Walibya na wapenzi wa kanali Muammar Ghadafi wanaishangaa Tanzania

Jamani tukumbuke Membe hajaja na jipya. Msimamo wa Tanzania ni msimamamo wa AU. Kumbukeni mwanzo wa vurugu libya. Nampa big up Zuma, Membe etc
 
Kwangu namsifu sana Membe, sikutegemea kama angenyanyua mdomo ktk hilo. Najua alijipanga sana. Aseme au asiseme hakuna madhara yoyote, hata kama angekuwa wa kwanza kukemea, asingezuia kitu. Maskini hana sauti siku zote, inahitaji ujasiri kusema mbele ya wenye pesa.
 
Watanzania acheni uoga amuwezi mfundisha kazi waziri mnatakiwa mumshauri tu,aliyoyasema waziri sio maamuzi yake pekee yake ni maamuzi ya AU,afadhali tanzania tumemwambia atutambui mapinduzi zimbabwe amefukuzwa na tena alipewa masaa24,umasikini wetu usiwe chanzo cha uoga wa maamuzi by the way hatutofaidika na hayo mafuta hata tukimtambua cos mataifa tajiri wameshayatolea macho,kuhusu kupewa dola bl 15 walibya hawajapewa ili pesa kilichofanyika pesa zote zilizokuwa nje na zinamilikiwa na serikali ya gadafi zilizuiliwa now UN imetoa idhin zitolewe kujenga nchi sio msaada ule achaneni na propaganda za magharibi,membe kaongea vema na huu ndio msimamo wa AU.
 
Ndugu Wananchi, Sauti ya masikini huwa haisikiwi. Marais wetu hawa wakienda kwa wenye hela wala hawapati nafasi ya kutangazwa kwenye runinga za kitaifa. Kama huna hela huna tu. Nyamaza kimya wenye mshiko wazungumze. Bila wakubwa kukupa pesa huna serikali.....
 
Ukoloni ungalipo hapa Afrika tena huu wa leo ndio mbaya sana kabisa..ni ajabu watu wazima mnakaa mnasema eti tutanyimwa misaada na NATO( North Atlantic Terrorist Organisation) yaani misaad ya Damu ya waafrika wenzetu ndio mnafurahia ili mjenge mahekalu wakati akina mama wanalala 5 kwenye kitanda kimoja pale Temeke hospt!!! shame

watu hawaelewi kwamba in Europe ther is one slogan...Nothing goes for Nothing..now the war is costly and for that matter These terrorist cannot launch attcks In Libya just for the sake of saving lives of the people( africans), in actual sense that was and is still not the matter..u must understand these killers are bankrupty they need to revive their economy sasa ni aibu kukubali kwamba Ghadaff anatolewa na Walibya hii ni akili ya wapi?!! kama ni hivyo Nato wanafanya nini pale why wasisaidie hata hapo somalia al shabab?!! ama boko haram..wanataka mafuta period na hawa sio watu ni wanyama and i can assure you watawatoa hata hao waasi siku si nying...mind u these are people who used to call Nelson Mandela a terrorist!!! they killed Lumumba,Samora hawa sio hawa!!!
 
Yeye atambue asitambue watu wapo kazini tayari na soon huyo gaidi Ghadafi aliyesababisha vifo vya maelfu ya Walibya soon atakuwa kwa court so kama Membe anampenda sana na anamuhitaji amwekee wakili au akamtetee...mimi kama Mtanzania naitambua Serikali ya Waasi ambayo itakuwa katika kipindi cha mpito cha miezi 18kuandaa uchaguzi wa Kidemokrasia ambapo Walibya watapata fursa yakuchagua viongozi wao wawatakao.
 
jukumu la kutambua au kutotambua nchi liko mikononi mwa marekani na washirika wake. Sasa nchi masikini kama tanzania isipotambua libya ni upuuzi na kujidanganya tu. Jamaa (waasi) jana wamekula usd 15 bln kwa ajili ya kujenga libya mpya sisi tunaendelea na uvuvuzela tu.

you are disapointment but today you naked it,
 
Hivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar Ghadaffi wangependa kama nchi tulishikie bango wakati uvamizi ule ukitokea na si leo.

