Wale wa Mistari Kwenzi (Punchlines), tukutane hapa

Kaboom

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
10,828
14,975
Muziki ni sanaa kama sanaa zingine yenye lengo la kufundisha,kuburudisha,kuhamasisha,kukosoa n.k..ukisikiliza wimbo kuna baadhi ya lines katika wimbo huo zikakuvutia kwa namna moja au nyingine..

...mfano wa mistari hiyo ni kama

* baya lisilokuzuru,ni jema lisilo na faida - fid q
* usihofie kumpoteza mmoja ili kumi waishi vyema - roma
* dunia sinia,pakua unachoweza - darasa
* uaminifu ni kama mshahara,fanya kazi uupate - fid q
* hakuna snitch kama pesa,ukimpata fanya vya maana - stamina
* Mungu hakupi rohombaya,umeipandikiza - gnako
* nguvu ya elimu ina umuhimu,pale elimu ikutumika - fid q
* kufumba macho sio njia ya kukwepa ngumi ya uso - roma
* anae kupigia saluti anamaanisha una akili nusu - msodoki
* hisia zina mahala pake hazishuki kama mvua,sio kila unaempenda nae anaweza kuridhia- baghdad
* mzungu anaiga,kwenye shida ndugu Mungu - songa
* hamaki geti la kiongozi walinzi ni wangapi,wanaoibiwa ndo wanamlinda je akamatwe saa ngapi-msodoki

embu na we dondosha mistari iliyowahi kukuvutia,kukufurahisha au kuku-inspire
 
Chupa rupiya nane tumekunywa watu wane
Gilisini imekwisha nipe chupa nitazame........Bi Kidude (Kwenye Muhogo wa Jang'ombe)
 
Ama kweli wabaya mapema hawafi,kifo tungekuwa tunapiga kura cjui tungemtanguliza nan kat i ya bush na ghadafi,-african vision
 
nauwezo wa kufanya mpka madawa yakaugua - fid q
kama unafamilia bora usiniige mimi, hukawii kuuza nyumba usipokuwa makini - langa
napesa mingi mpaka natamani jiteka - ngwea
 
'saivi we ni-shit, kwa vile niko chini/ siku utaona ujiko, sema ulisoma na mimi'- Eluka kwenye Nikizipata.

'usidanganywe na shetani, eti atakupa milki yake/ eti kisa dili zako zinakwenda kwa nguvu zake/ - Jos Mtambo kwenye twende sasa.

'hata hivyo, bakiza note za kesho/ sio unajirusha tu, future yenyewe michosho' AY kwenye raha tu rmx.

'..matapeli kila hatua 3, makahaba wa miaka 13/ sijui nini na nini, usipite bila kuvaa viatu/' Langa kwenye kimbia.

'forget the hater, coz the fool's not on the list' Chris Kantai kwenye Kantai G.

'i've been around, you've been around but around me' - C.Kantai kwenye makes you feel good
 
'everybody's business ain't your business' Scarface - my block.

'Clown told me 'ain't u a Roc, but where the fcuk yo chain at??'/ guess it's some like your girl, N!99a it ain't came yet' J Cole - who dat.

'to be a soldier, must maintain composure at ease/ tho life's complicated, only what u make it to be/' Pac's ambitions az a rydah.

'cos me and Allah, go back like cronies/ i ain't got to be fake, cos he is my hommie/'. Cube's gangsta rap made him do it.

'she understands the grounds, cook cleans and irons/ whatever she wanna push, i'mma co-sign it/ if i ain't got it already, then i'mma go find it/'. Jadak.i.s.s.

'just think of all the people, that you knew in the past/ tht passed on they in heaven, found peace at last/'. Pac's thugz mansion
 
muziki kama fani ya sanaa ina lengo la kufundisha,kuburudisha,kuhamasisha,kukosoa n.k..ukisikiliza wimbo kuna baadhi ya lines katika wimbo huo zikakuvutia kwa namna moja au nyingine..

...mfano wa mistari hiyo ni kama

* baya lisilokuzuru,ni jema lisilo na faida - fid q
* usihofie kumpoteza mmoja ili kumi waishi vyema - roma
* dunia sinia,pakua unachoweza - darasa
* uaminifu ni kama mshahara,fanya kazi uupate - fid q
* hakuna snitch kama pesa,ukimpata fanya vya maana - stamina
* Mungu hakupi rohombaya,umeipandikiza - gnako
* nguvu ya elimu ina umuhimu,pale elimu ikutumika - fid q
* kufumba macho sio njia ya kukwepa ngumi ya uso - roma
* anae kupigia saluti anamaanisha una akili nusu - msodoki
* hisia zina mahala pake hazishuki kama mvua,sio kila unaempenda nae anaweza kuridhia- baghdad
* mzungu anaiga,kwenye shida ndugu Mungu - songa
* hamaki geti la kiongozi walinzi ni wangapi,wanaoibiwa ndo wanamlinda je akamatwe saa ngapi-msodoki

embu na we dondosha mistari iliyowahi kukuvutia,kukufurahisha au kuku-inspire

Roma, Fid Q, Msodoki na Baghdad.. Nash anasema hivi "ASIE HUSIKA NA HIP HOP ATOKE".. JCB akasema hivi " SIJUTI KUWA MGUMU".. Incredible akamaliza hivi "WANABANA KWASASABU NIMEKATAA KUIPOTOSHA JAMII"
 
Kama mademu ni chip weka hela ujipigie,kama ma men ni zip kuwa fundi ujipimie-Baghdad

Jimama akikupa trip lengo ukamuhudumie/
Pedeshee hawezi ku-beep so usimuhurumie-Baghdad

Mapenzi yamegeuka crip usisubiri wakusimulie/
Ukigoma kuzama deep acha wakuchimbulie-Baghdad
 
Unapoambiwa stay true..Ina maana mwache Jigga mwache 50, nigga stay u...P the Mc
Karatasi yenye thamani ni pesa..Vyeti ni uchafu-Nikki mbishi
 
Wale panya road wamezima mchongo wa escrow

Usipotoa kodi ya nyumba huwekwi hata screen saver.

Akili isipotumika ni haki kudhalaulika.

Alieanzisha shule yeye alisoma wapi - Kimbunga mchawi
 
Ukipewa uzuri bila akiri ni sifuri,zitakazoumia ni sehemu za siri
So demu usiseme una hustle,wakati inayohustle ni pussy,Chunga utakuja kupata virusi-Roma
 
Washikaji wenye akili walikuwa mateja wakaacha.
Washikaji wapumbavu walikuwa mateja mpaka sasa

Ukitaka usipoteze mda potezea simu- slimsal ft g nako
 
Washikaji wenye akili walikuwa mateja wakaacha.
Washikaji wapumbavu walikuwa mateja mpaka sasa

Ukitaka usipoteze mda potezea simu- slimsal ft g nako
Una beef?..Weka maji utengeneze supu
maana bakuli ya mboga nyumbani kwenu ni Tupu
 
Maskini namba moja ni mjinga wa akiri,Anayefikiri Albino atampa utajiri-Slimsal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom