king rockie ATL
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 260
- 25
- Thread starter
- #21
kwa iyo wale wa nyama choma na maji ya rangi ya mende ni ful kujiachia
hahah hao mbona watachoka wao
kwa iyo wale wa nyama choma na maji ya rangi ya mende ni ful kujiachia
naitwa RadioActive niko Agronomy!!!halaa kwa wana SUA!!
Guyz chuo knafungua ln coz nshaanza kupataman.?
ze dudu pole jamani,,,za UDSM ulizivujisha afu zikakutosea,,ulisoma CBG???
sizitaki mbichi hizi!
Guyz chuo knafungua ln coz nshaanza kupataman.?
Naitwa geezzle,Agri.economics &agrbznec
kama kawaida mimi ni lordville...nafurahi kuwa engineer,,nitakua pale SUA kwa IRRIGATION AND WATER RESOURSES ENGINEERING!!! am so happy and am proud of me...naiman mungu atanisaidia ktk safari yangu ya 4yrs pale sua!!!

Wewe najuwa umekuwa tena sana nakuonaga tu unacopy mapicha yako huko unakuja kupest huku jf acha upopo