Wale wa galanos agriculture sec school miaka ya 1999-2002...tujikumbushe!.

Unamkumbuka yule mwalimu wa nidhamu mchaga nadhani Masawe kama namkumbuka vyema....
 
unamkumbuak msombwa? second master ..hahaha yule jamaa alikuwa kiboko aise. karugendoyule mwana aliyekuwa anavaa miwani? namkumbuka sana.

yah karugendo alikuwa anavaa mawani,msombwa alikuwa ana2kana paredi mpaka noma,mkuu inaonekana 2memaliza wote,aha aha aha.
 
"Baba msocha akifa mm siwezi kulia, nitamtupa mtofu, awe chakula cha mamba"

hilo ni song la mchakamchaka jmosi!

Msocha ni mpuuzi sana hapendwi hata na student mmoja!!
 
hahahaha da vijana mmenikumbusha mbali sana mnaikumbuka TANESCO PROJECT da mi ilikuwa inaniboa sana ila nao walikuwa wanatutega wakitupeleka jumamos kufyeka wanatupa juisi zile za tanga na skons hahaha. mzee mnalikumbuka kengere la msosi lile??
 
mack master yuko wapi siku hizi ticha wangu wa geography huyu alisababisha nipige A ya geography a-level

Ah Saint Ivuga unaniyeyusha Mack Master alikuwa mweupe sana mkuu...may be kama alikuja kui-prove later on....
 
Ah Saint Ivuga unaniyeyusha Mack Master alikuwa mweupe sana mkuu...may be kama alikuja kui-prove later on....

kweli jamaa alikuwa mweupe,nampa hongera kwa kutokosa kuingia darasani lakin kufundisha alikuwa mweupee
 
dah!nikikumbuka bao bao farm tumbo linanikata aisee,ilikuwa si kulima,kupalilia wala kuvuna, haikuwa tofauti na sobibo!!
 
mimi sikusoma galax ila ninafundisha galax now kwa mwaka wa pili sasa,msocha bado yupo na hazeeki yani yuko vilevile mlivyomuacha,si unajua jamaa mtu wa mazoezi..karia,shetui,torani wamehama,kinenekejo na mama maua wamestaafu december mwaka jana.mack master ndio mkuu wa shule kwa sasa.mama muhina,mama mgina bado wapo.shule kwa sasa inang'aa kama imejengwa jna na ina walimu wengi sana wa kiume halafu vijana watupu.......hahahahaha nadhani mnamkumbuka mr mshana,bado yupo ana simamia miradi.....nimefurahi mmejikumbusha enzi zenu!!karibuni tena tuijenga galax penda watoto!!!lori la shule sasa hakuna ipo defender tu,hivyo jipangeni muwataftie wadogo zenu hata coaster la shule ili wawe na usafiri wa kwenda sehemu mbalimbali kwa usalama na uhakika.thanx

dah 2nashukuru mkuu kwa updates...vp Akida yupo? Rasta mpika misosi? Mwambie Msocha namkumbuka sana maana aliwah kunambia niondoke mimi au yeye....aha aha
 
mimi sikusoma galax ila ninafundisha galax now kwa mwaka wa pili sasa,msocha bado yupo na hazeeki yani yuko vilevile mlivyomuacha,si unajua jamaa mtu wa mazoezi..karia,shetui,torani wamehama,kinenekejo na mama maua wamestaafu december mwaka jana.mack master ndio mkuu wa shule kwa sasa.mama muhina,mama mgina bado wapo.shule kwa sasa inang'aa kama imejengwa jna na ina walimu wengi sana wa kiume halafu vijana watupu.......hahahahaha nadhani mnamkumbuka mr mshana,bado yupo ana simamia miradi.....nimefurahi mmejikumbusha enzi zenu!!karibuni tena tuijenga galax penda watoto!!!lori la shule sasa hakuna ipo defender tu,hivyo jipangeni muwataftie wadogo zenu hata coaster la shule ili wawe na usafiri wa kwenda sehemu mbalimbali kwa usalama na uhakika.thanx

mkuu mm hapo nilikua prefect wa mkonge dom (katibu) 2000-2001. Mwambie yule kijana anakusalimia uliyekutana naye Iringa akakutoa dinner...msumbufu na mwanzilishi wa "SOKORO" enzi izo ma-prefect tulikua hatujapwi viboko labda kwa ruhusa maalumu kutoka kwa HM tena ofisini.
 
ngwini,hahahahaaha rasta yupo anapiga mzigo kama kawa,na si unajua siku ikiwa zamu yake jikoni basi ujuwe DH lazima watu wanyanyg'anyie top layer...hahhahahaha akida mswahili hayupo alishastaafu kazi,wamebaki kina mashana,mgina,msocha,mhina,sembe,maganda,mbugi,naburi a.ka.a jembe,awadhi,na vijana wengine wapya ambao wanapiga kazi ya kufundisha balaa,yani madogo wakifeli wajilaumu wenyewe.tatizo madogo wengine wameoa mapana,hahahahahaahahahahaha

dah pangu pakavu! Rasta akiwa zamu kande au cku ya ugali..ndondo la ukweli,2 be honest nilikuwa nampenda sana Mama Naburi...mwambie ngwini anakupenda sana.
 
ngwini,hahahaaaaaaaaaa naburi wanamuita jembeeeeeee yani akiwa zamu shule inatakata inakuwa nyeupeeee af ni jeshi la mtu mmoja,yani ukimzingua naye anakuzingua.hahaaaaaaa but galax now ni A-level tu,hakuna o-level
 
duh,kumbe wameifanya a-level tu...wameweka combination zipi? Mwambie jembe Naburi nitakuja kumpa ofa maana namkubali mama mpiganaji!
 
ngwini,hahahaaaaaaaaaa naburi wanamuita jembeeeeeee yani akiwa zamu shule inatakata inakuwa nyeupeeee af ni jeshi la mtu mmoja,yani ukimzingua naye anakuzingua.hahaaaaaaa but galax now ni A-level tu,hakuna o-level

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2011 EXAMINATION RESULTS

S0142 GALANOS SECONDARY SCHOOL DIV-I = 5 DIV-II = 4 DIV-III = 8 DIV-IV = 30 FLD = 7

Tangu lini O-Level imefutwa

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2011 EXAMINATION RESULTS

S0142 GALANOS SECONDARY SCHOOL DIV-I = 5 DIV-II = 4 DIV-III = 8 DIV-IV = 30 FLD = 7

Tangu lini O-Level imefutwa

kweli Galanos imeisha, yani div one wa 5 tu? Dah, jamani nalikumbuka group langu CAMBRIDGE GROUP, Zuakuu, Edson, Emson, Kato, Wambura, Elihuruma....wote hao wako mbali sana. Uliza msuri tuliokuwa tukipiga, twatoboza mpaka asbh. Prepo ikiisha, sisi tunaanzisha ya kwetu. Vijana someni, maisha si rahisi hivi.
 
Back
Top Bottom