Wakwepa Kulipa Kodi Wakubwa(Celtel; Zain; na Sasa Airtel)

nonsense.. hamna ukwepaji wa kodi hapa.. lets be serious jamani.. haya ni mambo ya corporate world.. for your reference pitieni company ordinance act na ile ya Brela.. everything is there.. acheni stupid arguments

Hujui halafu hujijui.
 
Please nijuze zaidi kwahiyo tax heaven ipo au haipo na kama ipo je inainvolve taz ya aina gani sababu hapa nimeona wamelipa excise duty
Vipi kuhusu corporate Tax ?
vipi kuhusu VAT , haichakachui hawa ?
maana siku za Nyuma kama 4 yrs back TTCL ndo walikuwa walipa kodi wakubwa miongoni mwa makampuni ya Simu

Tuambieni TTCL wameliapa kodi kiasi gani ? ili tulinganishe na VODA ,TIGO na ZAIN
Nina uhakika figure zikitolewa mtachoka wenyewe
 
Thanks for the info guys.... now am wiser than i was before... Lakini kabla hatujamaliza naomba kama kuna mtu ana kipengele cha tax heaven anipatie (TRA website leaves a lot to be desired) . "Am the Wisest Man Alive, For I know that i know nothing". Aristotle
 
The MD said that the company will keep all its current workforce following the re-branding and acquisition, adding that the company would recruit 130 new more before the end of the year.
"Airtel is here to operate and serve the masses. And there is no tax relief (due to acquisition rather), we have taken Zain's legal obligation, including assets and liabilities," Mr Elangalloor said.

He added the four months that has taken to rebrand the company is the shortest period, given the fact that there were a number of issues to settle, including regulatory and legal ones. "The branding is across 16 African countries and we want people not only to look but feel the new brand," Mr Elangalloor said.

Hapo kwenye nyekundu inaonyesha kwamba hakuna TAX RELIEF.... from zain to airtel, lakini what about from celtel to zain???. Na mtu aliyesema tax relief haihusu simu kwanini huyo bwana amesema sasa hakuna relief that means huwa ipo lakini sasa hawakupata
 
Back
Top Bottom