Sitorudia tena kucheza mpira

Atalanta

Member
May 25, 2022
59
175
Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Nimeona nipate ku share nanyi kisa hiki kilichowahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita.

Wakati nipo O level kidato Cha nne nilikua ni mtu mcheshi Sana darasani kwetu, kitendo kilichofanya nipate kuwa na marafiki wengi pale shuleni. wengine nilikua nawajua lakini wengine nikawa siwajui. Kuna siku yalianza mashindano ya interclass siku hiyo nakumbuka kabisa form four ndiyo tulikua tunaanza, tenah tulipangiwa na form one. Sasa Mimi sikuwahi kucheza mpira. Sababu sikuona Kama mpira ni kipaji changu. Siku hiyo ya game ilipofika wakati wenzangu wanajiandaa Mimi nikafika pale nikaanza kuwalaumu kua wanchofanya sio vizuri sababu hata Mimi najua kucheza lakini wao hawataki kunipa nafasi. Nikawaambia na Mimi leo nataka kucheza

Kusema ukweli sikua na nia kabisa ya kucheza lakini nikawa naongea Kama sehemu ya utani tu kua nataka kucheza Ila baada ya kuona na wao Kama wanataka niruhusu Basi nikaona acha nikazanie hapahapa Hadi nicheze leo. Jamaa mmoja anaitwa Ally akasema "Sasa wewe hujawahi kuja hata mazoezini afu leo unataka kucheza mpira tenah tuna game kubwa Kama hii huoni Kama utatutia aibu..?" nikamwambia "sio Kama sitaki kuja mazoezini tatizo hata nikija hamnipi nafasi Sasa mimi nitacheza vipi". Baada ya muda Michael akasema "Basi haina noma wewe si unataka kucheza?" akaniuliza. Hasa Mimi nikatae tenah.. nikamjibu ndiyo nataka kucheza akasema utaingia zamu yangu kipindi Cha kwanza afu Mimi nitaingia kipindi Cha pili. Ukawa mzozo mwingine tenah sababu Kuna baadhi ya wanafunzi wenzangu wakasema naingia kuwaharibia tu Nibora Michael aanze kwanza yeye ili tuone muelekeo wa game. lakini Michael akasema wacha waone labda huenda najua kucheza.

Kipindi Cha kwanza kikaanza picha linaanza Michael akaniambiakua yeye anacheza namba sita kwahiyo nikae namba sita. Bhana bhana namba sita yenyewe sijui anakaa wapi uwanjani me nishazoeaga mpira wa Cha ndimu Sasa saizi ananiambia nikae namba sita me naijua? Nikaona hamna noma nikaenda kusimama kwa namba tatu . Nikasikia Ally ananiita Atalanta wee Atalanta wewe nikamgeukia. Akaniuliza wewe unacheza namba ngapi ..?? nikamjibu namba sita. "Wewe mseng* nini, Sasa namba sita ndiyo anakaa hapo ". Akaniuliza kwa ukali aisee Kama jamaa angekua na bunduki nahisi angenishuti sikuile maana niliwazingua Sana. "Sasa kumbe anakaa wapi" . nikamjibu huku nisijue nielekee upande upi. Afu usituletee ufala Kama hujui mpira si ungebaki tu nje kwanini unakua king'ang'ani wakati hujui mpira?

Subiri game ianze ndiyo utajua kua me najua au sijui Mpira, najua saiz huwezi niamini lakini ngoja game ianze kwanza wewe usiwaze Brooh, " Nikamjibu hivyo huku Nami nikiweka sura ya usiriaz nikiwa naruka ruka juu Kama wachezaji wafanyanvyo". Akaniangalia Kama mtu anaenikadiria hivi maana akiangalia muonekano wangu sijakaa kabisa Kama mchezaji. Akaniambia namba sita anakaa huko " huku ananionyesha kwa kidole" akaniuliza tenah unajua kazi ya namba sita?

