Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Kwa wale waliosoma PCB tukutane hapa ,tukumbushane mawili matatu na changamoto tulizo kutana nazo pindi tunasoma
Nakumbuka vitabu vya biology vilikuwa vingi na vyote vimeshiba na vikubwa. Kibaya enzi zetu viliongezeka, yaani wale wa zamani walitumia mikate, ila baadaye sisi vikaongezeka vingine kama understanding biology, biological science (maarufu kama BS), sina hakika kwa sasa kama wanasoma vitabu hivyo. Ila kwangu mimi kuwa na hivyo vitatu tu ilikuwa bonge la mzigo. Pamoja na yote nilogonga A ya Bios!
 
hongera yako mkuu si mchezo kutoka na banda la bios
 
Sita sahau mtiahan wa form six 2013 nilifanya pepa 3B zote chemistry and biology ingawaje nilikua CBG bt CBG wenzangu walibahatika kupga pepa 3A
Mm nilipita njia za panya kufika chuo kikuu (hapa namaanisha nilifanya dissection ya panya ambayo past pepa yake ilikuwa ya 1993 ambapo nilikuwa na miaka 2 tangu nizaliwe)
Shikamoo form six
Nashukuru gamba nimesha richukua juz
Nasubiria gamba la chuo kikuu mwez 11 mwaka huu
Mungu naomba unitimizie ndoto zng mm mtoto wa mama ntilie
Amen
Duuuuh pole sana
 
Back
Top Bottom