Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 724
Watu weusi ni wanafiki sana, wanaweza kukushangilia sana leo na kukuita wewe ni masia uliyeletwa na MUNGU kwa kusudi maalumu.
Usije ukajidanganya ndugu yangu ukajaa kiburi na majivuno na kusema sina wasiwasi kwa sababu nina watu wengi wanaoniunga mkono.
Tena nataka nikuhakikishie hawa wanaokushangilia leo ndio watakuwa wa kwanza kukupiga mawe ya kisogo siku hiyo ikifika.
Tuishi kwa tahadhali sana hapa duniani, kama umepewa nguvu ya maamuzi katika nchi tenda wema kwa watu wote.
Kuna nyakati za tabu na huzuni kubwa sana zinakuja tena kwa kasi ya ajabu, ni vizuri kuyasoma majira na dalili zake.