cDNA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 353
- 348
Nilisoma miaka mingi iliyopita ktk shule maalumu O' level, nikaenda A' level ktk shule maalumu but nilijikuta nimekuwa nikisoma naelewa lakini baada ya wiki au wiki mbili sikumbuki niliyokwishasoma. Nikahisi nimekuwa kilaza. Nikawaambia walionitangulia (form 6) wakanambia hiyo ndio PCB inatakiwa uwe unakariri kariri na wala sio kwamba umekuwa kilaza bali mambo ni mengi.