Wale wajuzi wa ngeli, nipeni english version ya sentensi hii

Subiri nakuletea mrejesho
IMG_20170729_180109.jpg

Uwe unajaribu kugoogle
 
Google kutafsiri wakati mwingine inakosea, si vibaya kuuliza swali. Kama hiyo tafsiri uliyoweka siyo nzuri. It is wrong translation.
Wanaoiendesha google ni watu kama wewe ndio maana na wao wanashindwa kuweka sentensi kwenye mpangilio mzuri
 
Back
Top Bottom