Kimsingi limeishaMkuu litaishi hivi hivi nakuhakikishia.
Kodi ndio jambo la msingi na muhimu katika sakata hili. Kodi ikilipwa hili jambo litatoweka vinywani mwa watu..Wanabodi,
Wengi wetu humu jf, ni watu wa matukio, yaani wanajikita zaidi katika tukio, kilichotokea, lakini wale wasoma trends humu ni wachache, mimi ni mmoja wao. Trends ni the motive behind, the causative agents na the underlying facts. Likitokea tukio, hatujiulizi kuhusu ni nini kilichotokea kwenye tukio fulani, bali tunakwenda mbali zaidi kwa kujiuliza kilichosababisha tukio hilo kutokea, the underlying facts na causative agents, na kumalizia na the motive behind.
Hivyo jana baada ya Rais Magufuli, kuyasema aliyoyasema kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na ukwepaji kodi wa Makontena, kuna wengi ambao ni watu wa matukio, sasa wanasubiri kwa hamu na shauku kubwa kusikia Makonda ametumbuliwa!, Makonda hatatumbuliwa kwa sababu...
Wale wote wenye kusibiri hilo litokee, kiukweli kabisa, watasubiri sana!.
Sababu pekee halisi itakayofanya Makonda asitumbuliwe sitaitaja hapa, ila nakuwekea tuu uthibitisho kuwa Makonda ni mpakwa mafuta. Ukiwa ni mpakwa mafuta, then wewe ni mpakwa mafuta tuu, no matter what, hivyo haya yote yanayoendelea sasa kuhusu sakata la makontena ya Makonda, ni mapito tuu, hiyo kodi italipwa na maisha yataendelea.
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums
P.
Kodi ndio jambo la msingi na muhimu katika sakata hili. Kodi ikilipwa hili jambo litatoweka vinywani mwa watu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ni mhujumu uchumi, anatakiwa akaunganishwe na akina Sethi na Lugemarila