Nikamjibu kwa ujasiri "eeh ndiyo najua", Ntajie kazi yake. akaniuliza tenah. " "kucheza mpira" nikamjibu hivyo. Jamaa akaniangalia afu akatikisa kichwa akasema leo ukizingua tu Mimi na wewe. Akaniambia nambasita kazi yake ni kukaba, wewe unatakiwa kuzunguka uwanja mzima huu, Pia unatakiwa uonekane kwenye matukio muhimu mfano ukiona beki ameshindwa kukaba Basi inabidi urudi wewe. Nikamuuliza "beki kwanza anacheza namba ngapi?" Jamaa aliniangalia Kama mtu ambae haamini kile nilichomuuliza. Kabla hata hajanijibu filimbi ikapulizwa kuonesha game limeanza. wakati huo nikawa najiuliza mwenyewe Yaani nizunguke uwanja mzima huu? kwa mazoezi gani nilivyokua nafanya. Lakini nikajipa moyo kua ntajitahidi tu hivyo hivyo. Waswahili wanasema mtoto akililia wembe mpe Aisee kilichonitokea siku ile sitokuja sahau.

Baada ya game kuanza Kuna dogo ambae alikua ni wa form one nikaona anakuja na mpira upande wangu nikasema ngoja nimfate nimkabe wakati namfata Sasa namsogelea akanipiga chenga Kama anaenda kulia kumbe anaenda kushoto Basi nami nikaenda kulia mazima mazima kidogo nianguke lakini nikajikaza ikabidi nimfate Ile namfata nikaona mpira umepita katikati ya miguu yangu nikasema "haaa toboo" nikageuka faster kwenda kumkaba tenah, nikaona kaudokoa mpira nikapigwa bonge la kanzu. Huku nje ya uwanja nikawa nasikia watu wakimsifia yule dogo huku wengine wakinicheka.

Zile kelele na vile vicheko vikawa vinazidi nivuruga kabisa na yeye dogo ndiyo akawa anazidi ongeza mbwembwe Mara awe anazungusha miguu yote miwili juu ya mpira lakini akawa haugusi mpira Sasa nikawa naogopa kumfata maana najua nikimfata tu ntapigwa chenga nyingine. wakati nimesimama namuangalia nikasikia tusi moja kutoka kwa Ally "we kumm*ko tukifungwa Leo utajua kua hunijui wewe unafikiri tupo kuchekesh humu eeh?? unamuangalia nini Sasa mfate mkabe.Huku nje watu sio kwa kucheka wengine wakawa wanashangaa Atalanta ameanza lini kucheza mpira...!!

Nikaamua nimfate yule dogo huku namwambia tarabitu kwa sauti ya chini "punguza chenga dogo me natoka uwanjani sio mda" kwani dogo alinijibu Basi.. sikujua hata kanipita vipi nikasikia tu goooooo ndo ashashinda hivyo Tayar. Wanangu wakaanza kunilaumu kua eti sikabi namuangalia tu adui Hadi anaapita na mpira. Nikashangaa Sasa wao wantaka nimkabe vipi ndio wajue kua namkaba, lakini nikaona ngoja niepushe Shari tu. wakati huo Sasa nikaanza kusikia kiu ya maji ya hatari.

Nikawaambia fresh saiz hapiti wanangu msiwaze. baada ya mpira kuanzishwa tenah nikarudi chini kwa namba tatu kuna muda nikawa napanda juu Yaani nikawa sieleweki. Hussein akaniuliza Sasa wewe unacheza namba ngapi nikamwambia me nipo namba sita. " Sasa mbona hueleweki Mara upo huku Mara kule tulia kwenye namba yako basi". nikamwambia Sasa na nyie mnanichanganya Mara mseme kazi ya namba sita kuzunguka uwanja Mara mseme nibaki palepale Sasa nimsikilize yupi na nimuache yupi ?? Sasa sikia me ninachojua kazi yangu kuzungukaga uwanja mzima. Nikaamua nimjibu hivyo. "Rudi kwenye namba yako" Akasema hussein Safari hii akaniambia kwa ukali nikaona freshi ngoja nirudi kwenye namba yangu Mambo yasiwe mengi. kusema ukweli nilikua namkimbia yule dogo asije nipiga chenga Tena.

