BASHADA
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 513
- 148
Aaah, mmenikumbusha mbali bandugu, mii namkumbuka yule mwalimu wa duka la shule, mfupi mweusi, mpare anaitwa nani vile? I think Greyson. Yule jamaa noma alikuwa amekariri majina ya wanafunzi wote, ila Kinala mii nilikuwa nampenda sana yuko fresh hana nongwa na wanafunzi alikuwa akija kutuamsha saa 11 asubuhi kwenda mazoezi mimi nilikuwa bweni la mkonge, ila kuna mwallimu wa nidhamu miaka ya 1999/2000 mweupe mrefu jina limenitoka alikuwa mnoko, kuna siku alikutana na washikaji mtaani wametoroka saa sita usiku jamaa akaja nduki kupigisha rokoo/bed check, jamaa nao wakaja mbio kwa njia za uchochoroni ilikuwa noma.