Wakwepa Kulipa Kodi Wakubwa(Celtel; Zain; na Sasa Airtel)

kama haujui ni bora ukauliza kwanza. Kampuni za simu hazipo kwenye makampuni yanasosamehewa kodi. Kwa tahari vocher ya simu unayoweka ili kupata credit inajumuisha na makato ya tra

sababu ya kubadili majina kila miaka mitano mie sijasikia sigara,tbl........wakibadili majina kama hawa jamaa ,
 
:target: Jamani ni lazima tuwe waelewa hizi Kampuni za Simu asilimia kubwa zinamilikiwa na Wahindi, wahindi ni wazoefu wa kukwepa kodi nani asiye jua?hata ukienda TRA kuulizia watakujibu wana lipa cha msingi ulewe kuwa Tanzania ni shamba la Bibi ni kama mti wa zambalau fisadi akichuma akichaja kikapu ana lalambele,wengine wanatungua zambalau na mawe,ndugu yangu sisi tukazanie kilimo kwanza pengine kitatutoa.
 
Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...??

Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa Kodi sasa wao wanachofanya ni kuuza kampuni kila baada ya Five Years Hivi wanasheria Humu Jamvini ni Vipi tunaweza wabana hawa mafisadi

Get the audited financial statements for the year ended 31 December 2009, uone kama hawajalipa kodi. Ninachofahamu wanalipa kodi, na kwa mwaka ulioishia Dec 2008 walikuwa na faida baada ya corporation tax ya Shs 48.147 billion na ule unaoishia Dec 2007 walitengeneza faida baada ya kodi ya Shs 62.142 billion. Nikipata za 2009 nitakutwangia mpaka kodi waliyolipa, siyo tax expense bali actual tax paid.

Usikurupuke kuandika pasipokuwa na data. Principally kilichokuwa kimebadilika ni 'branding' from Celtel to Zain kama vile ilivyo kwa MIC Tanzania Limited wanaotumia brand ya tigO. Kampuni haijabadilika ni MIC (Mobitel .....) ila brand ndiyo ilibadilika kutoka Mobitel kwenda tigO.

Kwa taarifa yako, Zain wanalipa kodi kuliko hata Vodacom ambao wanatengeneza hasara. Na Mafuru wanayemsifia kampuni yake inachekesha, sasa akiwa mtu wa masoko aliyetakiwa kuifanya kampuni ifanye vizuri kwa kuongeza wateja ameshindwa. Halafu ndiye apewe kampuni ya Umma. Kwa mwaka unaoishia 31.03.2010 vodacom wamepata hasara ya Shs 8.836 billion. Lakini mpaka ninakwenda mitamboni inaonekana zain wamewapiga kwa faida mbali mno.
 
je wafanyakazi watabakia wale wale au ndio mwisho

Mkuu nilivyowasikia viongozi wakisema ni watabadilishwa wale wachache tu wa top management, na tayari hili limeshafanyika ila majority ya wafanyakazi watabaki vile vile
 
Katika vitu vinavyonifurahisha kuhusu Tanzania ni jinsi watu wanavyopenda kuendesha mambo kwa speculations. With all the resources available (Google, wikipedia, sites za makampuni, academics) lakini bado tunafanya mambo utafikiri tunaishi miaka ile ya sitini na sabini.

Ndiyo maana mtu anibuka tu from nowhere na kutuambia JK kaonekana nyumbani kwa shehe Yahya, tayari ni big nuwz thread inaenda hata pg 6o. C'moon guys JF is bigger than that. Tuwe tunajaribu hata kufanya utafiti kidogo kabla ya kutundika threads.
 
Get the audited financial statements for the year ended 31 December 2009, uone kama hawajalipa kodi. Ninachofahamu wanalipa kodi, na kwa mwaka ulioishia Dec 2008 walikuwa na faida baada ya corporation tax ya Shs 48.147 billion na ule unaoishia Dec 2007 walitengeneza faida baada ya kodi ya Shs 62.142 billion. Nikipata za 2009 nitakutwangia mpaka kodi waliyolipa, siyo tax expense bali actual tax paid.

Usikurupuke kuandika pasipokuwa na data. Principally kilichokuwa kimebadilika ni 'branding' from Celtel to Zain kama vile ilivyo kwa MIC Tanzania Limited wanaotumia brand ya tigO. Kampuni haijabadilika ni MIC (Mobitel .....) ila brand ndiyo ilibadilika kutoka Mobitel kwenda tigO.

