njwanjwanjwa
Member
- Jul 28, 2022
- 8
- 11
Baada ya zoezi la sensa na makazi kumalizika, Serikali ilitangaza nia njema ya kugawa vishikwambi vilivyokuwa vinatumika katika zoezi hilo kwa kila mwalimu wa shule ya Serikali wa shule ya msingi, sekondari na vyuoni hapa nchini.
Zoezi Hilo limeshaanza kutekelezwa ila likiwa na sura nyingine tofauti na vile Serikali ilivyokusudia. Sasa walimu hawajapata wote katika ma shule Bali vishikwambi hivo vimegawiwa kwa kuangalia vipaumbele: kwamba kwenye shule walimu wanapewa Kalingana na levo za madaraka : mkuu wa shule, second master, academic, displine, walimu wakuu wa idara za masomo na walimu wa madarasa. Walimu wengine ambao hawana vyeo hawapati chochote Labda tu kama vimebaki.
Kwa mfano kuna shule imepata vishikwambi sita (06) na wakati shule hiyo ina walimu 33. Shule nyingine imepata vishikwambi 26 na wakati ina walimu 41. Kuna shule imepata vushikwambi 29 na wakati ina walimu 36. Vile vile kuna shule fulani imepata vishikwambi Sawa na idadi y’a walimu waliopo shuleni hiyo.
Ugaaaji wa hivi vishikwambi umezua sintofahamu kubwa kwenye taasisi ya Elimu na kuacha minong’ono mingi.