wakati nimerudi pale nikaona yule dogo anaaomba pasi kwa mwenzake afu anamwambia oya nipe mpira Hamna mtu hapa Nipe pasi tuwapige lingine. Nikawa nashangaa kwahiyo Mimi sio mtu au dogo ndiyo ameanza dharau akasema tenah oya hii njia nipe pasi hiyo. Nikasema hapa akipata tu mpira namuonyesha unyama Yaani namchota bonge la ngwara. Si akapata mpira wakati namfata nimchote Kama alinijua vile me nakawa naenda mazima mazima yeye akanikwepa kidooogo tu Yaani Kama hataki vile ( Kuna wanajua kucheza mpira nyiee Hadi kero ) basii nikaenda mazima mazima Hadi chiini puuuh. kukwepa aibu ikabidi niamke faster nikaanza kuunga mbio kumfata wakati namfata akatoa pasi kwa mtu mwingine lakini bahati nzuri hawakufunga mda huu.

Sasa nikaanza kuhisi kiu ya maji ya hatari nakumbuka kuna muda nikawa natema mate lakini hayatoki kila nikitema naona mate Hamna nikaona ntakua naumwa sio bure mbona mate hayapo ( kumbe hii ni kawaida wa wachezaji wakiwa uwanjani). Hapo nikawa nahema Sana najiona kabisa kua pumzi inaenda kukata nikaomba maji, nikapewa nikapiga maji nikaendelea Tena na game baada ya muda Sasa nikasema niteme mate nikaona mate yanatoka lakini utokaji wake ulinitisha yakawa yanatoka Kama mlenda vilee Yaani hayakatiki yenyewe yanatoka afu yanarudi juu. "ukitema kwa nguvu hayaendi chini Ila yanabaki katikati ya mdomo na chini yankua hewani hewani " Nikasema usinitanie nikakata na mkono. Sasa nikaanza kuona kipindi Cha kwanza hakiishi na Mimi nimechoka maana kuna muda nikaanza kuona miguu inawasha nikikimbia kidogo tu miguu inawasha. Nahisi ilikua kutokana na kutokufanya mazoezi. Nikamuuliza refa tupo dakika ya ngapi saiz ?? akasema kua Ni dakika ya 25. Nikashangaa Yaani muda wote tuliocheza ndio tupo dakika ya 25 ??. Nikapiga mahesabu na halmashauri ya kichwa changu nkaona hapa Hadi kipindi Cha kwanza kiishe Basi ntakua nimefia uwanjani tayari.

Nikamwambia Ally oya me nataka kutoka nishachoka saizi siwezi kuendelea.Ali ndiyo alikua Captain wetu. Akasema Bora utoke tu maana ulikua unatuharibia game humu. Nikasema sawa lakini nimecheza hata hivyo. Sasa wakati natoka nikawa nategemea Michael aje aingie lakini sikumuona kumbe Michael alikua ameondoka kwa wakati ule. Nikasikia Ally ananiita Oyaaa Atalanta rudi uwanjani Michael hayupo na hakuna mtu mwingine wa kuingia . Nikawaambia oya me nimechoka na siwezi endelea hapa Yaani nikiendelea tu ntafia uwanjani, lakini wakawa hawanielewi. Sasa ikafika muda wakaanza kunibembeleza tenah nibaki uwanjani " wakati huo mpira ukwa umesimama hapo" wao wanasema niendeleee nimalizie dakika zilizobaki Mimi nikawaambia kua nimechoka siwezi Tena kuendelea. lakini baada ya muda nikaona ngoja niendelee tu.