Kwa taarifa yako, Zain wanalipa kodi kuliko hata Vodacom ambao wanatengeneza hasara. Na Mafuru wanayemsifia kampuni yake inachekesha, sasa akiwa mtu wa masoko aliyetakiwa kuifanya kampuni ifanye vizuri kwa kuongeza wateja ameshindwa. Halafu ndiye apewe kampuni ya Umma. Kwa mwaka unaoishia 31.03.2010 vodacom wamepata hasara ya Shs 8.836 billion. Lakini mpaka ninakwenda mitamboni inaonekana zain wamewapiga kwa faida mbali mno.

Well said mkuu,
Hata wale wanaofanya biashara na hawa jamaa watakubaliana nami kuwa zile vocha za malipo huwa zinaandikwa kwa jina la Celtel Tanzania Ltd, istoshe hata serikali ya Tanzania ni shareholder kwa 40% ya share.

Ni vema humu jamvini tukawa tunaandika data ambazo ziko sahihi maana huku mitaani habari za JF zinaaminika sana, sasa tukianza kupost habari zisizo na ukakika wa kutosha tutaipoteza jamii.
 
Katika vitu vinavyonifurahisha kuhusu Tanzania ni jinsi watu wanavyopenda kuendesha mambo kwa speculations. With all the resources available (Google, wikipedia, sites za makampuni, academics) lakini bado tunafanya mambo utafikiri tunaishi miaka ile ya sitini na sabini.

Ndiyo maana mtu anibuka tu from nowhere na kutuambia JK kaonekana nyumbani kwa shehe Yahya, tayari ni big nuwz thread inaenda hata pg 6o. C'moon guys JF is bigger than that. Tuwe tunajaribu hata kufanya utafiti kidogo kabla ya kutundika threads.

Asante mkuu
 
hebu someni hapo chini kupanua mawazo

Bharti finalizes purchase of Zain Africa
Definitive agreement for $11 billion will make the Indian operator the world's fifth largest cellco
By CAROLINE GABRIEL

READ MORE: M&A | Africa & Middle East | Bharti Airtel | Zain Group

Smartphone Patents and Intellectual Property Rights
India's leading cellco Bharti Airtel has become the fifth largest mobile operator in the world, signing a "legally binding definitive agreement" to
acquire the African operations of the Kuwait-based Zain Group.
The deal, valued at $10.7bn, is third time lucky for Bharti, which had twice before tried to make a major African acquisition to expand its reach
and scale, and offset wafer-thin margins at home. Its prey on those two occasions was MTN, but talks collapsed on ownership structure, price and
brand sharing.
Bharti is paying $9bn, and taking on $1.7bn in debt, for Zain Africa, which has operations in 15 markets (all Zain's operations in the continent
except Sudan and Morocco, whose north African/Muslim nature keeps them within the Middle Eastern firm's core group). Bharti's new units will have a total of 42m customers and span Burkina Faso, Chad, Congo Brazzaville, DRC, Gabon, Ghana, Kenya, Madagascar, Malawi, Niger, Nigeria, Sierra Leone, Tanzania, Uganda and Zambia. These join Bharti's existing units in India, Sri Lanka and Bangladesh to create a total footprint of almost 180m. Almost 70% of these will still be in its home market, where it has a base of nearly 125m.
 
"Mporipori;Wajumbe kuhusu tax paying; data hizi hapa….
Between July 2007 and June this year, mobile phone firms in the large taxpayers' category -- among them Vodacom Tanzania, Tigo, Zain and Zantel -- had paid excise duty to the government amounting to Tsh40.2 billion ($36.2 million) whereas the TRA target was to collect Tsh39.2 billion ($37.3 million), a performance of 102 per cent.

Kwa hiyo jamaa inaonesha kodi huwa wanalipa

Ndugu, hiyo kodi ya excise duty hawalipi wao!! Wao ni wakusanyaji tu kutoka kwa watumiaji wa service zao.
Nature ya hiyo kodi ni kama VAT.
Iwapo imeonyeshwa kwamba hio ndio kodi pekee "wanayolipa", then ni kweli hawalipi kodi kabisa! Na tunapoongea kodi tunamaanisha kodi ya mapato!!
 
Wakubwa swala la merger and acquisition ni common sana katika maendeleo ya kibiashara. Hapa kilichofanyika ni kwamba airtel wamenunua asset and liabilities za Zain na kulipa ongezeko fulani ambalo linaitwa kitaalamu Goodwill. Sasa moja ya liability ni tax burden, hivyo hakuna kilicho haribika waungwana.

Cha muhimu Tanzania tunaitaji business journalist ambao wanatakiwa kuangalia legal statue za Tanzania na mambo haya ya merger and acquisition sababu muda mwingine inaweza kuwa ni kwa ajili ya kuuwa ushindani.
 
