kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,034
- 2,943
Habari yenu, Serikali kupitia wizara ya elimu na mafuzo ya ufundi imefanya selection ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu special diploma UDOM ambao hawajachaguliwa kidato cha tano 2015
Soma zaidi: http://41.93.31.135:8080/Selections_ODSEPE/
Chadema chadema peoplez power, tanzania tanzania peoplez power