Lakini nikawaambia kabisa kua nikipigwa chenga wasinilaumu. game ikaanza tenah wakuu kwani nikifika hata dakika 40 Sasa, nikaanza kuona hata miguu inakosa nguvu ya kukbia Yaani kwa ufupi nilikua nimechoka hatar. Biajisemea hapa nikiwaambia kua naondoka hawatonielewa Sasa ngoja nifanye kitu. Nikaondoka zangu mdogo mdogo hukugame inaendelea me nikatoka zangu huyoo taratiibu Hadi hosteli . Nilipofika tu huko nilipiga maji nikaenda kulala. kutokana na uchovu nililala usingizi mmoja mzuri sanaaa.

kuanzia siku Ile kiherehere chote Cha kuomba namba uwanjani kikaniisha. Sometimes hua nawaangaliaga watu wasiojua kucheza mpira afu unakuta wanasema si Bora niingie Mimi uwanjani "huwa nasema kimoyo moyo mniulize Mimi Nini kilinitokea kwanza". Bora aseme hivyo mtu ambae anajua kucheza mpira na sio mwenzangu na Mimi ambae hujui. Hadi natoka uwanjani sikugusa mpira ng'ooo
 
Mimi nakumbuka wakati nipo o level nilikuwa napenda kukimbia sana, sasa Kuna siku Moja nipo form 3 tulikuwa tunacheza na form 4 kipindi Cha kwanza tu! Tumepigwa mbili afu form form 4 walikuwa wanacheza rafu sana. kwasababu mwamuzi wa kati alikuwa mwalimu wao wa darasa katika mchezo huo kwa sisi form 3 injury zilikuwa nyingi mbaka wakakosa mtu wa kuingia sub basi bwana kocha wetu akahamua Mimi niingie maana sub hazikuwepo nakumbuka ilikuwa dk ya 70 hivi form 4 wanaongoza chuma mbili bado nilivo ingia tu! nikawambia mipira yote wawe wanapiga kwangu pembeni maana wale form 4 walikuwa wanapanda sana mbele Yani mipira ikipigwa kwangu tu nilikuwa nakimbia balaa afu natoa pasi mbaka mpira unamalizika ni sare ya mbili mbili nikajipatia jina wakawa wananita Gareth bale.
 
Mimi nakumbuka wakati nipo o level nilikuwa napenda kukimbia sana, sasa Kuna siku Moja nipo form 3 tulikuwa tunacheza na form 4 kipindi Cha kwanza tu! Tumepigwa mbili afu form form 4 walikuwa wanacheza rafu sana. kwasababu mwamuzi wa kati alikuwa mwalimu wao wa darasa katika mchezo huo kwa sisi form 3 injury zilikuwa nyingi mbaka wakakosa mtu wa kuingia sub basi bwana kocha wetu akahamua Mimi niingie maana sub hazikuwepo nakumbuka ilikuwa dk ya 70 hivi form 4 wanaongoza chuma mbili bado nilivo ingia tu! nikawambia mipira yote wawe wanapiga kwangu pembeni maana wale form 4 walikuwa wanapanda sana mbele Yani mipira ikipigwa kwangu tu nilikuwa nakimbia balaa afu natoa pasi mbaka mpira unamalizika ni sare ya mbili mbili nikajipatia jina wakawa wananita Gareth bale

Mimi nakumbuka wakati nipo o level nilikuwa napenda kukimbia sana, sasa Kuna siku Moja nipo form 3 tulikuwa tunacheza na form 4 kipindi Cha kwanza tu! Tumepigwa mbili afu form form 4 walikuwa wanacheza rafu sana. kwasababu mwamuzi wa kati alikuwa mwalimu wao wa darasa katika mchezo huo kwa sisi form 3 injury zilikuwa nyingi mbaka wakakosa mtu wa kuingia sub basi bwana kocha wetu akahamua Mimi niingie maana sub hazikuwepo nakumbuka ilikuwa dk ya 70 hivi form 4 wanaongoza chuma mbili bado nilivo ingia tu! nikawambia mipira yote wawe wanapiga kwangu pembeni maana wale form 4 walikuwa wanapanda sana mbele Yani mipira ikipigwa kwangu tu nilikuwa nakimbia balaa afu natoa pasi mbaka mpira unamalizika ni sare ya mbili mbili nikajipatia jina wakawa wananita Gareth
Au sio Gareth bale 😁🤜🤛
 