"Mporipori;Wajumbe kuhusu tax paying; data hizi hapa….
Between July 2007 and June this year, mobile phone firms in the large taxpayers' category -- among them Vodacom Tanzania, Tigo, Zain and Zantel -- had paid excise duty to the government amounting to Tsh40.2 billion ($36.2 million) whereas the TRA target was to collect Tsh39.2 billion ($37.3 million), a performance of 102 per cent.

Kwa hiyo jamaa inaonesha kodi huwa wanalipa

Nature ya hiyo kodi ni kama VAT.
Iwapo imeonyeshwa kwamba hio ndio kodi pekee "wanayolipa", then ni kweli hawalipi kodi kabisa! Na tunapoongea kodi tunamaanisha kodi ya mapato!!
Mzazi hapa kuna kodi mbili tatu muhimu nayo ni Income tax ( ambayo zain wanatakiwa walipe baada ya kupata EBIT yao kwenye income statement). Pili ni VAT hii ni withheld tax ambayo technicaly inalipwa na wananchi bali Zain wao wanakuwa muwakilishi tuu kwa kuishikilia hii tax na kulipa kila baada ya muda fulani. Vile vile kuna malipo ya payroll ambayo wao wana withheld certain amount kutoka kwa wafanya kazi wao na wao wanachangia certain amount kisha wanawalipa serikali ya Tanzania.

Tunatakiwa kuongeza tax za jiji ambazo inabidi zilipwe moja kwa moja kwa serikali za miji au mitaa.
 
Unapobadili jina la kampuni swala kubwa ni kupoteza ushahidi wowote ule siku za mbeleni maana kampuni ya zamani inakuwa imekufa kwa hiyo unaanza na clean slate. Usione ajabu Mwizi mkuu alikuwepo kubariki wizi huu. Ipo siku tena itakuja kama radi.
 
The law is blind...so are the the lawmakers...! Upebari ni unyonyaji ujamaa ni imani...! TULIACHANA NA UJAMAA KWA KUWA UBEPARI ULIONEKANA BORA ZAIDI...TUMESHALINGANISHA ...SASA TUJIULIZE SWALI LILE LILE......UBEPARI NA UJAMAA UPI BORA KWA NCHI YETU?
 
TRUTH: This is nonesense.. yaani watu mnaongea kama hamna akili timamu.. issue ya Bhatti Airtel ni kitu cha kawaida katika corporate world. USHAURI WA BURE: kwanza hamna kitu kama hicho cha kukwepa kodi.... ilianza celtel ya Mohammed Ibrahim TENA MWAFRIKA WA SUDAN akaWAuzia zain ya Kuwait. Investor mpya alitaka jina lifanane naye ndo ikaitwa Zain. Juzi juzi Bhatti Airtel ya India ilinunua shares za Zain ya Kuwait (AFRICA OPERATIONS 100 PER CENT) na ndo ikatokea hiYO change ya corporate name. Ukweli ni kwamba hata company ordinance act inaruhusu changing of the corporate names...... nimesikia mengi sana kwenye daladala watu wakishutumu.. I thought that "these are ignorant arguments.... yaani watanzania tuelimike jamani. Mfano mwingine ni ule wa Eurafrica Bank.. baada ya kununuliwa huko matawi ya juu ikabadilishwa hadi kuitwa BancABC..... kumbe hata leo TRC to TRL ni kukwepa kodi..... wapo wengi kama Alexander Forbes. National bank of Commerce kewnda NBC Limited.... Corporative and Rural Development Bank kwenda CRDB Bank Plc...... ni kama mwanamke anaolewa na kubadilisha jina na ubini.. hii ni kumkama baba yake mzazi.. acheni hizo.. telecoms ni moja ya sekta ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa sana katika kulipa kodi za serikali.. corporate tax, income tax, import duty and value added tax.. sekta inakua kwa asilimia zaidi ya 10 kwa mwaka... imeleta kazi mamilioni kuanzia kuuza vocha barabarani, maduka ya simu, vijana lkufanya promo mtaani na kulipwa shilingi elfu tano kwa siku.. and more that..... ninyi wapumbavu acheni hizo...... asiyeelewa please call me through 0700 433 544:teeth::A S crown-1:
 
nonsense.. hamna ukwepaji wa kodi hapa.. lets be serious jamani.. haya ni mambo ya corporate world.. for your reference pitieni company ordinance act na ile ya Brela.. everything is there.. acheni stupid arguments
 
mkuu... please clarify... ZAIN to Airtel is just the matter of branding ..... au wamiliki wanabadilika pia.... and corporate interests also changes
 
Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...??

Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa Kodi sasa wao wanachofanya ni kuuza kampuni kila baada ya Five Years Hivi wanasheria Humu Jamvini ni Vipi tunaweza wabana hawa mafisadi

We subiri 2015 utaona imeuzwa tena itakuwa inaitwa Mungitel.
 
Back
Top Bottom