Shukrani chief ,masaa matatu kwa huku wanaweka kwa mitihani mikubwa tu,Ila Kama Ile ya shule wanaweka 2.5hrsCha kwanza muda ni masaa matatu.
Cha pili pure 1 ni ngumu sana kuimaliza hivyo kwenye maswali 10 fanya 8 kikamilifu halaf tulia.
Cha tatu pure 2 ni nyepesi unaweza kuimaliza.
Hata mi nashangaa,Mimi nilisoma Bam Ila sikupoa,nisiposoma kulingana na ratiba Basi Bora nikalale ili ule mda niufidie badae kichwa kukiwa kimetuliaAdvance unapata wapi muda wa kushika simu na kuingia social networks. Ongea na watu walioko hapo ulipo. Huku watu wameshasahau hicho unachoulizia. Wako hatua ya mbali kimaisha. Cha kwanza achana na simu,komaa na kitabu. Advance watu walikosa muda wa kula wewe mpaka muda kuweka bando na kushika Simu unao naa unatagemea kumaliza maswali. Ulizia wanaomaliza wenzako ndio Siri ilipo ama wote hapo hammalizagi.
Maths Ina short cut zake ,kama unakariri utaendelea kupoteza muda mwingi,mfano tuma swali mimi nifanye na wewe ufanye nikuonyeshe short cutWakuu habari zenu,kwa wale waliosoma combination zenye Mathematics (EGM,PGM,PCM).Paper ya pure mlikuwa mnatumia mbinu gani kumaliza?
Najitahidi kukaza fuvu na hata kuongeza speed Ila siimalizagi.Muda huwa ni masaa mawili na nusu.
Mkuu kumbe ulisoma adv. Mathematics?Sio lazima ufanye maswali yote, sisi tuliosoma advanced mathematics a level miaka hiyo tulikuwa tunaangalia na kusort maswali ya msingi, tunatembea nayo hayo. Huwezi kumaliza maswali yote.
Unatafuta sifa mkuu? Sina utani na wewe...Mkuu kumbe ulisoma adv. Mathematics?
Aisee 🤣🤣🤣 sikuwahi dhania kwa kweli. Nilidhani we ni form 1 leaver kisa madawa ya kulevya 🤣🤣😂
lengo la mwl wenu anataka awatrain kua na speed kubwa Ili mkifanya mitihani wa joints like mocks,pre nectar, even necta yenyewe muweze kumaliza kikamilifu coz ina duration ya 3hrs..So mkiweza kumanage 2.5hrs kwenye mazoezi ya darasani mtakua na advantage ya half hr kwenye mitihani ya mhimu kuweka mambo sawa na kuhakiki ubora wa kaziShukrani chief ,masaa matatu kwa huku wanaweka kwa mitihani mikubwa tu,Ila Kama Ile ya shule wanaweka 2.5hrs
1. Fanya kuwa somo lako pedwa,Paper ya pure mlikuwa mnatumia mbinu gani kumaliza?
Km haipandi acha shule, mtoto mjinga sana weweWakuu habari zenu,kwa wale waliosoma combination zenye Mathematics (EGM,PGM,PCM).Paper ya pure mlikuwa mnatumia mbinu gani kumaliza?
Najitahidi kukaza fuvu na hata kuongeza speed Ila siimalizagi.Muda huwa ni masaa mawili na nusu.