wakuuuuuuuuu njoon basi

Kaunga nakwambia unaweza
geuziwa kibao kama wewe ndie mkosaji natamani ningekuwa najua kupiga
tarumbeta.

Njoo nikufundishe maana nacho ni kipaji! Olympic wangekitambua sijui ningekuwa na medali ngapi?
 
mmh yahtaj moyo

I dont believe in adhabu, l believe in talking and reasoning things together. Sasa tafuta muda muongee mustakabali wa ndoa yenu; ukisisitiza kuwa cheating huwezi ivumilia na kwanini unaona haifai. Pata mtazamo wake anaonaje kuhusu kuwa commited, na ...... bwana unajua jinsi mnavyoongeaga (nimechoka kufikiri)
 
Njoo nikufundishe maana nacho ni kipaji! Olympic wangekitambua sijui ningekuwa na medali ngapi?

Hongera Ennie, tabidi nami nije;
Chauro the thing is sio kupiga tarumbeta (mimi sijui pia, halafu mvivu) lakini kuwa na msimamo, waweza ongea maneno mawili matatu lakini yakamchoma mtu kuliko maneno 300 yasiyo na uzito.
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu imewahi kunitokea mke wangu kavizia nipo bafuni naoga anajifanya ananipigisha story nyingi kumbe anapekupekua cm yangu akapambana na sms kali tu ya binti mmoja aliwahi kuwa mpenzi wangu ss akawa naona kanikumbuka kanitumia yy akaifungua halafu akajifanya amefura!!! nilimuuliza nani kakwambia ushike cm yangu?ohho ww si mpenzi wangu lazima nijue nn kinaendelea kwenye simu yako nikamjibu ss endelea kuipekua na usiniulize chochote kile utakachoendelea kukiona nikaizila ile simu pale nikasepa mbn jioni narudi hm nikakuta sms kama 20 hv hajagusa hata kidogo mpk leo anaiona kama kituo cha police coz me yk sitaki presha hata kuikalibia tu naogopa so conclusion kushika simu ya mpenzi au mke wako ni makosaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hivi ingekua ni wewe umekuta msg kama hy ka2miwa mkeo ungefanyaje?
 
wakuu,hivi kama ukivizia simu ya mmeo au mkeo ukakuta sms ya kimapenzi,then huyo mtuhumiwa anakugeuzia kbao kuwa kwa nini umeshika simu yake,hapa nani anakosa
Mwenye makosa ni huyo alokutwa na sms ya kimapenzi kwa sababu inaonesha ni jinsi gani alivyo msaliti wa penzi. Kugeuza kibao na kukufanya wewe uloshika simu yake ni mkosefu, hiyo ni self defence tu. Nakushauri endelea kushika simu yake ili kama anakusaliti ujue utafte njia ya kujinasua na mijigonjwa hatari, lol!
 
Kumbe na wewe mvivu kama mimi yani nimekuwa mvivu kweli Kaunga maana hata hayo maneno mawili sijui nayatoa wapi.

Hongera Ennie, tabidi nami nije;
Chauro the thing is sio kupiga tarumbeta (mimi sijui pia, halafu mvivu) lakini kuwa na msimamo, waweza ongea maneno mawili matatu lakini yakamchoma mtu kuliko maneno 300 yasiyo na uzito.
 
Mi juzi nimemchapa makofi my wife wangu kwa kusoma message na kunijia juu baada ya kukuta message ambazo ni mdada nilikuwa nachat naye tu kutokana kufahamiana kwa muda mrefu
 
kwa nini uvizie simu ya mumeo? Una uwezo wa kuishika wakati wowote na kuhoji chochote kilichokaa kimashaka....
 
Back
Top Bottom