Wale wanaotushangilia leo ndio hao watakaotuzomea kesho

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
611
724
Watu weusi ni wanafiki sana, wanaweza kukushangilia sana leo na kukuita wewe ni masia uliyeletwa na MUNGU kwa kusudi maalumu.

Usije ukajidanganya ndugu yangu ukajaa kiburi na majivuno na kusema sina wasiwasi kwa sababu nina watu wengi wanaoniunga mkono.

Tena nataka nikuhakikishie hawa wanaokushangilia leo ndio watakuwa wa kwanza kukupiga mawe ya kisogo siku hiyo ikifika.

Tuishi kwa tahadhali sana hapa duniani, kama umepewa nguvu ya maamuzi katika nchi tenda wema kwa watu wote.

Kuna nyakati za tabu na huzuni kubwa sana zinakuja tena kwa kasi ya ajabu, ni vizuri kuyasoma majira na dalili zake.
 
Watu weusi ni wanafiki sana, wanaweza kukushangilia sana leo na kukuita wewe ni masia uliyeletwa na MUNGU kwa kusudi maalumu.

Usije ukajidanganya ndugu yangu ukajaa kiburi na majivuno na kusema sina wasiwasi kwa sababu nina watu wengi wanaoniunga mkono.

Tena nataka nikuhakikishie hawa wanaokushangilia leo ndio watakuwa wa kwanza kukupiga mawe ya kisogo siku hiyo ikifika.

Tuishi kwa tahadhali sana hapa duniani, kama umepewa nguvu ya maamuzi katika nchi tenda wema kwa watu wote.

Kuna nyakati za tabu na huzuni kubwa sana zinakuja tena kwa kasi ya ajabu, ni vuzuri kuyasoma majira na dalili zake.
Well said
 
Back
Top Bottom