Sasa tumesubiri Serikali ya Muamar imekwisha choka ile mbaya haina hata mhimili hata moja wa kuishikilia leo tunakuja na kauli ya kichochezi ya kutoitambua serikali ya mpito tunaitakia nini Libya? Vurugu? ili tunufaike na nini? Hivi unategemea balozi wa libya amutambue nani yeye hakuwa mwakilishi wa Muamar bali ni mwakilishi wa nchi na kwa maana hiyo anaenda na upepo wa nchi na dunia, na hapa nikisema dunia wala si sauti ya nchi dhaifu kama Tanzania tunaangalia supa power nad rich nationals.

Katika nchi ambayo inaendesha bajeti yake kwa kutegemea msaada kwa zaidi ya asilimia 50 it is very expensive to punch above weight as Membe tried to put our country at risk on unfounded arguements. Amenisikitisha sana kwa sababu amejaribu kujifunika chandarua wakati kumekucha na umbu wamemuuma mpaka wameshiba damu yake. Mimi sijui alikuwa anaota au Tanzania iko usingizini katika hili. The points were straight forward good but said at the wrong time with the right person.

Tanzania yangu inaniuma kwani si ile niliyoizoea wakati wa Dr Ahamedi Salim na mzee wetu Samweli Malcela, Ibrahimu kaduma, na hata Benjamini Mkapa kwa nyakati tofauti waliposhikiria wizara ya mambo ya nje wakati Rubani wa Ndege alikuwa Mwl J.k. nyerere

Ninapata shida kuamini kwamba wewe unao uwezo wa kuchambua mambo maana unachokizungumza na alichokisema Membe ni vitu viwili tofauti. Kama una mapenzi na hao uliowaorodhesha hukatazwi lakini not at the expense of issues which were eloquently and clearly articulated. First and foremost, Membe alionyesha kukasirishwa na kitendo cha ubalozi wa Libya kubadilisha alama za nchi yao bili kufuata msahafu wa kidiplomasia i.e. Vienna Convention. Kamwe, Membe hakusema kwamba Libya hawana haki ya kubadilisha alama zao, maana hata Rwanda walifanya hivyo na hakuna aliyewapigia kelele kwa vile ni haki yao na walifuata taratibu. Pili, Membe alizungumzia suala la kutambua au kutotambua Waasi na msimamo wa nchi yetu ni kwamba bado waasi hao hawajashika dola ya nchi wala hawajawa na identity inayostahili kuwatambua na waliofanya hivyo huo ni utashi wetu ambao si lazima na sisi tuufuate. Mtu haundi tu serikali kwa sababu amamfurusha aliyekuwa madarakani. Wanahitaji kujipanga katika mfumo wa uongozi, wafahamike na ndipo watambulike na huo ndiyo msimamo wa AU. Hao wazungu waliokimbilia kuwatambua ni kwa sababu ndiyo waliowa-create na wanataka kuwapa legitimacy na ndiyo maana wamekuwa na haraka ya kuwatambua ili kuficha madhambi waliyoyafanya dhidi ya utawala halali. Kumbuka waasi hawa hawa unaowasifia ndiyo wanaoua weusi wenzetu at close range wakidai kwamba hao ni mamluki wanaoipigana kwa niaba ya Gaddafi wakati wao walikwenda kule kuhemea. Ndiyo hawa hawa walioonyesha dharau na jeuri pale Jacob Zuma na ujumbe wake wa AU walipokwenda Benghazi kuomba mazungumzo ya amani, huku NATO wakiporomosha makombora bila hata kuwasikiliza.

Wakati wa kutoa tamko ni huu, ingawaje huko nyuma tayari Serikali ilishatamka kwamba mgogoro huo utatuliwe kwa nijia za amani ili suluhu ipatikane. Ulitaka tamko gani lingine ili Membe aingie kwenye hiyo dream team yako uliyoitaja? Acha kukosoa kiupofu upofu!
 
