Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo

MKINDE

Member
Aug 16, 2012
43
45
Wana JF naombeni nafasi kidogo japo najua jukwaa lipo bize kupita kiasi
Ndugu zangu najua kuna watu hadi sasa wanachekelea na wengine wamekwisha kata tamaa na kuanza kutafuta kazi za kufanya na kutupilia mbali suala la chuo, Ndugu zangu msikate tamaa mwanadodoso leo naingia ndani ya HESLB kujua hatima ya hawa previous lonees na wengine wengi ambao majina yao hayapo kwenye watu ambao wamepata mkopo kutoka HESLB. Leo leo nitawapa hatima yenu. Poleni kwa presha mlizozipata. asanteni
 
Sawa mkuu,tunakutegemea sana cc ambao tupo mbali na pembezoni mwa nchi hii kaka tujuze,mimi kama jukwaa litakuwa bixe nibip 0716640076 nijuze.
 
Kaka tunakusubiri kwa hamu....kiukweli japo kuna roho ya kukata tamaa lakini bado nina ujasiri wa kupata mkopo..nahisi kuna majina yatatoka na langu likiwepo.... Mungu nisaidie
Jaman tunaweza kujaribu kwa hawa jamaa pia wanatoa... Home
 
....aixeee vp bana habar ya wanachuo wanaoendelea na maxomo, ambao walikoxa mkopo mwaka jana na hvyo wakafanya uamuz wa kuomba upya mwaka huu?!... hatima yao ikoje bana?!...
 
....aixeee vp bana habar ya wanachuo wanaoendelea na maxomo, ambao walikoxa mkopo mwaka jana na hvyo wakafanya uamuz wa kuomba upya mwaka huu?!... hatima yao ikoje bana?!...
kaka suala hilo naomba uwe mpole kwa sababu bodi wanaanza kwanza na hawa waliomaliza kuanzia mwaka 2010 baada ya hapo walimu na wanaosoma sayansi alafu ndio wewe watakufikiria kama mkopo utabaki, mwombe mungu wako atakusaidia
 
vp kama upo ndani ya mkopo kwa miaka miwili ilyopita ila dis yr umechelewa kuomba, ukienda sa hizi kuomba utakubaliwa au too late?
 
vp kama upo ndani ya mkopo kwa miaka miwili ilyopita ila dis yr umechelewa kuomba, ukienda sa hizi kuomba utakubaliwa au too late?

Unfortunately too late, and where were you siku zote hizo? Huna wenzako unaosomanao wenye mkopo kama wewe?
 
Back
Top Bottom