Mimi nakumbuka wakati nipo o level nilikuwa napenda kukimbia sana, sasa Kuna siku Moja nipo form 3 tulikuwa tunacheza na form 4 kipindi Cha kwanza tu! Tumepigwa mbili afu form form 4 walikuwa wanacheza rafu sana. kwasababu mwamuzi wa kati alikuwa mwalimu wao wa darasa katika mchezo huo kwa sisi form 3 injury zilikuwa nyingi mbaka wakakosa mtu wa kuingia sub basi bwana kocha wetu akahamua Mimi niingie maana sub hazikuwepo nakumbuka ilikuwa dk ya 70 hivi form 4 wanaongoza chuma mbili bado nilivo ingia tu! nikawambia mipira yote wawe wanapiga kwangu pembeni maana wale form 4 walikuwa wanapanda sana mbele Yani mipira ikipigwa kwangu tu nilikuwa nakimbia balaa afu natoa pasi mbaka mpira unamalizika ni sare ya mbili mbili nikajipatia jina wakawa wananita Gareth bale.
Hongera mkuu Ila Mimi nilishindwa. Mpira ni kipaji Cha watu 😅😅
 
Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Nimeona nipate ku share nanyi kisa hiki kilichowahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita.

Wakati nipo O level kidato Cha nne nilikua ni mtu mcheshi Sana darasani kwetu, kitendo kilichofanya nipate kuwa na marafiki wengi pale shuleni. wengine nilikua nawajua lakini wengine nikawa siwajui. Kuna siku yalianza mashindano ya interclass siku hiyo nakumbuka kabisa form four ndiyo tulikua tunaanza, tenah tulipangiwa na form one. Sasa Mimi sikuwahi kucheza mpira. Sababu sikuona Kama mpira ni kipaji changu. Siku hiyo ya game ilipofika wakati wenzangu wanajiandaa Mimi nikafika pale nikaanza kuwalaumu kua wanchofanya sio vizuri sababu hata Mimi najua kucheza lakini wao hawataki kunipa nafasi. Nikawaambia na Mimi leo nataka kucheza

Kusema ukweli sikua na nia kabisa ya kucheza lakini nikawa naongea Kama sehemu ya utani tu kua nataka kucheza Ila baada ya kuona na wao Kama wanataka niruhusu Basi nikaona acha nikazanie hapahapa Hadi nicheze leo. Jamaa mmoja anaitwa Ally akasema "Sasa wewe hujawahi kuja hata mazoezini afu leo unataka kucheza mpira tenah tuna game kubwa Kama hii huoni Kama utatutia aibu..?" nikamwambia "sio Kama sitaki kuja mazoezini tatizo hata nikija hamnipi nafasi Sasa mimi nitacheza vipi". Baada ya muda Michael akasema "Basi haina noma wewe si unataka kucheza?" akaniuliza. Hasa Mimi nikatae tenah.. nikamjibu ndiyo nataka kucheza akasema utaingia zamu yangu kipindi Cha kwanza afu Mimi nitaingia kipindi Cha pili. Ukawa mzozo mwingine tenah sababu Kuna baadhi ya wanafunzi wenzangu wakasema naingia kuwaharibia tu Nibora Michael aanze kwanza yeye ili tuone muelekeo wa game. lakini Michael akasema wacha waone labda huenda najua kucheza.

