Walimu ajira mpya ngazi ya msingi hawajalipwa hela ya kujikimu tangu mwezi Julai

Acha tuwale kwanza hivi wasichana waliokuja kureport huku wilayani. Mkianza kupata mishahara mtatusumbua nyie. Visichana vitamu kweli.
 
Kwahiyo yule x wangu aliyepata kazi Wilaya ya Sikonge Tabora naye atakuwa anapitia huu msoto? Ngoja nimtafute naweza okota dodo chini ya muarobaini.
 
Sio ualimu tu mpk ajira za afya za julai hakuna pesa za kujikimu. Wala msidhani ni walimu peke yenu. Ukiuliza halmashauri eti wanasema hakuna pesa. Pesa sijui zipo kwa STONE.
 
Sio ualimu tu mpk ajira za afya za julai hakuna pesa za kujikimu. Wala msidhani ni walimu peke yenu. Ukiuliza halmashauri eti wanasema hakuna pesa. Pesa sijui zipo kwa STONE.
Hahahaha!!!! Eti zipo kwa STONE
 
Aisee wewe unasema walimu , yaan hata watumishe wapya wa afya , si wa wizara wala tamisemi hakuna hata mmoja aliepewa hata 100 hadi leo

Hii ni aibu watu wametelekezwa vijijin hawana mbele wala nyuma na wengine kushindwa kuvumilia kurudi makwao
 
I'm sorry to say this my dear JF member, sipo katika kada hiyo but si haki kumwona mtumishi anayeitumikia nchi kihalali akiishi maisha ya kuhangaika kiasi hiki. This is only in my motherland
Na jana wameshinda chaguzi kwa landslide, kwa sie tuliosoma Correlation Analysis mahesabu yanakataa kabisa.
 
Back
Top Bottom