usikumnene
Member
- Apr 23, 2017
- 81
- 108
Wazazi umewaweka kwenye mtanziko mkubwa kwa ukimya wako wa kutotangaza selection ya wanafunzi kwa mwaka 2023/24, hapa tulipo tuko njia panda, maana hatuelewi kinachoendelea huko.
Tujulisheni kama serikali imesitisha kudahili wanafunzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati mwaka huu ili tuone cha kufanya kwa watoto wetu.
Tujulisheni kama serikali imesitisha kudahili wanafunzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati mwaka huu ili tuone cha kufanya kwa watoto wetu.