kinja
Senior Member
- Oct 10, 2010
- 199
- 25

Membe struggling to win a certain group of people based on their religious ideology...

bad and shallow idea

Membe struggling to win a certain group of people based on their religious ideology...

Membe struggling to win a certain group of people based on their religious ideology...
jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama tanzania isipotambua libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula usd 15 bln kwa ajili ya kujenga libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.
Hivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar Ghadaffi wangependa kama nchi tulishikie bango wakati uvamizi ule ukitokea na si leo.
Sasa tumesubiri Serikali ya Muamar imekwisha choka ile mbaya haina hata mhimili hata moja wa kuishikilia leo tunakuja na kauli ya kichochezi ya kutoitambua serikali ya mpito tunaitakia nini Libya? Vurugu? ili tunufaike na nini? Hivi unategemea balozi wa libya amutambue nani yeye hakuwa mwakilishi wa Muamar bali ni mwakilishi wa nchi na kwa maana hiyo anaenda na upepo wa nchi na dunia, na hapa nikisema dunia wala si sauti ya nchi dhaifu kama Tanzania tunaangalia supa power nad rich nationals.
Katika nchi ambayo inaendesha bajeti yake kwa kutegemea msaada kwa zaidi ya asilimia 50 it is very expensive to punch above weight as Membe tried to put our country at risk on unfounded arguements. Amenisikitisha sana kwa sababu amejaribu kujifunika chandarua wakati kumekucha na umbu wamemuuma mpaka wameshiba damu yake. Mimi sijui alikuwa anaota au Tanzania iko usingizini katika hili. The points were straight forward good but said at the wrong time with the right person.
Tanzania yangu inaniuma kwani si ile niliyoizoea wakati wa Dr Ahamedi Salim na mzee wetu Samweli Malcela, Ibrahimu kaduma, na hata Benjamini Mkapa kwa nyakati tofauti waliposhikiria wizara ya mambo ya nje wakati Rubani wa Ndege alikuwa Mwl J.k. nyerere
Watanzania acheni uoga amuwezi mfundisha kazi waziri mnatakiwa mumshauri tu,aliyoyasema waziri sio maamuzi yake pekee yake ni maamuzi ya AU,afadhali tanzania tumemwambia atutambui mapinduzi zimbabwe amefukuzwa na tena alipewa masaa24,umasikini wetu usiwe chanzo cha uoga wa maamuzi by the way hatutofaidika na hayo mafuta hata tukimtambua cos mataifa tajiri wameshayatolea macho,kuhusu kupewa dola bl 15 walibya hawajapewa ili pesa kilichofanyika pesa zote zilizokuwa nje na zinamilikiwa na serikali ya gadafi zilizuiliwa now UN imetoa idhin zitolewe kujenga nchi sio msaada ule achaneni na propaganda za magharibi,membe kaongea vema na huu ndio msimamo wa AU.
Yeye atambue asitambue watu wapo kazini tayari na soon huyo gaidi Ghadafi aliyesababisha vifo vya maelfu ya Walibya soon atakuwa kwa court so kama Membe anampenda sana na anamuhitaji amwekee wakili au akamtetee...mimi kama Mtanzania naitambua Serikali ya Waasi ambayo itakuwa katika kipindi cha mpito cha miezi 18kuandaa uchaguzi wa Kidemokrasia ambapo Walibya watapata fursa yakuchagua viongozi wao wawatakao.
Hivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar Ghadaffi wangependa kama nchi tulishikie bango wakati uvamizi ule ukitokea na si leo.
Sasa tumesubiri Serikali ya Muamar imekwisha choka ile mbaya haina hata mhimili hata moja wa kuishikilia leo tunakuja na kauli ya kichochezi ya kutoitambua serikali ya mpito tunaitakia nini Libya? Vurugu? ili tunufaike na nini? Hivi unategemea balozi wa libya amutambue nani yeye hakuwa mwakilishi wa Muamar bali ni mwakilishi wa nchi na kwa maana hiyo anaenda na upepo wa nchi na dunia, na hapa nikisema dunia wala si sauti ya nchi dhaifu kama Tanzania tunaangalia supa power nad rich nationals.
Katika nchi ambayo inaendesha bajeti yake kwa kutegemea msaada kwa zaidi ya asilimia 50 it is very expensive to punch above weight as Membe tried to put our country at risk on unfounded arguements. Amenisikitisha sana kwa sababu amejaribu kujifunika chandarua wakati kumekucha na umbu wamemuuma mpaka wameshiba damu yake. Mimi sijui alikuwa anaota au Tanzania iko usingizini katika hili. The points were straight forward good but said at the wrong time with the right person.
Tanzania yangu inaniuma kwani si ile niliyoizoea wakati wa Dr Ahamedi Salim na mzee wetu Samweli Malcela, Ibrahimu kaduma, na hata Benjamini Mkapa kwa nyakati tofauti waliposhikiria wizara ya mambo ya nje wakati Rubani wa Ndege alikuwa Mwl J.k. nyerere

Kwangu namsifu sana Membe, sikutegemea kama angenyanyua mdomo ktk hilo. Najua alijipanga sana. Aseme au asiseme hakuna madhara yoyote, hata kama angekuwa wa kwanza kukemea, asingezuia kitu. Maskini hana sauti siku zote, inahitaji ujasiri kusema mbele ya wenye pesa.
Ninapata shida kuamini kwamba wewe unao uwezo wa kuchambua mambo maana unachokizungumza na alichokisema Membe ni vitu viwili tofauti. Kama una mapenzi na hao uliowaorodhesha hukatazwi lakini not at the expense of issues which were eloquently and clearly articulated. First and foremost, Membe alionyesha kukasirishwa na kitendo cha ubalozi wa Libya kubadilisha alama za nchi yao bili kufuata msahafu wa kidiplomasia i.e. Vienna Convention. Kamwe, Membe hakusema kwamba Libya hawana haki ya kubadilisha alama zao, maana hata Rwanda walifanya hivyo na hakuna aliyewapigia kelele kwa vile ni haki yao na walifuata taratibu. Pili, Membe alizungumzia suala la kutambua au kutotambua Waasi na msimamo wa nchi yetu ni kwamba bado waasi hao hawajashika dola ya nchi wala hawajawa na identity inayostahili kuwatambua na waliofanya hivyo huo ni utashi wetu ambao si lazima na sisi tuufuate. Mtu haundi tu serikali kwa sababu amamfurusha aliyekuwa madarakani. Wanahitaji kujipanga katika mfumo wa uongozi, wafahamike na ndipo watambulike na huo ndiyo msimamo wa AU. Hao wazungu waliokimbilia kuwatambua ni kwa sababu ndiyo waliowa-create na wanataka kuwapa legitimacy na ndiyo maana wamekuwa na haraka ya kuwatambua ili kuficha madhambi waliyoyafanya dhidi ya utawala halali. Kumbuka waasi hawa hawa unaowasifia ndiyo wanaoua weusi wenzetu at close range wakidai kwamba hao ni mamluki wanaoipigana kwa niaba ya Gaddafi wakati wao walikwenda kule kuhemea. Ndiyo hawa hawa walioonyesha dharau na jeuri pale Jacob Zuma na ujumbe wake wa AU walipokwenda Benghazi kuomba mazungumzo ya amani, huku NATO wakiporomosha makombora bila hata kuwasikiliza.
Wakati wa kutoa tamko ni huu, ingawaje huko nyuma tayari Serikali ilishatamka kwamba mgogoro huo utatuliwe kwa nijia za amani ili suluhu ipatikane. Ulitaka tamko gani lingine ili Membe aingie kwenye hiyo dream team yako uliyoitaja? Acha kukosoa kiupofu upofu!

Ndugu Wananchi, Sauti ya masikini huwa haisikiwi. Marais wetu hawa wakienda kwa wenye hela wala hawapati nafasi ya kutangazwa kwenye runinga za kitaifa. Kama huna hela huna tu. Nyamaza kimya wenye mshiko wazungumze. Bila wakubwa kukupa pesa huna serikali.....
Ukoloni ungalipo hapa Afrika tena huu wa leo ndio mbaya sana kabisa..ni ajabu watu wazima mnakaa mnasema eti tutanyimwa misaada na NATO( North Atlantic Terrorist Organisation) yaani misaad ya Damu ya waafrika wenzetu ndio mnafurahia ili mjenge mahekalu wakati akina mama wanalala 5 kwenye kitanda kimoja pale Temeke hospt!!! shame
watu hawaelewi kwamba in Europe ther is one slogan...Nothing goes for Nothing..now the war is costly and for that matter These terrorist cannot launch attcks In Libya just for the sake of saving lives of the people( africans), in actual sense that was and is still not the matter..u must understand these killers are bankrupty they need to revive their economy sasa ni aibu kukubali kwamba Ghadaff anatolewa na Walibya hii ni akili ya wapi?!! kama ni hivyo Nato wanafanya nini pale why wasisaidie hata hapo somalia al shabab?!! ama boko haram..wanataka mafuta period na hawa sio watu ni wanyama and i can assure you watawatoa hata hao waasi siku si nying...mind u these are people who used to call Nelson Mandela a terrorist!!! they killed Lumumba,Samora hawa sio hawa!!!
Nahisi Invisible anafanya ubaguzi kwa waanzisha threads
wengine zao zinafanyiwa editing kabla hazijaletwa
wengine wanaazisha duplicate threads zinapita
interesting....