Watanzania acheni uoga amuwezi mfundisha kazi waziri mnatakiwa mumshauri tu,aliyoyasema waziri sio maamuzi yake pekee yake ni maamuzi ya AU,afadhali tanzania tumemwambia atutambui mapinduzi zimbabwe amefukuzwa na tena alipewa masaa24,umasikini wetu usiwe chanzo cha uoga wa maamuzi by the way hatutofaidika na hayo mafuta hata tukimtambua cos mataifa tajiri wameshayatolea macho,kuhusu kupewa dola bl 15 walibya hawajapewa ili pesa kilichofanyika pesa zote zilizokuwa nje na zinamilikiwa na serikali ya gadafi zilizuiliwa now UN imetoa idhin zitolewe kujenga nchi sio msaada ule achaneni na propaganda za magharibi,membe kaongea vema na huu ndio msimamo wa AU.

Ndugu yangu ukosoaji mwingine huwa uko motivated au actuated na malice ya mkosoaji dhidi ya mtu na wala haingaliwi hoja, ndiyo maana wakati mwingine unashangaa huyu mtu alifikiria nini. Na ndiyo maana hawajui kwamba hizo 15bln ni izle ambazo wakuba walizi-freeze ili kumdhoofisha Gaddafi na sasa zinarejeshwa. Kwa nini hawajachangia wao kusaidia ujenzi wa Libya. Ndiyo hawa hawa walioahidi fedha za ujenzi wa Somalia na hadi leo hawajatekeleza ahadi zao. Hawa jamaa ni wanafiki na ndugu zetu wanaokosoa msimamo wa serikali kwa msisingi ya kuangalia Marekani kasema nini ni wafinyu wa fikra kwani kwa Marekani la msingi ni maslahi na si kitu kingine maana kama ni kukaa muda mrefu madarakani mbona mshirika wao Rais wa Yemen amekuwa madarakani miaka 33 na bado wanaendelea kumlinda. Fungua macho uangaze huku na kule!
 
Yeye atambue asitambue watu wapo kazini tayari na soon huyo gaidi Ghadafi aliyesababisha vifo vya maelfu ya Walibya soon atakuwa kwa court so kama Membe anampenda sana na anamuhitaji amwekee wakili au akamtetee...mimi kama Mtanzania naitambua Serikali ya Waasi ambayo itakuwa katika kipindi cha mpito cha miezi 18kuandaa uchaguzi wa Kidemokrasia ambapo Walibya watapata fursa yakuchagua viongozi wao wawatakao.

What a myopic thinking this one is!
 
Hivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar Ghadaffi wangependa kama nchi tulishikie bango wakati uvamizi ule ukitokea na si leo.

Sasa tumesubiri Serikali ya Muamar imekwisha choka ile mbaya haina hata mhimili hata moja wa kuishikilia leo tunakuja na kauli ya kichochezi ya kutoitambua serikali ya mpito tunaitakia nini Libya? Vurugu? ili tunufaike na nini? Hivi unategemea balozi wa libya amutambue nani yeye hakuwa mwakilishi wa Muamar bali ni mwakilishi wa nchi na kwa maana hiyo anaenda na upepo wa nchi na dunia, na hapa nikisema dunia wala si sauti ya nchi dhaifu kama Tanzania tunaangalia supa power nad rich nationals.

Katika nchi ambayo inaendesha bajeti yake kwa kutegemea msaada kwa zaidi ya asilimia 50 it is very expensive to punch above weight as Membe tried to put our country at risk on unfounded arguements. Amenisikitisha sana kwa sababu amejaribu kujifunika chandarua wakati kumekucha na umbu wamemuuma mpaka wameshiba damu yake. Mimi sijui alikuwa anaota au Tanzania iko usingizini katika hili. The points were straight forward good but said at the wrong time with the right person.