Kipindi Cha kwanza kikaanza picha linaanza Michael akaniambiakua yeye anacheza namba sita kwahiyo nikae namba sita. Bhana bhana namba sita yenyewe sijui anakaa wapi uwanjani me nishazoeaga mpira wa Cha ndimu Sasa saizi ananiambia nikae namba sita me naijua? Nikaona hamna noma nikaenda kusimama kwa namba tatu . Nikasikia Ally ananiita Atalanta wee Atalanta wewe nikamgeukia. Akaniuliza wewe unacheza namba ngapi ..?? nikamjibu namba sita. "Wewe mseng* nini, Sasa namba sita ndiyo anakaa hapo ". Akaniuliza kwa ukali aisee Kama jamaa angekua na bunduki nahisi angenishuti sikuile maana niliwazingua Sana. "Sasa kumbe anakaa wapi" . nikamjibu huku nisijue nielekee upande upi. Afu usituletee ufala Kama hujui mpira si ungebaki tu nje kwanini unakua king'ang'ani wakati hujui mpira?

Subiri game ianze ndiyo utajua kua me najua au sijui Mpira, najua saiz huwezi niamini lakini ngoja game ianze kwanza wewe usiwaze Brooh, " Nikamjibu hivyo huku Nami nikiweka sura ya usiriaz nikiwa naruka ruka juu Kama wachezaji wafanyanvyo". Akaniangalia Kama mtu anaenikadiria hivi maana akiangalia muonekano wangu sijakaa kabisa Kama mchezaji. Akaniambia namba sita anakaa huko " huku ananionyesha kwa kidole" akaniuliza tenah unajua kazi ya namba sita?

Nikamjibu kwa ujasiri "eeh ndiyo najua", Ntajie kazi yake. akaniuliza tenah. " "kucheza mpira" nikamjibu hivyo. Jamaa akaniangalia afu akatikisa kichwa akasema leo ukizingua tu Mimi na wewe. Akaniambia nambasita kazi yake ni kukaba, wewe unatakiwa kuzunguka uwanja mzima huu, Pia unatakiwa uonekane kwenye matukio muhimu mfano ukiona beki ameshindwa kukaba Basi inabidi urudi wewe. Nikamuuliza "beki kwanza anacheza namba ngapi?" Jamaa aliniangalia Kama mtu ambae haamini kile nilichomuuliza. Kabla hata hajanijibu filimbi ikapulizwa kuonesha game limeanza. wakati huo nikawa najiuliza mwenyewe Yaani nizunguke uwanja mzima huu? kwa mazoezi gani nilivyokua nafanya. Lakini nikajipa moyo kua ntajitahidi tu hivyo hivyo. Waswahili wanasema mtoto akililia wembe mpe Aisee kilichonitokea siku ile sitokuja sahau.

Baada ya game kuanza Kuna dogo ambae alikua ni wa form one nikaona anakuja na mpira upande wangu nikasema ngoja nimfate nimkabe wakati namfata Sasa namsogelea akanipiga chenga Kama anaenda kulia kumbe anaenda kushoto Basi nami nikaenda kulia mazima mazima kidogo nianguke lakini nikajikaza ikabidi nimfate Ile namfata nikaona mpira umepita katikati ya miguu yangu nikasema "haaa toboo" nikageuka faster kwenda kumkaba tenah, nikaona kaudokoa mpira nikapigwa bonge la kanzu. Huku nje ya uwanja nikawa nasikia watu wakimsifia yule dogo huku wengine wakinicheka.

Zile kelele na vile vicheko vikawa vinazidi nivuruga kabisa na yeye dogo ndiyo akawa anazidi ongeza mbwembwe Mara awe anazungusha miguu yote miwili juu ya mpira lakini akawa haugusi mpira Sasa nikawa naogopa kumfata maana najua nikimfata tu ntapigwa chenga nyingine. wakati nimesimama namuangalia nikasikia tusi moja kutoka kwa Ally "we kumm*ko tukifungwa Leo utajua kua hunijui wewe unafikiri tupo kuchekesh humu eeh?? unamuangalia nini Sasa mfate mkabe.Huku nje watu sio kwa kucheka wengine wakawa wanashangaa Atalanta ameanza lini kucheza mpira...!!

