowa kitchen force, Wakorinto,Chidi,Danda,Zoo, Mama Mingoi, Ipamba, Idete, Charwe, Soja
ZooNifah ulisoma Iringa girls au vipi
Na nyumbu vipiunanikumbusha hilo neno CHUA mkuu
Wale manesi wana lika sana,Zoo nao walikua wanatukubali sana.Hahaha aisee msiwasahau manurse wa ipamba, mpishi mlunza, kachenje, mambo ya kupigana flash.....Shule yetu tosaaaa
Mlunza nasikia kafukuzwa kazi mkuummenikumbusha mbali sana enzi hizo, mpishi mkuu Mlunza the great babu wa Sumu.
manesi ipamba unajifanya unaumwa ili uende kwa kimada tu.
zoooo...( iringa girls)
migomo ndo ilikuwa shidaaaaa
Haha haha upo sahihi kabisa chumba cha pili opposite kuna rumu namba 59Ipo ukiingia tu ground floor unakata kulia then kule mwisho kushoto. Dirisha lake liko upande wa half mile. Kwa nyuma kuna bathrooms
Sisi tuliosoma enzi miaka ya 2001 kulikuwa na kitu kinaitwa E.M.O kuna mzee mmoja nadhani alikuwa mhasibu wa shule anaenda mjini postal bank anakuja na majina ya waliopata EMO yanabandikwa pale staff kwa nje aisee ukiona jina unafurahi sana. EMO kwa saaa ndio hizi MPESA, Tigo Pesa etc. kweli mambo yanaenda kasi.
Mkuu Mandela bado ipo? Jengo la zamani sana lilikuwa ukitembea sakafu inatikisika unasikia mtetemeko na kudondosha vidongo.ni shule nzuri kwa majengo na kitaaluma ina mabweni kama ujamaa Mandela ni kama chuo kitaaluma inategemea management lakn 2006 kurudi nyuma enzi charwe ilikuwa inatoa TO cjui kwasasa kwakuwa should nyingi koñgwe za serikali zinapumulia machine
bila shaka mdau wa tosa alifanya yake maana tosa boy siyo wa sport sport.Jamani nikiisikia hii shule nakumbuka mbali sana basi tu.
TOSAMAGANGA!