Tanzania yangu inaniuma kwani si ile niliyoizoea wakati wa Dr Ahamedi Salim na mzee wetu Samweli Malcela, Ibrahimu kaduma, na hata Benjamini Mkapa kwa nyakati tofauti waliposhikiria wizara ya mambo ya nje wakati Rubani wa Ndege alikuwa Mwl J.k. nyerere

Dr. Salim alikuwa Waziri wa Nchi za Nje kwa miaka miwili. Ni nini alichofanya cha kujivunia kinachosifiwa leo hii? Na vipi Malecela na Mkapa? Kuhusu Kaduma ninayo kumbukumbu moja. Kwamba chini ya uongozi wake, nchi hii ilipata doa kubwa la kidiplomasia na la kimataifa pale nchi zote duniani zilipotushangaa na kutushutumu kwa kitendo chetu cha kuliunga mkono jimbo la Biafra ambalo lilikuwa linataka kujitenga na Nigeria. Hii ilikuwa ni dosari ambayo imedumu muda mrefu hasa ukizingatia kwamba msimamo wa Tanzania mara zote umekuwa ni kulinda uhuru wa nchi kujiamulia mambo yake na vile vile kusisitiza umoja wa kitaifa. Kama sifa hizi ndizo zinazomuondoa Membe kwenye orodhha hii basi bora na iwe hivyo maana orodha hii haina cha kujivunia. Hata hivyo si vibaya ukakumbuka kwamba sera za nje za miaka hiyo ni tofauti na leo kwani wakati huo focus ilikuwa ni ukombozi wa Africa na right ya self determination. Hii ilikuwa ni msimamo binafsi wa Mwalimu ambaye kwa wakati huo alikuwa ni absolute ruler na hawa wengine walibaki kuwa mere messengers wa kufikisha fijra zake yeye.
 
Kwangu namsifu sana Membe, sikutegemea kama angenyanyua mdomo ktk hilo. Najua alijipanga sana. Aseme au asiseme hakuna madhara yoyote, hata kama angekuwa wa kwanza kukemea, asingezuia kitu. Maskini hana sauti siku zote, inahitaji ujasiri kusema mbele ya wenye pesa.
<br />
<br />
Mabadiliko katika dunia hayaletwi na pesa bali umoja wa hisia za jamii fulani. Martin luther king aliposema " one day slaves and their masters will drink and dance together" hakuwa na pesa na aliamini hivyo na kweli Obama amefankiwa kuwa raisi wa kwanza mmarekani mweusi. Tulitaka kuona membe akijitokeza mapema kabla ya vita
 
Ninapata shida kuamini kwamba wewe unao uwezo wa kuchambua mambo maana unachokizungumza na alichokisema Membe ni vitu viwili tofauti. Kama una mapenzi na hao uliowaorodhesha hukatazwi lakini not at the expense of issues which were eloquently and clearly articulated. First and foremost, Membe alionyesha kukasirishwa na kitendo cha ubalozi wa Libya kubadilisha alama za nchi yao bili kufuata msahafu wa kidiplomasia i.e. Vienna Convention. Kamwe, Membe hakusema kwamba Libya hawana haki ya kubadilisha alama zao, maana hata Rwanda walifanya hivyo na hakuna aliyewapigia kelele kwa vile ni haki yao na walifuata taratibu. Pili, Membe alizungumzia suala la kutambua au kutotambua Waasi na msimamo wa nchi yetu ni kwamba bado waasi hao hawajashika dola ya nchi wala hawajawa na identity inayostahili kuwatambua na waliofanya hivyo huo ni utashi wetu ambao si lazima na sisi tuufuate. Mtu haundi tu serikali kwa sababu amamfurusha aliyekuwa madarakani. Wanahitaji kujipanga katika mfumo wa uongozi, wafahamike na ndipo watambulike na huo ndiyo msimamo wa AU. Hao wazungu waliokimbilia kuwatambua ni kwa sababu ndiyo waliowa-create na wanataka kuwapa legitimacy na ndiyo maana wamekuwa na haraka ya kuwatambua ili kuficha madhambi waliyoyafanya dhidi ya utawala halali. Kumbuka waasi hawa hawa unaowasifia ndiyo wanaoua weusi wenzetu at close range wakidai kwamba hao ni mamluki wanaoipigana kwa niaba ya Gaddafi wakati wao walikwenda kule kuhemea. Ndiyo hawa hawa walioonyesha dharau na jeuri pale Jacob Zuma na ujumbe wake wa AU walipokwenda Benghazi kuomba mazungumzo ya amani, huku NATO wakiporomosha makombora bila hata kuwasikiliza.

