Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,976
Muziki ni sanaa kama sanaa zingine yenye lengo la kufundisha,kuburudisha,kuhamasisha,kukosoa n.k..ukisikiliza wimbo kuna baadhi ya lines katika wimbo huo zikakuvutia kwa namna moja au nyingine..
...mfano wa mistari hiyo ni kama
* baya lisilokuzuru,ni jema lisilo na faida - fid q
* usihofie kumpoteza mmoja ili kumi waishi vyema - roma
* dunia sinia,pakua unachoweza - darasa
* uaminifu ni kama mshahara,fanya kazi uupate - fid q
* hakuna snitch kama pesa,ukimpata fanya vya maana - stamina
* Mungu hakupi rohombaya,umeipandikiza - gnako
* nguvu ya elimu ina umuhimu,pale elimu ikutumika - fid q
* kufumba macho sio njia ya kukwepa ngumi ya uso - roma
* anae kupigia saluti anamaanisha una akili nusu - msodoki
* hisia zina mahala pake hazishuki kama mvua,sio kila unaempenda nae anaweza kuridhia- baghdad
* mzungu anaiga,kwenye shida ndugu Mungu - songa
* hamaki geti la kiongozi walinzi ni wangapi,wanaoibiwa ndo wanamlinda je akamatwe saa ngapi-msodoki
embu na we dondosha mistari iliyowahi kukuvutia,kukufurahisha au kuku-inspire