Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Hongeren na karbun Udom
Home of intellectual, mi nataka Frnd mmoja mjanja lakn sio mbaya tukiishi kama kk pale chuo ( wa kiume lakn) mjanja sio wa kisasa ki vile na wala sio wa kienyeji
 
Uko college gan
Na course ipi:what:
 
karibuni vijana... mwenye swali lolote ani pm,,, nipo second year phy/chem...

kaka vp huko maendeleo ya masomo nadhani mnaendelea vzr ndugu.. ,, samahani nami n mmoja wa kijana niliyepata nafasi ya kuchaguliwa kuja udom kwa hii special koz kwa chem/maths but tatizo langu n kwamba nilikosa ada ya kwenda kumalizia skul nilikonalizia so hadi nw cjafika huko udom na ikiwa tayar wamesha ripot ss ndugu nilikuwa nakuomba kam utaweza kunipatia mawasiliano ya huko kuhusu special diploma yetu hata nijue kama bado nafadi yangu ipo au ndo huvyo basi...,, nakuomba ndugu kwa yeyote atakaeona anisaidie jaman nami pia nataman sna kuja huko niendeleee na mm kwenye koz hiyo but kam nilivyosema apo awali kuwa ckul niliyotoka wazuia cheti changu koz nadaia ada bado.....,, so please namiomba mnisaidie hata mnipatie namba za simu ili niwasiliane nao ili nijue kama itawezekana nije hata mwakani nami niendelee na kozi ....

0768940685.. hizo n namba zangu wapendwa twaweza wasiliana ili muweze nisaidia wapendwa
 
Mr Ungekuja tu coz kuna rafiki yangu hapa kasajiliwa bila ya kuwa na result slip wala living yeye alilipia michango inayotakiwa akaja na cheti cha kuzaliwa tu basi ,Mimi mwenyewe sikuwa na cheti cha kuzalwa ila nimesajiliwa ?
 
dah nimeli miss sana bum letu ,[HASHTAG]#mwana[/HASHTAG] special diploma pande za social dah na miaka hairudi nyuma!!!
 
Back
Top Bottom