wakuuuuuuuuu njoon basi

EvJ

Senior Member
May 3, 2011
194
25
wakuu,hivi kama ukivizia simu ya mmeo au mkeo ukakuta sms ya kimapenzi,then huyo mtuhumiwa anakugeuzia kbao kuwa kwa nini umeshika simu yake,hapa nani anakosa
 
Kwa nini ushike simu isiyokuwa yako??
Kama ni ya mkeo au mpenzi wako unajitafutia presha bure, acha hizo.
 
Kosa lipi sasa?

la yeye kuwa na mahusiano nje au
la wewe kupekua simu yake?

Kuwa jasiri mwaya, anatumia ukali ili kuua soo ambayo imesanuka; Omba msamaha uone ndio utabaki kuwa chini mpaka basi.
 
Kaunga nakwambia unaweza geuziwa kibao kama wewe ndie mkosaji natamani ningekuwa najua kupiga tarumbeta.

Kosa lipi sasa?

la yeye kuwa na mahusiano nje au
la wewe kupekua simu yake?

Kuwa jasiri mwaya, anatumia ukali ili kuua soo ambayo imesanuka; Omba msamaha uone ndio utabaki kuwa chini mpaka basi.
 
Hii kitu imewahi kunitokea mke wangu kavizia nipo bafuni naoga anajifanya ananipigisha story nyingi kumbe anapekupekua cm yangu akapambana na sms kali tu ya binti mmoja aliwahi kuwa mpenzi wangu ss akawa naona kanikumbuka kanitumia yy akaifungua halafu akajifanya amefura!!!

nilimuuliza nani kakwambia ushike cm yangu?ohho ww si mpenzi wangu lazima nijue nn kinaendelea kwenye simu yako nikamjibu ss endelea kuipekua na usiniulize chochote kile utakachoendelea kukiona

nikaizila ile simu pale nikasepa mbn jioni narudi hm nikakuta sms kama 20 hv hajagusa hata kidogo mpk leo anaiona kama kituo cha police coz me yk sitaki presha hata kuikalibia tu naogopa so conclusion kushika simu ya mpenzi au mke wako ni makosaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kaunga nakwambia unaweza geuziwa kibao kama wewe ndie mkosaji natamani ningekuwa najua kupiga tarumbeta.

I know, si umesoma comment ya cement hapo juu; mwisho wa siku mkewe akawa mkosaji.

lakini inategemea na jinsi mlicyo tangia mwanzo; kwani ukianza from nowhere hata point za kujidefend utakosa pamoja unajua yeye ni mkosaji. Nafikiri ni maumbile tu, sisi tuliokuwa na makaka zaidi na tufanyao kazi kwenye male dominated environment tumezoea kuwa firm kiasi.
 
Last edited by a moderator:
wala si makosa cha msingi uwe umeshahakikisha kuwa huna magonjwa ya moyo, na wala hauko kwenye hatari ya kuyapata na pia uwe na kifua coz hatar ya kuanguka au kupata magonjwa hayo ni kubwa sana tu..............

sitanii....................
 
Kwa nini ushike simu isiyokuwa yako??
Kama ni ya mkeo au mpenzi wako unajitafutia presha bure, acha hizo.

kwa hyo mkuu hautaki kujua ukwel kisa presha.kwa walioana nyie si ni mwil mmoja
 
Halafu mademu wa kibongo kuwahi kushika simu utazani yake!!! mtaacha lini huo upuuuzii??? that why mie nawekaga ma pini kila kona ya simu mnaboa! all in all hiyo title yako kha! kama zimekubana lol!
 
Kosa lipi sasa?

la yeye kuwa na mahusiano nje au
la wewe kupekua simu yake?

Kuwa jasiri mwaya, anatumia ukali ili kuua soo ambayo imesanuka; Omba msamaha uone ndio utabaki kuwa chini mpaka basi.

nimpe adhabu gan mtu wangu
 
wala si makosa cha msingi uwe umeshahakikisha kuwa huna magonjwa ya moyo, na wala hauko kwenye hatari ya kuyapata na pia uwe na kifua coz hatar ya kuanguka au kupata magonjwa hayo ni kubwa sana tu..............

sitanii....................

adhabu gan ya **** huyu mtu
 
Back
Top Bottom