Mie nimetupwa Rorya, duh!
Mie nimetupwa Rorya, duh!
thanks.laurence ile plana yako ya morogoro naona haikutimia dont lose hope,sina exposure na kigoma japo nina marafiki wengi huko,i advice u utakaporiti jaribu kustrive for maeneo yenye social service.nikipata data zaidi ntakujuza
kila la kheri kamanda
Vip halimashauri ya Kondoa wakuu, kuna mtu mwenye idea na huko?
kule kwenye mapanga?
Mkuu ndo umemaliza gd IIIA?
mkuu nakushauri kwanza uende ukaskilizie mazingira ya kule huenda yakawa poa sana then utalinganisha na plan B zako,i hope utacope na maeneo
Nilkuwa namuomba sana mungu walimu mpate ajira, nimefurahi sana leo kuona mkiwa na furaha. Kuhusu maisha ya kituo ulichopangiwa wewe ndio mwamuzi ukiishi vizuri na watu (wanakijiji, wanamji) utayafurahia sana maisha na utafanikiwa. Mjiweke chini msiende kuonesha madoido na dharau kwa wananchi... ohooooo... matarushwa vichaa au wazazi wenu watapokea mwili. Nawaambia haya kwakuwa nimepitia haya maisha na ninafahamu.!
Cha mwisho, vijana wa kiume msiviharibu vibinti, mtapigwa visu [mkishindwa kujizuia muoe]
Nimefurahi sana leo wandugu