Wana JF naombeni nafasi kidogo japo najua jukwaa lipo bize kupita kiasi
Ndugu zangu najua kuna watu hadi sasa wanachekelea na wengine wamekwisha kata tamaa na kuanza kutafuta kazi za kufanya na kutupilia mbali suala la chuo, Ndugu zangu msikate tamaa mwanadodoso leo naingia ndani ya HESLB kujua hatima ya hawa previous lonees na wengine wengi ambao majina yao hayapo kwenye watu ambao wamepata mkopo kutoka HESLB. Leo leo nitawapa hatima yenu. Poleni kwa presha mlizozipata. asanteni