Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Samahani wakuu nimetembelea kijiji kimoja hapa Tabora yaani nimekutana na vijana wenzangu hawajui kama wamechaguliwa au hapana..naomba mnisaidie hapa S3679 kama kuna mtu kachaguliwa S3679
 
asante sana Ndugu yangu,lakini tatizo la pili ni kwamba itakuwaje kuhusu application za mkopo maana muda umeisha.

kuna mda specila ambao wanatoa tena nafasi kwa wale ambao hawakuomba hii ni special diploma tu ya waliochaguliwa be cool kijana.....
 
kuna mda specila ambao wanatoa tena nafasi kwa wale ambao hawakuomba hii ni special diploma tu ya waliochaguliwa be cool kijana.....

Uncle Yoso,pongezi kwako ngoja tusubiri huo muda watakao ongeza..maana kijana nimemwambia akapanic sana kwamba deadline ya loanbord aplication imefka..shkrani sana mkuu
 
hivi hawa form four wanaoletwa udom moja kwa moja kusoma special diploma ya education watafundisha secondary au msingi?
 
Back
Top Bottom