Nikaamua nimfate yule dogo huku namwambia tarabitu kwa sauti ya chini "punguza chenga dogo me natoka uwanjani sio mda" kwani dogo alinijibu Basi.. sikujua hata kanipita vipi nikasikia tu goooooo ndo ashashinda hivyo Tayar. Wanangu wakaanza kunilaumu kua eti sikabi namuangalia tu adui Hadi anaapita na mpira. Nikashangaa Sasa wao wantaka nimkabe vipi ndio wajue kua namkaba, lakini nikaona ngoja niepushe Shari tu. wakati huo Sasa nikaanza kusikia kiu ya maji ya hatari.

Nikawaambia fresh saiz hapiti wanangu msiwaze. baada ya mpira kuanzishwa tenah nikarudi chini kwa namba tatu kuna muda nikawa napanda juu Yaani nikawa sieleweki. Hussein akaniuliza Sasa wewe unacheza namba ngapi nikamwambia me nipo namba sita. " Sasa mbona hueleweki Mara upo huku Mara kule tulia kwenye namba yako basi". nikamwambia Sasa na nyie mnanichanganya Mara mseme kazi ya namba sita kuzunguka uwanja Mara mseme nibaki palepale Sasa nimsikilize yupi na nimuache yupi ?? Sasa sikia me ninachojua kazi yangu kuzungukaga uwanja mzima. Nikaamua nimjibu hivyo. "Rudi kwenye namba yako" Akasema hussein Safari hii akaniambia kwa ukali nikaona freshi ngoja nirudi kwenye namba yangu Mambo yasiwe mengi. kusema ukweli nilikua namkimbia yule dogo asije nipiga chenga Tena.

wakati nimerudi pale nikaona yule dogo anaaomba pasi kwa mwenzake afu anamwambia oya nipe mpira Hamna mtu hapa Nipe pasi tuwapige lingine. Nikawa nashangaa kwahiyo Mimi sio mtu au dogo ndiyo ameanza dharau akasema tenah oya hii njia nipe pasi hiyo. Nikasema hapa akipata tu mpira namuonyesha unyama Yaani namchota bonge la ngwara. Si akapata mpira wakati namfata nimchote Kama alinijua vile me nakawa naenda mazima mazima yeye akanikwepa kidooogo tu Yaani Kama hataki vile ( Kuna wanajua kucheza mpira nyiee Hadi kero ) basii nikaenda mazima mazima Hadi chiini puuuh. kukwepa aibu ikabidi niamke faster nikaanza kuunga mbio kumfata wakati namfata akatoa pasi kwa mtu mwingine lakini bahati nzuri hawakufunga mda huu.

Sasa nikaanza kuhisi kiu ya maji ya hatari nakumbuka kuna muda nikawa natema mate lakini hayatoki kila nikitema naona mate Hamna nikaona ntakua naumwa sio bure mbona mate hayapo ( kumbe hii ni kawaida wa wachezaji wakiwa uwanjani). Hapo nikawa nahema Sana najiona kabisa kua pumzi inaenda kukata nikaomba maji, nikapewa nikapiga maji nikaendelea Tena na game baada ya muda Sasa nikasema niteme mate nikaona mate yanatoka lakini utokaji wake ulinitisha yakawa yanatoka Kama mlenda vilee Yaani hayakatiki yenyewe yanatoka afu yanarudi juu. "ukitema kwa nguvu hayaendi chini Ila yanabaki katikati ya mdomo na chini yankua hewani hewani " Nikasema usinitanie nikakata na mkono. Sasa nikaanza kuona kipindi Cha kwanza hakiishi na Mimi nimechoka maana kuna muda nikaanza kuona miguu inawasha nikikimbia kidogo tu miguu inawasha. Nahisi ilikua kutokana na kutokufanya mazoezi. Nikamuuliza refa tupo dakika ya ngapi saiz ?? akasema kua Ni dakika ya 25. Nikashangaa Yaani muda wote tuliocheza ndio tupo dakika ya 25 ??. Nikapiga mahesabu na halmashauri ya kichwa changu nkaona hapa Hadi kipindi Cha kwanza kiishe Basi ntakua nimefia uwanjani tayari.

