Waliochaguliwa muccobs,toeni msaada.

Jemsi

Senior Member
Mar 22, 2012
149
19
Je ndio mimi pekee jina halionekani web ya chuo?je nifanyaje ndugu zangu?
Nimeangalia web yao nikakuta waliopangwa kwenye facult niliyopangiwa na TCU ni 17,lakin awali guide book inaonyesha watu 100 ndio wanatakiwa kwenye hiyo facult. Nisaidieni jamani,9c day all
 
Back
Top Bottom