Ni familia ya rafiki yangu mmoja.
Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki.
Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3.
Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa mwanamke mwingine na kuzaa mtoto 1 sasa anamiaka 27 hivi. Walichuma mali na huyo mke mpya. Moja ya mali walizochuka na mke huyu wa mwisho ni Hotel moja kubwa tuu na ina Maduka kuzunguka hotel tena ya kisasa kabisa.
Mwaka 2019 Baba yao alifariki. Akaacha mke na watoto 4 wote kwa ujumla.
Ila nae mke wake mwanzoni mwa mwaka huu alifariki nae wakabaki watoto tuu.
Sasa kwenye mali waligawana fresh tuu ila ilibaki hotel hii.
Ishu ni hii hotel hiyo walifanya investment walifanya baba yao na mke wake wa mwisho aliyezaa nae mtoto mmoja wa mwisho. Na ushahidi upo kabisa kwamba ile mali haikuwa ya baba peke yake.
Sasa shida mdogo wa mwisho anataka hotel iuzwe yote mpaka fremu zinazozunguka hotel maana yapo kwenye eneo moja.
Na pia anahitaji achukue parcentage ya mama yake kwenye hotel na pia sehemu ya baba yake. Japo kweli inatakiwa hivyo. Na na hawa wakubwa zake 3 hawataki iuzwe wanataka iendelee kufanya biashara mapato wagawane, ile ndogo anasema no kwa sababu kuna percentage ya mama yake pale.
Sasa rafiki yangu nimemwambia ni kweli yeye anatakiwa kuchukua percentage ya mama yake na baba yake pia. Nyie wengine mnachukua ya mzee tuu.
Hata ikiuzwa yeye atachukua percentage kubwa kuliko nyie, sababu nyie unachukua ya baba tuu. Sasa wadau vipi maana mdogo wao anataka ewe hivyo, inakuwaje hapo sheria jamani njooni.
Mrejesho
Thread 'MREJESHO: WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?' MREJESHO: WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?