Waliochaguliwa SUA hapa!

Hahaa! Kuchaguliwa kutam jaman.! Yaan apa najhc mwepes baada ya cntofaham ya muda mref.
 
So just sayin
443362-Royalty-Free-RF-Clip-Art-Illustration-Of-A-Cartoon-Cat-Whistling-And-Pulling-A-Mouse-Toy.jpg
 
kama kawaida mimi ni lordville...nafurahi kuwa engineer,,nitakua pale SUA kwa IRRIGATION AND WATER RESOURSES ENGINEERING!!! am so happy and am proud of me...naiman mungu atanisaidia ktk safari yangu ya 4yrs pale sua!!!
 
One love bro tutakua wote!
 
Dah LORDVILLE ukasome kaka, habari za ajabuajabu tusizikie hapa mara, sapp mara umedisco mara umerudishwa home, kitabu kwa kwenda mbele. Big up kaka ha ha ha hah.
 
kama kawaida mimi ni lordville...nafurahi kuwa engineer,,nitakua pale SUA kwa IRRIGATION AND WATER RESOURSES ENGINEERING!!! am so happy and am proud of me...naiman mungu atanisaidia ktk safari yangu ya 4yrs pale sua!!!

congratulatn bro !! Pamoja sana
 
Wewe najuwa umekuwa tena sana nakuonaga tu unacopy mapicha yako huko unakuja kupest huku jf acha upopo

khaa, xo wat xactly made u insult me kijana? F humor ain't ur style achia wanaoweza ku handle. I hope modes will gv u some time out nd let u thnk wat u hav said. Peace
 
Back
Top Bottom