Waliochaguliwa kidato cha tano 2011

Emma M.

JF-Expert Member
May 15, 2009
204
6
Salamuni wadau na wahusika wengine.,
Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa.
Tafadhali tujulisheni hapa.
 
Mzigo bado matokeo yakiwa teyari tu kwenya vyombo vya habari utasikia vile vile wana JF wanakustua, relux endelea kula maisha!
 
StaffordKibona,
Ndume,
Kibirizi,
Asanteni kwa majibu.
Tafadhali nawategemea sana kunishtua mara tu yatakapo toka.
 
No warry,
Izo F5 selections zikitoka tu lazima wale wenye dhamana na iyo sector watayatangaza officially. Na baada ya apo yatatoka ktk magazeti mbali2. Si unajua hii ni burning issue?? First lazima wayatoe ktk mitandao yao ya:
Wizara: www.moe.go.tz
Baraza:The National Examinations Council of Tanzania
Habari ndo iyo.

Salamuni wadau na wahusika wengine.,
Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa.
Tafadhali tujulisheni hapa.
 
Dah headings zinachanganya. Heading its like yashatoka unatufahamisha kumbe ndo wauliza km yametoka!!
 
nami nafuatilia hiyo ili nijue vijana wetu wamefanikiwa au tuangalie namna nyingine ya kuwasaidia,atakaye yapata tafadhali yarushe hapa jamvini kama kawaida yetu.
 
kama kuna mtu amedownload pdf ya haya majina naomba atuwekee hapa..........tafadhali
 
:crazy:DUH!!! Jamani kuna shule nyingine hata sizijui yani kama Mkwasa, iko wapi?,naombeni msaada wenu tafadhali
 
Back
Top Bottom