Wakati wa kutoa tamko ni huu, ingawaje huko nyuma tayari Serikali ilishatamka kwamba mgogoro huo utatuliwe kwa nijia za amani ili suluhu ipatikane. Ulitaka tamko gani lingine ili Membe aingie kwenye hiyo dream team yako uliyoitaja? Acha kukosoa kiupofu upofu!

Mimi nafikiri wewe unaishi katika ulimwengu wa kusadikika na ndiyo maana unaamua kupanda meli anayoendesha Membe ambayo ilipangiwa muda wa kuondoka saa 12 asubuhi ila rubani wake akaamua kuiondoa sa 12 jioni. Safari ndiyo utasafiri lakini hata ukifika uko nyuma kwa masaa karibu 12. Safari gani hiyo. kama tungekuwa tunatumia umri wa mtoto kupima hatua waliyofikia waasi wa Libya tungesema sasa hivi wamepita kidogo ujana na wako katika daraja la ujana na uzee kama uzee ungekuwa ndiyo kuwa na serikali kamili inayooperate. Sasa kijana wa miaka 25 hata akikosea unamkanya kwa lugha laini na ya kificho ili mchumba wake asije akasikia. Tunadhani katika diplomasia ya kawaida `Balozi wa libya angeweza kulimwa barua ya siri na majibizano yakaendelea bila kuiweka nchi yetu katika mstari ambao unaweza kutafsiriwa vibaya na viongozi wa muda ambao nadhani muda si mrefu wanaweza kuja Tanzania na Membe na serikali yetu ikalazimika kuwapa heshima ya mizinga 21 kama kiongozi wao ataamua kuja miezi miwili ijayo. Kwa nini ujiweke kwenye awkward position which you could avoid it. Ukimpenda sana rafiki yako unajitahidi kumuongoza asifanye makosa ili upunguze gharama za kurekebisha mabaya yake. Mimi nimesema alichosema kilikuwa kizuri lakini kwa kuwa kilisemwa wakati usiomuafaka kimekosa mvuto badala yake kinaanza kuonekana ni kero kwa baadhi ya watu na kwa kuangalia hii thread mnaomtetea Membe ni wachache sana.Hatubishanii on the content and how it was presented or said but our aguements are about whether the logic of the statement at that time makes sence to Libyans and friends of Gadaffi in the world at large. Kiswahili tunazo methali nyingi sana zinazo tuasa kutambua ukweli na kuukubali hata kama ni kwa shingo upande kwa mfano "Maji yakisha mwagika hayazoleki tena" as of today Gadaffi in Libya is a spent force, hata kama utaratibu wa kumwondoa umepindwa ni ujinga kutaka utaratibu sasa wakati hakuna thamani yoyote inaongezeka katika siasa za Libya. Hapo kwenye rangi mimi nilisikia kuwa Gadaffi alikuwa na wanajeshi wa kukodiwa aliowatumia wakati wa mpambano sasa killed at close range or not is not an issue but we need to ask ourselves why black people are caught at cross fire, if they were really wealthy searchers why didin't they take opportunity to fly back at time when the opportunities were availed by the international community to all non libyans. Mimi sitaki kuwa mkaburu na usinilazimishe kuingia kwenye ukaburu kwa kisingizio kuwa watu weusi wanauwawa kikatili huko Libya
 
Ndugu Wananchi, Sauti ya masikini huwa haisikiwi. Marais wetu hawa wakienda kwa wenye hela wala hawapati nafasi ya kutangazwa kwenye runinga za kitaifa. Kama huna hela huna tu. Nyamaza kimya wenye mshiko wazungumze. Bila wakubwa kukupa pesa huna serikali.....
<br />
<br />

Kweli mkuu, mfano Mkulu wetu kaenda sana US lakini ziara hizo hua naziona zikitangazwa tu TBC ITV nk CNN no BBC no etc.
 
