Wale wa Mistari Kwenzi (Punchlines), tukutane hapa

Watu wengi ni fake,Duniani hakueleweki..Na unaweza kuzaliwa nyanda ukachezeshwa beki-Darasa
 
Mwanangu vumilia,mwanaume upata juani
Sumu na sukari vyote vinauzwa dukani-Darasa
 
Ningekuwa na hela mashoga wangenikoma.
Ningehakikisha wote wanakufa na ngoma- Mchungaji Zayumba.
 
Mzee aliyekaa uona mbali kuliko kijana aliyesimama-Kaka sungura
 
Sikuiti shujaa kwa kufanya kile unachofanya..Ntakuita mjinga ukishindwa wakati kinawezekana-Fareed Kubanda
 
Wasomi bado watumwa kwa wanasisa inatakiwa umachale hili wale wasikulishe ujinga wasikutawale by joh makini
 
Wanatembea juu ya zuria jekundu xixi tunatembea juu ya kokoto ni damu yetu watanganyika wa mtwara by bonta
 
Kenge wanachafua maji wanakijiji waxiyaoge na kuwajibu itakua ngumu by mwana F A kabla ajaanza kuimba taarabu
 
Kama Mungu ni mmoja hizi tofauti za nn
Imani yako ndo itakuponya,sio tofauti za dini-Lord Eyes
 
'rafiki wa mlinzi wa geti ni beki tatu' jina la wimbo silijui
 
Baby since yesterday u went away i cant live without u,u always on ma mind-daville ft sean paul.ni noma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom