Hivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar Ghadaffi wangependa kama nchi tulishikie bango wakati uvamizi ule ukitokea na si leo.
Sasa tumesubiri Serikali ya Muamar imekwisha choka ile mbaya haina hata mhimili hata moja wa kuishikilia leo tunakuja na kauli ya kichochezi ya kutoitambua serikali ya mpito tunaitakia nini Libya? Vurugu? ili tunufaike na nini? Hivi unategemea balozi wa libya amutambue nani yeye hakuwa mwakilishi wa Muamar bali ni mwakilishi wa nchi na kwa maana hiyo anaenda na upepo wa nchi na dunia, na hapa nikisema dunia wala si sauti ya nchi dhaifu kama Tanzania tunaangalia supa power nad rich nationals.
Katika nchi ambayo inaendesha bajeti yake kwa kutegemea msaada kwa zaidi ya asilimia 50 it is very expensive to punch above weight as Membe tried to put our country at risk on unfounded arguements. Amenisikitisha sana kwa sababu amejaribu kujifunika chandarua wakati kumekucha na umbu wamemuuma mpaka wameshiba damu yake. Mimi sijui alikuwa anaota au Tanzania iko usingizini katika hili. The points were straight forward good but said at the wrong time with the right person.
Tanzania yangu inaniuma kwani si ile niliyoizoea wakati wa Dr Ahamedi Salim na mzee wetu Samweli Malcela, Ibrahimu kaduma, na hata Benjamini Mkapa kwa nyakati tofauti waliposhikiria wizara ya mambo ya nje wakati Rubani wa Ndege alikuwa Mwl J.k. nyerere