Nikamwambia Ally oya me nataka kutoka nishachoka saizi siwezi kuendelea.Ali ndiyo alikua Captain wetu. Akasema Bora utoke tu maana ulikua unatuharibia game humu. Nikasema sawa lakini nimecheza hata hivyo. Sasa wakati natoka nikawa nategemea Michael aje aingie lakini sikumuona kumbe Michael alikua ameondoka kwa wakati ule. Nikasikia Ally ananiita Oyaaa Atalanta rudi uwanjani Michael hayupo na hakuna mtu mwingine wa kuingia . Nikawaambia oya me nimechoka na siwezi endelea hapa Yaani nikiendelea tu ntafia uwanjani, lakini wakawa hawanielewi. Sasa ikafika muda wakaanza kunibembeleza tenah nibaki uwanjani " wakati huo mpira ukwa umesimama hapo" wao wanasema niendeleee nimalizie dakika zilizobaki Mimi nikawaambia kua nimechoka siwezi Tena kuendelea. lakini baada ya muda nikaona ngoja niendelee tu.

Lakini nikawaambia kabisa kua nikipigwa chenga wasinilaumu. game ikaanza tenah wakuu kwani nikifika hata dakika 40 Sasa, nikaanza kuona hata miguu inakosa nguvu ya kukbia Yaani kwa ufupi nilikua nimechoka hatar. Biajisemea hapa nikiwaambia kua naondoka hawatonielewa Sasa ngoja nifanye kitu. Nikaondoka zangu mdogo mdogo hukugame inaendelea me nikatoka zangu huyoo taratiibu Hadi hosteli . Nilipofika tu huko nilipiga maji nikaenda kulala. kutokana na uchovu nililala usingizi mmoja mzuri sanaaa.

kuanzia siku Ile kiherehere chote Cha kuomba namba uwanjani kikaniisha. Sometimes hua nawaangaliaga watu wasiojua kucheza mpira afu unakuta wanasema si Bora niingie Mimi uwanjani "huwa nasema kimoyo moyo mniulize Mimi Nini kilinitokea kwanza". Bora aseme hivyo mtu ambae anajua kucheza mpira na sio mwenzangu na Mimi ambae hujui. Hadi natoka uwanjani sikugusa mpira ng'ooo
daaah
 
Leo nimecheka sana akiii kama naangalia movie
 
Mpira wa miguu mgumu sana mm nilikuwa nacheza Michezo yote na nilikuwa namba moja Kwa wasichana nikiwa chuoni
Ila mpira wa miguu sikuwahi jaribu sikumoja kulikuwa na mechi za madarasa ikalazimika nicheze sikurudia Tena 😀
 
We ni kenge maji🤓🤣😆
 
Mimi nakumbuka wakati nipo o level nilikuwa napenda kukimbia sana, sasa Kuna siku Moja nipo form 3 tulikuwa tunacheza na form 4 kipindi Cha kwanza tu! Tumepigwa mbili afu form form 4 walikuwa wanacheza rafu sana. kwasababu mwamuzi wa kati alikuwa mwalimu wao wa darasa katika mchezo huo kwa sisi form 3 injury zilikuwa nyingi mbaka wakakosa mtu wa kuingia sub basi bwana kocha wetu akahamua Mimi niingie maana sub hazikuwepo nakumbuka ilikuwa dk ya 70 hivi form 4 wanaongoza chuma mbili bado nilivo ingia tu! nikawambia mipira yote wawe wanapiga kwangu pembeni maana wale form 4 walikuwa wanapanda sana mbele Yani mipira ikipigwa kwangu tu nilikuwa nakimbia balaa afu natoa pasi mbaka mpira unamalizika ni sare ya mbili mbili nikajipatia jina wakawa wananita Gareth bale.
Hahaaahahha🤣🤣🤣 we jamaa🙌🏻, kiasi wakuone mzinguaji hata beki hujui namba ngapi kweli uliamua kuwazingua wanao 🤣🤣
 
Back
Top Bottom