Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,898
- 113,738
Hivi stand ilikua mnazi mmoja au kisutu?
Samahan lakini mimi nimekuja juz dar kwahyo si mwenyeji!
Kuna watu wengine wanafahamika na watoto wa mujini tu, yani sio rahisi wauza vitumbua na wamama wa tandale kuwafahamu, kwa mfano shamim mwasha anafahamika na watoto wale mujini tu , nadhan hao wote niliowataj wako hvyo, ila baada ya kuwa close na wale celebrities wa kibongo majina yao yamekuwa zaidi na kuwa maarufu
Kweli wewe wa mbezi beach mkuu.
Kweli wewe wa mbezi beach mkuu.
Mbezi Beach siku hizi wamekuchafua kumekuwa kama uswahilini.
Nimerudi napitishwa Bagamoyo Road it took me several minutes kuitambua, pembeni vibanda vibanda kibaaao.
Siyo enzi zile pale Tangi Bovu unaliona tangi lile pale lina kutu, hapa chini ya Tangu kuna shamba la bibi.
Ukiongelea mbezi beach may mitaa ya kule karibia na maghorofa ya BOT, kule ni shidaa uko juu mi napaona pa kawaida tuu
chochote atakachokiandika Kiranga humu hutakiwi kuonesha dalili ya kukipinga.
Mitaa ya Esacs, kwa Sykes na kwa Mataka huku?
Kule nilikuwa sijapata muda wa kupitia sana, lakini nilienda kusalimia cousins and uncles kuna watu wamepiga vitu kama uko South au hata Miami.
Huku barabarani wamepaharibu sana, nimesononeka that side of Mbezi Beach is going to the dogs. Vipi barabara mpya inaendeleaje? Labda ikikamilika vibandavibanda mshenzi vitabomolewa.
mmh hizo barabara za juu kuisha Sijui mwaka gani, kwanza sipitagi labda nipande daladala, ila juzi nimepita pale bondeni kawe naona wanakaribia kumaliza ila foleni sasa , na kule njia panda ya tegeta mambo si mabaya naona baba Liz anakarabat barabara ya Om, wakazi wa mbezi,tegeta,Boko,bunju na bagamoyo wapo juu yani lami hadi posta , ndo maana magari yao mengi bado mapya.
Mbezi Beach siku hizi wamekuchafua kumekuwa kama uswahilini.
Nimerudi napitishwa Bagamoyo Road it took me several minutes kuitambua, pembeni vibanda vibanda kibaaao.
Siyo enzi zile pale Tangi Bovu unaliona tangi lile pale lina kutu, hapa chini ya Tangu kuna shamba la bibi.
Kwa hiyo wanapitia hii barabara ya karibu na beach huku kwenye roundabout pale siyo? Wanakwepa Tangi Bovu right?
Nimepitishwa huko nikasema Mbezi siku hizi wana an alternate route hawajachacha.
Chini na kwenyewe ni Nouma, mi napitaga kule kwa liyumba yani hlo boda noma wachache sana wanapajua unakuja kutokea njia ya kuelekea bahar beach kule juu karibia na ledger plaza, chini siku izi hadi daladala zinapita.
Vipi barabara mpya inaendeleaje? Labda ikikamilika vibandavibanda mshenzi vitabomolewa.
Kwa hiyo wanapitia hii barabara ya karibu na beach huku kwenye roundabout pale siyo? Wanakwepa Tangi Bovu right?
Nimepitishwa huko nikasema Mbezi siku hizi wana an alternate route hawajachacha.
Hiyo barabara haiishi leo wala kesho. Stretch ya vi maili vichache tu inachukua zaidi ya miaka mitatu. Wanakera sana hao watu.
Unazungumzia Old Bagamoyo road?