Mghaka usiumize kichwa. Huyu Membe ni vuvuzela tu. Nadhani tatizo letu kama nchi na hata kwa bara zima la Afrika ni kuwa hakuna vigezo vinavyoeleweka vya kufanya maamuzi ya kidiplomasia. Tuna orodha ndefu ya viongozi wa Africa ambao waliingia kwa mapinduzi ambao leo hii wanalaani waasi wa Libya. Orodha ni ndefu lakini kwa uchache tu kuna akina;
  • Muamar Ghadafi alipindua ufalme uliokuwepo na hilo lilikuwa sawa.
  • Yoweri Museveni ambaye naye aliingia kwa mapinduzi kwa msaada wa Libya ambaye naye anaheshimika kwenye AU mpaka sasa.
  • Paul kagame aliingia kwa kigezo cha kusimamisha mauaji ya kimbari
  • Mwai Kibaki alipindua matokeo ya uchaguzi halali wa kura ya urais
  • Laurent Kabila akishirikiana na baba yake walipindua utawala wa Mobutu Seseseko.
  • Robert Mugabe alipindua matokeo halali yaliyomuondoa madarakani.
Ninachoshindwa kuelewa ni nini hasa kinachowawasha kina Membe sasa hivi mpaka kuwawekea vikwazo visivyo na sababu waasi wa Libya kwani wanachokifanya siyo jambo la ajabu kwa Afrika.
 
Ukoloni ungalipo hapa Afrika tena huu wa leo ndio mbaya sana kabisa..ni ajabu watu wazima mnakaa mnasema eti tutanyimwa misaada na NATO( North Atlantic Terrorist Organisation) yaani misaad ya Damu ya waafrika wenzetu ndio mnafurahia ili mjenge mahekalu wakati akina mama wanalala 5 kwenye kitanda kimoja pale Temeke hospt!!! shame

watu hawaelewi kwamba in Europe ther is one slogan...Nothing goes for Nothing..now the war is costly and for that matter These terrorist cannot launch attcks In Libya just for the sake of saving lives of the people( africans), in actual sense that was and is still not the matter..u must understand these killers are bankrupty they need to revive their economy sasa ni aibu kukubali kwamba Ghadaff anatolewa na Walibya hii ni akili ya wapi?!! kama ni hivyo Nato wanafanya nini pale why wasisaidie hata hapo somalia al shabab?!! ama boko haram..wanataka mafuta period na hawa sio watu ni wanyama and i can assure you watawatoa hata hao waasi siku si nying...mind u these are people who used to call Nelson Mandela a terrorist!!! they killed Lumumba,Samora hawa sio hawa!!!

Wala huo sio ukoloni unaotumaliza ndugu yangu. Ukoloni mbaya zaidi unaotuathiri ni wa viongozi wetu tuliowachagua wenyewe kutumia madaraka na mamlaka waliyopewa na sheria tulizorithi kwa wakoloni mkongwe kuhamisha pesa na raslimali nyingine kwenda nchi za ulaya, marekani, China na India kwa manufaa yao na familia zao binafsi na kuacha mamilioni ya wananchi wakiwa maskini wa kutupwa. Huu ndio hasa unaosababisha wananchi maskini wanalala watano kwenye kitanda cha hospitali ya umma.
 
Nahisi Invisible anafanya ubaguzi kwa waanzisha threads

wengine zao zinafanyiwa editing kabla hazijaletwa

wengine wanaazisha duplicate threads zinapita

interesting....

Mkuu huu ndiyo mchango wako juu ya habari hii au umeamua kuchomeka tu na kutuondoa kwenye mjadala ?tafadhali tuweke sawa nasi tufunguke
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom