denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,937
hahahahaaaaaaaaaaaa..kazi ipo..
teh hehe he he he he! Na mwanao yupo!!
hahahahaaaaaaaaaaaa..kazi ipo..
Lazima kitaeleweka!
Viva walimu
Source Habari leo
Mi nimependa hiyo ya 73-3=7........hakika mumeamua, ngoja nimfuate mwanangu shuleni kama huko ndio kufundishwa kwenyewe.
yale yale ya baba V!!!
Lazima ulisoma hesabu. Hii kitu inaeleweka haraka sana. Kwa ujumla hii ni HATARI SANA.
mahesabu ya leo yameniacha hoi. Ni utani lakini ndani yake kuna bonge la ujumbe. Walimu ni ma-geniusmungu wangu 1+3=13????? Na mbaya zaidi mtoto akiambiwa kitu na mwalimu huwezi kumbadilisha, hata kama nawewe ni mwalimu wa chuo kikuu. Wewe utabakia kuwa baba au mama tuu na hatakuruhusu umpotoshe kile alichofundishwa na mwalimu wake darasani na akawekewa alama ya vema
Lazima ulisoma hesabu. Hii kitu inaeleweka haraka sana. Kwa ujumla hii ni HATARI SANA.
Dawa ya waalimu ni mshahara tu,wakitishiwa kusitishiwa mishahara yao wananywea.Hapa kitakachofanyika ni kuimarisha Idara ya ukaguzi wa shule.
ndo maana yake
3x3=33 WELL DONE,ha ha ha ha ha
be confident on it, we are supporting you walimu.
in red.... acha kuishi kwa mazoea wewe!!!!
waalimu wa jana sio wa leo zinduka jombaa......
walikuwa wanatumia hapo kwenye red, jiulize kwa nini safari hii mmekimbilia mahakamani???
Lazima kitaeleweka!
Viva walimu
Source Habari leo
Maskini! Mungu angekujaalia ukabaki kimya ndugu TWIZAMALLYA watu wengi wangeweza kukudhania (japo kwa makosa) kwamba una busara. Ona sasa kuropoka kwako kumekusababishia aibu itakayokuandama mpaka utakavyokujaokolewa na kaburi.......
Mbona hata hao wakaguzi wa shule walikuwa kwenye mgomo!Dawa ya waalimu ni mshahara tu,wakitishiwa kusitishiwa mishahara yao wananywea.Hapa kitakachofanyika ni kuimarisha Idara ya ukaguzi wa shule.