Waliosoma Tosamaganga High School

jaman mwenye details zozote about tosamaganga azi drop basi i.e physical structure,academic performance na vingne vyoote nb.current ones
 
Mdau embu gugo matokeo Yao yakoje ndo utapata current status. But enz za mbanga na mkangwa alikuwa poa.zzk ni product yao 1998 egm
 
ni shule bora kwa mazingira ya kujisomea na kuna michepuo ya pcm,pcb,cbg,pgm,egm na hge.
 
Leta mada hujaeleweka lengo haswa nn coz kama historia ya Tosa unaweza kugoogle na si mtu akuelezee kama kweli upo serious
 
ni shule nzuri kwa majengo na kitaaluma ina mabweni kama ujamaa Mandela ni kama chuo kitaaluma inategemea management lakn 2006 kurudi nyuma enzi charwe ilikuwa inatoa TO cjui kwasasa kwakuwa should nyingi koñgwe za serikali zinapumulia machine
 
Back
Top Bottom